magaidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    JamiiForums Tanzania Mayahudi wanamuambia Amerika kaa kando...hii kazi tuachie sisi. Kinawaka kwa Magaidi wa IRGC

    Hii haina kuomba poo. https://www.instagram.com/p/DWuEMZgkncp/?igsh=b3RiYzgyYmpuaTl0
  2. I

    JamiiForums Tanzania Kikombora kimoja cha magaidi wa IRGC chadondoka puuh

    Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kombora lililorushwa na Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu cha Iran (Islamic Revolutionary Guard Corps) lilianguka muda mfupi baada ya kurushwa mjini Tehran siku ya Ijumaa, kulingana na video iliyopokelewa na Iran International. Ripoti hiyo inaeleza kuwa...
  3. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hezbollah wanateseka sana huko Lebanon-Kusini tuwaombee tu!!

    Mapema wiki hii (Jumatano), magaidi wa Hezbollah waliokuwa na silaha waliwakaribia wanajeshi wa IDF wa Kitengo cha 91 na wakaangamizwa. Zaidi ya hayo, wanajeshi walipata silaha nyingi, ikiwa ni pamoja na bunduki, RPG, makasha ya risasi, na silaha za ziada. Eneo lote la kusini mwa Lebanon liko...
  4. Echolima1

    JamiiForums Tanzania IDF uso kwa uso na Magaidi wa Hezbollah huko Lebanon-Kusini

    Baada ya askari kuingia huko Lebanon Kusini walipambana na magaidi wa Hezboullah waliokuwa wamejificha kwenye nyumba na magaidi hao waliangamizwa!
  5. Echolima1

    JamiiForums Tanzania IDF: Mamia ya silaha zapatikana ndani ya shule katika kijiji cha kusini mwa Lebanon

    Katika uvamizi uliolengwa na vikosi vya Shayetet 13, vinavyofanya kazi kama sehemu ya kikosi kazi cha Givati Brigade, mamia ya silaha zapatikana ndani ya shule katika kijiji kusini mwa Lebanon. "Ndani ya shule, wanajeshi walipata mamia ya silaha, ikiwa ni pamoja na roketi za kupambana na...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Mwana Mfalme MBS amuambia Trump aendelee kutoa Kipondo kwa Magaidi wa IRGC

    Mkuu wa Taji wa Saudi Arabia, Mohammed bin Salman, ameripotiwa kumshawishi Rais wa Marekani, Donald Trump, kuendelea kuongeza shinikizo dhidi ya Iran, akieleza kuwa mgogoro huo ni “fursa ya kihistoria” ya kubadilisha nguvu za kisiasa katika Mashariki ya Kati na kudhoofisha utawala wa Iran...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Benjamin Netanyahu atoa kauli ya kibabe: Mnaweza kukimbia, mnaweza kujificha, lakini mwishowe tutawapata tu

  8. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hezboullah wapata kipigo cha Mbwa-koko huko Beiruti

    Baada ya Magaidi wa Hezboullah kuingia vitani kumsaidia Bwana wao Iran leo hii wamepata pigo kubwa baada ya majengo yao kuangamizwa huko Beiruti.
  9. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Magaidi hawa wanatakiwa wafe haraka sana!!

    Katika Uwanja wa vita na Iran Magaidi hawa wanahitajika sana wafe 1. Mojtaba Khamenei – Kiongozi Mkuu 2. Mohammad Qalibaf – Spika wa Bunge la Iran 3. Ahmad Radan – Mkuu wa Polisi wa Iran 4. Gholamhossein Mohseni Ejei – Mkuu wa Mahakama 5. Ahmad Vahidi– Kamanda wa Kikosi cha Walinzi wa...
  10. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Muda si mrefu tutaanza kusikia milio kutoka kwa Hezbollah

    Baada ya Hezbollah kuamua kuingia kichwa-kichwa ku zaidi a Bwana wake Iran tutarajie muda si mrefu wataanza kutoa milio isiyoeleweka. Israel imetuma Kikosi cha vifaru kupambana na magaidi hao huko kusini mwa Lebanon kwa hiyo tutarajie kusikia Milio wakati wowote kuanzia sasa!
  11. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Magaidi kutoka Nchi 22 walijiunga na kundi la Wanamgambo wa Israel -IDF

