magari

  1. Madereva wanaoendesha magari aina ya Subaru na Alteza

    UMOFIA KWENU! Uzi huu ni maalum kwa ajili ya kupata maoni au mtizamo wa jamii kwa namna inavyowachukulia madereva wanoendesha magari aina ya SUBARU na ALTEZA hapa Tz. Kwa kuanzia, mimi binafsi nawaona wengi wao kuwa ni: 1 - Vijana wa kiume 2 - Wanaendesha kwa 'rafu' sana. 3 - Over...
  2. Jinsi sinema ya ununuzi wa Magari ya gharama serekalini inavyochezwa

    Ni kichekesho ndugu zangu!
  3. Waziri Mkuu Majaliwa: Walionunua magari ya kifahari kwa fedha za walipakodi nawapa siku 7 za kujieleza

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa siku saba kuanzia leo (Alhamisi, Desemba 17, 2020) kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, maofisa wanaochambua maombi ya ununuzi wa magari Ofisi ya Waziri Mkuu na wakurugenzi wa Jiji la Mwanza, Halmashauri ya wilaya ya Chato, Msalala na Kahama wajieleze kwa...
  4. Z

    Rais Magufuli njoo vyuo vikuu ujionee. Manunuzi ya magari ni suala pana kuliko linavyotajwa mbele yako

    Huko Geita Mkurugenzi kasimamishwa kazi. Ni safi sana! Sababu ziko wazi. Pesa za CSR haziwezi kuwa za gari la Mkurugenzi, wakati Shule, Hospitali na Madaraja ni hovyo. Mbaya zaidi ni gari la milioni 400! Tatizo hili liko kote! Hiyo ofisi ya waziri mkuu inayopitisha vibali kama hivyo ina udhaifu...
  5. M

    Zitto ataka wanaoikosoa ACT-Wazalendo waanzishe chama chao

    Nimeshangazwa na majibu ya mkuu wa chama cha ACT Wazalendo ndugu Zitto Kabwe aliyoyatoa kwenye mtandao wa twitter. Zitto alikuwa akimjibu mwananchi mmoja aliyekuwa akionyesha frustrations zake juu ya uamuzi wa chama cha ACT kujiunga na Serikali ya CCM huko Zanzibar katika kile kinachoitwa...
  6. Wajameni haya magari ya Idara gani?

    Nauliza tu! Maana sizu hizi yamekuwa mengi! Niuliza tena, hivi namba hizi zipo kule Vehicle Registration TRA?
  7. Je, kampuni gani nzuri ya kuagiza magari nje ya nchi?

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, wadau tushirikishane kampuni nzuri na best inayomfaa mteja kuagiza magari nje ya nchi. Na pia wale ambao wamewahi kuagiza watupe uzoefu wao na waliyopitia, je gari uliyoletewa ndio yenyewe? Vifaa vya ndani je ndivyo vyenyewe? Pia wale ambao hununua magari...
  8. Arusha: Wazazi Shule ya St. Jude waandamana kwa RC, TRA yakausha akaunti ya shule

    Wazazi Maskini zaidi ya 2000 ambao watoto wao wanafadhiliwa kimasomo katika shule ya St. Jude iliyopo Arumeru Mkoa wa Arusha, wameandamana Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha wakitaka shule hiyo yenye mchepuo wa Kiingereza ifunguliwe ili Watoto wao waliosimamishwa masomo kwa zaidi ya wiki mbili...
  9. Special Thread: Tunauza Vitu mbalimbali (Magari, Nyumba, Mashamba na Viwanja)

    Toyota Rav4 Old Model Model 1998 Engine 3S Cc 1990 Kilometer 82095 Colour Silver New Tyres & Rims Price 14.5ML simu 0677 818283
  10. Msaada: Wanaotoa magari bandarini kwa kukopesha malipo ya kodi

    Wadau salama hapa ndani? Niliwahi kusoma uzi hapa JF kwamba kuna raia wanaosaidia kutoa gari bandarini hata kama huna pesa ya kulipia TRA mnaingia makubaliano ya kulipia kidogo kidogo baada ya yeye kulipa. Hii imekaaje? Hakuna utapeli ndani yake? Nina mpunga kidogo hapa ambao unatosha tu...
  11. K

