Jua lilikuwa limefichwa na mawingu mazito siku ile ya mazishi ya Katibu Mkuu Kiongozi, Dk. John Kijazi. Uwanja wa mazishi ulikuwa kimya, ukitawaliwa na sauti za ndege wachache waliokuwa wakiranda angani, kana kwamba nao walihisi huzuni ya siku hiyo. Viongozi na wananchi walikusanyika, wakivalia...
Rais gani unaogopa kutaja majina ya wauzaji wa madawa tu ya kulevya unaishia kusema Tu wakina Fulani hata makonda anakushinda anathubutu kuwataja.Au mafisadi unafanya nao bargain Khaa badala ya kuwafunga yaani unashindwa kufunga watu wasiozidi 500 ili uokoe watu million 50?
Rais gani unawajua...
GT
Nikikaa nafikiria ulegelege wa vyombo vya ulinzi na usalama awamu hii mwili huwa unakufa ngazi kabisa.
Jamani au na Wao wamejiunga na MACCM Kuiba rasilimali za nchi hii. Hapa Hayati Magufuli aliagiza Angela kizigha achukuliwe hatua lakini why siyo sasa na amerudishwa tena ooh nooo my country..
Watoto wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Benjamini William Mkapa na John Pombe Magufuli hawana kabisa ushawishi kwenye siasa za Tanzania.
Tofauti na wenzao watoto wa Ali Hassan Mwinyi, Jakaya Mrisho Kikwete na sasa Samia Suluhu Hassan, ambao wote wazazi wao kwa nyakati tofauti wameshika...
Mlinzi wa magufuli kipindi hicho alilia sana kwenye msiba wa hayati rais Magufuli.
Ninaamini kwamba huyu mlinzi anajua kila kitu kuhusu kifo cha Magufuli sema anahofia uhai wake.
Kwenye picha huyo wa kushoto alievalia suti.
Kifo cha Magufuli tulifichwa fichwa sana hadi kilipotangazwa rasmi.
Ni nini kilikuwa kinaendelea hadi tunafichwa kiasi hicho.
Inaonekana kulikuwa kuna amri nzito sana alizitoa zitekelezwe lakini kulikuwa na watu walioshinikiza zisitekelezwe kwa kuwa na uhakika hawezi kurudi.
waliotaka...
Baada ya kutazama video nzima ya Polepole ya dakika 59 nimeona niandike huu uzi ili kuweka mambo sawa kwa facts tupu. Huu uzi ndo utakuwa msimamo wa JF nzima dhidi ya vioja vya Polepole. Nimejitahidi kumpuuza ila naona anakoelekea sio pazuri kwa afya yake ya akili ndo maana nimeona nimsaidie...
Wakati akiwa hai nilikuwa namuona John Pombe Magufuli pamoja na kutaka aonekane mzalendo, niliona kuwa ni mtu asiye na nia njema Kwa Taifa letu na mtaka sifa.
Lakini baada ya Polepole kuelezea mambo mengi yaliyokuwa yanafanyika nyuma ya pazia, sasa nimeanza kuelewa kuwa Magufuli alikuwa na...
Zile kesi mbalimbali zilizokuwa zinaibuliwa na Lissu , pamoja na mabeberu zilikuwa hazitokei bure. Ni wanamtandao walikuwa wapo nyuma ya huu mchezo.
Na moja ya Wanasiasa wa upinzani waliokuwa wakitumika kumuhujumu JPM ni Lissu.
Ipo hivi, Wanamtandao walikuwa wakimpa mafaili Lissu , ili...
Jengo la Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limeshawekwa alama ya X ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais John Magufuli kulibomoa kupisha barabara za juu (Tazara Fly-Over).
Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) Mkoa wa Dar es Salaam, Ndyamukama Julius alisema jana kuwa pia, wametoa...
Niweke rekodi sawasawa hapa jamvini na nieleweke vyema na ninatoa "challange" kama kuna mwanajamvi yoyote ndani ya JF aliyempenda na kusimama na The Late John Pombe Magufuli na ajitokeze !
Yapo machapisho yangu humu jamvini yenye unyoofu kabisa juu ya msimamo wangu kuhusu JPM kabla...
High quality copy ya hayati Magufuli pekee ni bw. David Mwaijojele, trust me or not, kwa wale watu wa msimamo mkali mmepata mtu mwenye wajihi sahihi, mfuatilieni nyendo zake na sera zake pamoja na msimamo yake!, kwa wale ambao bado mnamisimamo mikali pitieni njia hiyo jiungeni kwa wingi...
MPAKA SAHIVI NAAMINI HARAKATI ZA POLEPOLE NI ZA KIMASLAI ZAIDI NA SIO KWAMBA ANA-UCHUNGU NA NCHI HAPANA KWANINI ZIANZE TU BAADA YA SPONSOR (MAGUFULI) WAKE KUFARIKI
Moja ya mambo ambayo kutoka kwa polepole binafsi siyapendi ni kujaribu kuonyesha hali wakati wa Magufuli ilikuwa ni nzuri sana...
Kwa maelezo ya Polepole ni kwamba mpango wa kuhamishia serikali Dodoma ilikuwa ni vita kamili na kuna vigogo walihujumu mpango huo makusudi kabisa hadi Hayati Magufuli akazira na kuamua kuhamia hivyo hivyo kwenye kijumba kidogo Dodoma.
Hili la vigogo kuhujumu mipango yenye masilahi mapana kwa...
Ukuta wa Mirerani ulijengwa kulinda tanzanite – mali adimu ya taifa. Leo hii, kila anayetaka kuingia ndani ya ukuta huo analazimika kuwa na kitambulisho maalum kinacholipiwa.
Lakini maswali muhimu bado hayajajibiwa:
🔹 Kwa nini kitambulisho cha taifa kisitoshe kuthibitisha uraia na uhalali wa...
Kwenu wana jamii
Jana Polepole alirudia Madai yake ya Magufuli kuuawa na pia kuwa na Tishio la kuuawa hata kabla haijatokea
Wana JamiiForums wakongwe na waliobahatika kusoma hapa JF kabla ya kifo cha Magufuli ulikuja humu uzi ulioandoka kifo cha Magufuli, ile thread iliandikwa kwa code tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.