magufuli

  1. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania Hivi ile interview ya Jesca Magufuli na Millard Ayo itaendelea lini?

    Millard Ayo alisema interview ile ameigawa katika sehemu 4 ambazo zitatujia kwa awamu. Sijaona awamu nyingine yoyote tangu ile awamu ya kwanza itoke. Kulikoni? https://youtu.be/SsJYpX5saMM?si=yubCESsoyvMKCJxo
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ugomvi wa Nape, January, Kinana dhidi ya JPM ulitokana na nini hasa?

    Siasa za nchi hii zinachanganya sana, wote tunakumbuka jinsi hawa mapacha watatu walivyokuwa hawaivi chungu kimoja kabisa na Magufuli mpaka wakanaswa wakiwa wanamsengenya huku wakitengeneza waraka mzito na mpango wa kuutoa kwenye vyombo vya habari kutikisa nchi. Jambo ambalo sijawahi kuelewa...
  3. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Nilitarajia Polepole aweke hadharani ukweli juu ya kifo cha hayati Magufuli

    Aliposema kuwa kesho tusilaumiane juu ya nitakachoongea mimi binafsi nilitalijia ataweka wazi juu ya hili suala. Je ni kweli aliugua? Na kama aliugua mbona watanzania walifichwa kwa zaidi ya wiki tatu bila kumuona hayati hadharani? Je kulikuwa na uzembe? Polepole hajagusia kabisa!
  4. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Polepole analalamika rafu za JK kumbeba Samia urais CCM 2025, lakini alifurahia rafu za JK 2015 zilizopelekea Magufuli kugombea urais na kushinda!

    Huenda Polepole hakuwa anaelewa dhana dhima ya karma katika maisha ya kila siku. Lakini kwa kuwa katika press ya leo mara kwa mara amemtaja mwenyezi Mungu, huku akisema yeye ni muumini mzuri wa kikristo, basi alipaswa kukumbuka lile andiko linalosema; Apandacho mtu ndicho atakachovuma! JK huyu...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Uongozi mbaya wa Kikwete ulaumiwe kwa kukosa katiba, Mungu mtu Magufuli, bunge butu na rushwa

    Uongozi mbaya wa Kikwete ulaumiwe kwa kukosa 1. katiba, 2. Mungu mtu Magufuli, 3. Magu na umungu mtu akaleta bunge butu maana alijiona yeye pekee ni Mungu 4. Magu katuletea Mama kujifanya malkia 5. Magu katuletea utekaji 5. Mama Samia kaendeleza yote ya Magufuli + Rushwa 6. Mama katuletea...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Rais Nyerere na Rais Magufuli walikataa, Rais Samia usikubali Misaada ya kuingilia Sovereignty yetu!

    Wanabodi Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ni aibu kwa nchi tajiri wa rasilimali kama Tanzania kuwa beggers!, ombaomba!. Tuliambiwa tutafanya uchaguzi mkuu wetu kwa fedha za ndani, bila kutegemea fedha za wafadhili!, leo mabeberu wa ulaya EU, wamekutana na...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Wengi tulidhani ujio wa jua jipya utaleta nafuu lakini joto limekua kali zaidi, Nikiri kusema jua lililozama lilikuwa na nafuu zaidi

    Joto limekuwa kali zaidi hasa kwa wapinzani na wakosoaji bila kujali ni wa ndani au international, Yaani hata wale wa kwenye dini hakuna mwenye nafuu wala red line. Tulidhani jua la Dar lilikuwa mwisho wa maumivu lakini jua la sasa ni la Ifakara. -Mfumo uliowekwa hapo nyuma kuomba ajira kwa...
  8. sanalii

    JamiiForums Tanzania Kwanini polepole hakujiuzulu kwenye uongozi wa magufuli kama kigezo ni utawala bora wa kidemokrasia?

    Huyu mtu ndio alikua akitamba kwa "vieite", alikua yupo madarakani ulipofanyika uchaguzi wa serikali wa mitaa uliokua wa hovyo sana na wapinzani kukatwa, alikua yupo kwenye uongozi uchaguzi wa 2020. Kifupi CHADEMA wanasahau sana na ni wepesi kuwa deceived. Polepole anaondoka kwa maslahi yake...
  9. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Mazuri yake Hayati Magufuli ndiye aliyepanda Mbegu Mbaya sana ya kuua Demokrasia Nchini

    GT. Haya tunayoyana sasa ni mwendelezo wa ukandmaizaji uliopitiliza kuanzia awamu ya tano iliyoamini katika chama kimoja. Kwenye demokrasia Kikwete hatuwezi kumlaumu sana japo ufisadi ulimshinda. Uhuni unaotendeka sasa hivi ni matokeo ya 2020 aliyopanda Hayati Magufuli.. No reforms no election.
  10. Area 56

    JamiiForums Tanzania Kama Magufuli angelikuwa hai, nyakati hizi kuelekea Uchaguzi Mkuu hali ingekuwaje?