    Waagizaji wa magari SakuraMotors Japan

    Wakuu Poleni na pilika za maisha,nilitaka kujua endapo kuna mtu anaifaham kampuni ya kuuza Magari inaitwa SaKuraMotors nimeona gari nzuri kwao nilitaka kuiagiza lakini hawana ofisi bongo je kuna watu mmewahi kufanya na huwa jamaa biashara?ni waaminifu ?maana matapeli wamekuwa wengi..Natanguliza...
  12. Naomba kueleshwa maana ya maneno haya kwenye magari RWD,FWD,AWD na 4WD

    Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nataka kujua maana ya maneno hayo hapo juu
  13. Wizi wa mafuta kwenye vituo: EWURA yawataka wenye magari kuwa makini

    Meneja Mawasiliano wa EWURA, Titus Kaguo, Alisema mtu anapokwenda kujaza mafuta anapaswa kuhakikisha kwenye pampu inasomeka alama 00 ndipo aanze kujaziwa mafuta, vinginevyo anaweza kuibiwa. “Mfano kama kuna mtu kapita hapo kajaza mafuta ya 20,000 na wewe umepita unataka kujaza pengine 50,000...
  14. Kwanini bidhaa nyingi zinazoagizwa kuja barani Afrika zinatokea China isipokuwa magari ambayo yanatokea Japan?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu Jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Kwanini bidhaa nyingi zinazoagizwa kuja barani Afrika (Tanzania) zinatokea China isipokuwa magari ambayo yanatokea Japan? Ukiwa upo katika foleni ya magari barabarani, jaribu kufanya tathmini ya haraka...
  15. Mercedez Benz na BMW ni magari ya kifahali lakini yenye dashboard mbaya

    Moja ya vitu ninavyoangalia katika kutathmini mvuto wa gari ni dashboard au sehemu ya mbele ya gari pembeni ya usukani. Mercedez Benz na BMW ni magari yanayoheshimika sana na yamebaki na quality zake ya ubora ikiwemo brand zinazothaminiwa, engine na uimara kwa miaka mingi. Kwa muonekano wa...
  16. Serikali inunue magari katika majimbo kwa ajili ya wabunge

    Hili suala la kuwapa wabunge mamilioni ya fedha kwa ajili ya wabunge lifutwe kabisa. Miaka ya utawala wa awamu ya kwanza na pili serikali ilikuwa inatoa gari kwa kila jimbo kwa matumizi ya mbunge na kipindi ubunge unapoisha gari linabaki kwenye jimbo kwa matumizi ya mbunge anayefuata.
  17. Haya Ndio Magari ninayoyakubali sana

    Haya ndio magari ninayo yakubali kuliko magari yoyote iwapo ningekuwa nina mihela kwenye yadi yangu yasingekosekana.Ninapenda magari mapana yenye body kubwa na pia yale imara na magumu ambayo yapo toka enzi kama Landrover 109 na 110 1)Landcruiser vx au gx 2)Landcruiser Hard top...
  18. D

    Tugutuke: Waosha magari (Carwash) hawana dhamana; Janga likikupata usishangae sana Trafiki na bima wakiamua kukugeuzia kibano wewe mmiliki

    Iko hivi... Wenye magari wengi tunapopeleka magari hayo kwa waosha magari (Carwash)! Haina maana sheria za usalama barabarani zinakoma ukiwa eneo la Carwash! Sheria inampa mamlaka traffic kuingia hata Carwash kukamata magari yanayosogezwa na waosha magari wasio na leseni ya udereva! Tufahamu...
  19. Makampuni ya Magari hutengeneza Engine/Gear box mpya kama spare?

    Makampuni ya kutengeneza magari hutengeneza Engine au Gear box mpya kwa ajili ya spare kwa magari yatayoharibika? Biashara nyingi hufanyika kwa engine na gearbox used! Kama hawatengenezi ni kwa nini?
  20. Tunakodisha magari kwa ajili ya shughuli mbalimbali

    Tunatoa huduma ya kukodisha magari Aina ya Alphard kwa matumizi mbalimbali Kama vile: 1. Tours 2. Harusi 3. Sendoff 4. Kusafirisha Misiba 5. Picnic & Safari za kifamilia 6. Airport pick up 7. Safari za Kiofisi 8. Safari Binafsi Location: DSM Call/Whatsapp 0788457446
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…