Hawa watu kuanzia mwenyekiti wao wanaishi na nafsi zinazowatesa sana kwani wanajua kabisa kuna mtu wanamtesa, mtu asie na kosa wala hatia yoyote. Wanaumia na kuteseka sana wanapoona picha za Mbowe na wale washitakiwe wengine wanapoingia na kutoka mahakamani ila kwakuwa walishafanya kosa, hawana...
Ukifuatilia kesi inavyoendelea yapo Mambo makuu matatu unayabaini kuhusu shahidi wa Jamhuri SP Jumanne. Kwanza, swali kwamba anatoka kabila gani na kujibu kwamba ni Msukuma Lina maswali mengi hasa likiunganishwa na awamu iliyopita pamoja na ukweli kwamba kituo chake pamoja na kuwa Arusha alipewa...
Hope mko poa wakuu, hakuna kitu kinachoiumiza serikali vichwa kama kesi ya Mbowe, kubali kataa serikali wanashindwa hii kesi waiteme vipi.
Nilisema toka awali kuwa maamuzi ya hii kesi yatakuwa faida kwa Mbowe, iwe kuhukumiwa maisha, kunyongwa au kushinda kesi, leo hio mawakili wa serikali...
Yasemekana walifungasha virago tangu Novemba mwaka 2020. Pesa ya kulipa ilikuwa hakuna.
Baada ya fedha ya korona kupatikana sasa tumetenga kiasi fulani cha kuwalipa hao makandarasi na kuwaomba warudi kazini.
Hongera mama
My take:-
Jiwe alikuwa shetani wa akili lkn binadamu wa mwili...
Sisi kanisa tumefundishwa kuwa sharia haiwezi kumkomba mwanadamu, na mafundisho yetu kupitia bwana Yesu Kristo huwa tunaenda mbali zaidi kwa imani kuwa Taurati/sharia haiwezi kuleta haki kwa jamii, haiwezi kuleta amani kwa jamii isipokuwa kwa jina la Yesu mnakaa chini na kuonyanyana kwa zabiri...
Mwanaume uliyekamilika ukipishana na mwanamke wa hivi, lazima shingo yako igeuke. Hasa ukute ndo kavalia kanga moja, ndo katoka kuoga mnapishana koridoni[emoji39]
Au umkute kavalia suti yenye sketi fupi anaokota faili lililodondoka ofsini[emoji39]. Au kajilaza TU kwa uchovu kifudi fudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.