    Je angekuwa anajiandaa kumpisha Rais mwingine? Je angekuwa kashabadili katiba? Je uchumi ungekuwaje? SGR ingekuwa imefikia wapi? Hali ingekuwaje?
  11. technically

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume, alikuwa na chuki binafsi na Magufuli

    Huyu alikuwa anamchukia Magufuli kuliko kawaida Ilikuwa ni chuki binafsi Utekaji umeisha? Watu ndio kwanza wanatekwa na kupakwa mafuta na kufirwa na kubakwa Halafu anatetea watu Kama hawa Huyu ndiye aliwaunga mkono CHADEMA walivyogomea serikali za mitaa mwaka 2019 Je Nini kimebadilika...
  12. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2015 Rais Magufuli angepewa uwaziri Mkuu , tungepiga hatua kubwa sana na inawezekana he could be still Alive

    Kushindwa kumuelewa MTU na kukosa maono . Kwa nature ya Magufuli., he was not a good politicians . Kwahiyo mambo ya ndio na hapana even criticism ,those things need high level of emotional intelligence. Unfortunately JPM never had those attributes. Kama tungekuwa na jicho zuri JPM could be...
  13. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Kutoka Maktaba: Hayati Rais John P. Magufuli akiongelea tukio la utekwaji wa Mo Dewji na polisi kutochukua hatua yoyote kukamata watekaji

    https://www.facebook.com/share/1ECrkUXYWT/ Hii hotuba ya Hayati John P. Magufuli kuhusu utekaji na upoteaji wa watu inafikirisha sana.. Nimejiuliza swali moja, kwamba, hivi inawezekana mambo ya utekaji, upoteaji na kuuwawa kwa watu wasio na hatia na watu wasiojulikana Rais wa nchi ikawa hajui...
  14. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alifanyaje kumaliza ajali?

    Wasalaam Hayati Magufuli alifanya nini kumaliza ajali za barabarani?Hii sio kitu kwa watawala na wanaowajibika kwa usalama barabarani? Au tutolee mfano familia za watawala kama swala la utekaji? Pole wote wanaojeruhiwq lakini wapumzike kwa amani wote waliotangulia kwa ajali hizi
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Majaliwa: Kifo cha Magufuli kilituacha na Giza Nene, lakini Samia alisimama Imara kwa Busara na Ujasiri wa Kipekee

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, leo Alhamisi Juni 26, 2025, ametoa hotuba ya kuhitimisha Mkutano wa 19 wa Bunge la 12, huku akimkumbuka hayati Rais John Magufuli na kumsifu Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuongoza vyema licha ya kuachiwa nchi katika kipindi kigumu...
  16. BigTall

    JamiiForums Tanzania Familia ya Mzee aliyesaidiwa kupata Viwanja na Hayati Magufuli yadai imeporwa eneo hilo na Kamishna wa Ardhi Dar

    Flavian Methew Nyandikuu Mzee Flavian Methew Nyandikuu (85) Mkazi wa Mwenge Mlalakuwa, Mtaa wa Nyendikuu Jijini Dar es Salaam amelia na Ofisi ya Kamishina wa Ardhi Mkoa wa Dar kwa kushindwa kumilikisha ardhi yake kwa zaidi ya Miaka 40 sasa ambapo kila akienda katika ofisi hizo kudai haki yake...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waziri Ulega: Kufanya shughuli za kijamii (kwaya, maulid, picha) Daraja la Magufuli lazima uombe kibali

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema watakaohitaji kutumia Daraja la JP Magufuli kwa ajili ya kupiga picha au kurekodi video za muziki watalazimika kuomba kibali Wizara ya Ujenzi kupitia Meneja wa TANROADS Mkoa wa Mwanza. "Hatutakataza kufanya kazi zozote za kijamii kama vile kupiga picha...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Tabasamu na Furaha: Picha Ya Wiki Ya Rais Samia na Mama Janeth Magufuli katika Uzinduzi wa Daraja la Kigongo Busisi

    Ndugu zangu Watanzania, Hii ni picha ya wiki kati ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan pamoja na Mama Janeth Magufuli Mke wa Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli Rais wa Awamu ya Tano Wa Tanzania. Ni picha iliyojaa nyuso za...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Napendekeza kuwe na tozo kwa kila chombo cha moto kitachopita juu ya daraja la Magufuli

    Tumeambiwa kuwa Daraja limegharimu fedha nyingi takriban 716 billioni. Hizi ni fedha nyingi hivyo basi zinatakiwa zirudi polepole. Ninapendekeza kuwa kuwe na tozo kwa kila chombo cha moto kitakachopita juu ya daraja la Dkt. Magufuli kama ilivyo daraja la Kigamboni. Nawasilisha.
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ni Historia Rais Samia Afungua Rasmi Daraja la J.P. Magufuli Kigongo-Busisi, Mwanza

    NI HISTORIA RAIS SAMIA AFUNGUA RASMI DARAJA LA J.P. MAGUFULI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amelifungua rasmi Daraja la J.P. Magufuli lenye urefu wa kilomita 3 na barabara unganishi zenye urefu wa kilomita 1.66 linalounganisha Wilaya za Misungwi na Sengerema...
Back
Top Bottom