Hayati Magufuli alifanyaje kumaliza ajali?

Hayati Magufuli alifanyaje kumaliza ajali?

musicarlito

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2020
Posts
591
Reaction score
909
Wasalaam

Hayati Magufuli alifanya nini kumaliza ajali za barabarani?Hii sio kitu kwa watawala na wanaowajibika kwa usalama barabarani?

Au tutolee mfano familia za watawala kama swala la utekaji?

Pole wote wanaojeruhiwq lakini wapumzike kwa amani wote waliotangulia kwa ajali hizi
 
Fukuza anaehusika na Usalama wa barabarani
Halafu toa onyo kuwa nisisikie ajali za kizembe
 
Back
Top Bottom