    🔥🔥🔥🔥Taarifa ya Siri iliyofichuliwa huko Uingereza inataja zaidi ya Nchi 22 duniani zilituma magaidi kwenda Israel kwa ajili ya kuua watoto wa dogo na wanawake wasiokuwa na silaha huko GAZA Palestine. Ripoti hiyo inataja marekani ndio Nchini iliyopeleka Magaidi Wengi zaidi kujiunga na kundi la...
  12. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Israeli imelaani Jukwaa la Al Jazeera kama "mkutano wa kilele wa magaidi" huko Doha

    Israeli inalaani Jukwaa la Al Jazeera kama "mkutano wa kilele wa jihadi" huko Doha Wizara ya Mambo ya Nje ya Israeli ilitoa karipio kali kwa Jukwaa la 17 la Al Jazeera lililofunguliwa Doha wikendi hii, ikilielezea kama "mkusanyiko teule wa wanajihadi na wafanyakazi wao wa usaidizi." Jukwaa...
  13. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hamas huko Gaza wanapata taabu sana tuwaombee tu!!!

    Magaidi wa Hamas baada ya kusimamisha mapigano walijikusanya kwenye Gorofa moja ili wajipange upya kuishambulia Israel. Matokeo yake yalikuwa mabaya sana kwa waliuwawa wote waliokuwa ndani ya jengo hilo na sasa kuna uwezekano kama ni kweli wamekabidhiwq wale mabikira fake ili wawabikiri!!!!
  14. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hamas sasa hivi wanapata kipondo cha Mbwa mwili huko Gaza!!!

    Wakati Iran anatandikwa na Marekani wakati huohuo Magaidi wa Hamas nao wanapata kipigo cha mbwa-mwili huko Gaza!!!! Safari hii Magaidi wa Hamas,Hezbollah, Houth na Bwana wao Iran wanapata kipigo kwa pamoja!!! Yajayo 6anafurahisha!!! https://x.com/vividprowess/status/2017590868220280929?s=61
  15. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hezbollah wanaendelea kuwapukutishwa huko Lebanon.

    Magaidi wa Hezboullah waliokuwa wanasifiwa na Adiosamigo gallow bird gTurn Iceberg9 na Bwana wao Ritz sasa hivi wanacharazwa viboko na wao hawawezi kurusha hata jiwe kuelekea Israel maana wanajua kitakachofuatia. Magaidi wa Hezboullah sasa hivi wanapigwa kama Ngoma!! --------------...
  16. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Magaidi Duniani wanavyotumia Historia ya Ukhalifa katika Missions zao

    Magaidi wanavyotumia historia ya Ukhalifa Magaidi kama ISIS, Al-Qaeda, Boko Haram wanadai: “Tunarejesha Ukhalifa ulioporomoshwa” Historia ya 1258 na 1924 inatumika kama: Motisha ya kihistoria: wanasema “Dola ya Kiislamu imeanguka, dunia inahitaji Waislamu wa kweli kurudisha heshima” Kifaa...
  17. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Marekani wamewashambulia "magaidi" wa Nigeria

    Marekani kwa kushirikiana na Serikali ya Nigeria, imewashambulia magaidi huko kaskazini magharibi mwa Nigeria. Trump anadai anapambana na magaidi wanaowashambulia wakristo wa Nigeria. Serikali ya US imedai kuwa mashambulizi hayo ni endelevu iwapo magaidi hawataacha njia zao ovu.
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ole wenu Magaidi na Mamluki mnaopanga kuvuruga amani na kuharibu miundombinu ya umma na binafsi Dec.25.2025

    Hapatakua na huruma, aibu wala haya katika kuwadhibiti na kuwasambaratisha katika harakati zenu za kujaribu kuvuruga amani na utulivu miongoni mwa waTanzania. Binafsi nawatakia vijana na waTanzania wote sherehe njema za Christmass na heri ya mwaka mpya2026. Nawatakia matumizi mema na sahihi ya...
  19. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Waliopanga mandamano October 29 walikuwa wana lengo la kuvuruga uchaguzi na amani Ili nchi isitawalike

    Magaidi ni watu ambao huwa wanaanda mashambulizi Kwa siri Kwa ajili ya kuwazuru watu au miundombinu ya serikali na hiki ndicho kilichofanywa Oct 29 OCT 29 Ilikuwa ni siku muhimu Kwa Taifa letu watu wakitimiza haki Yao ya kikatiba ya kupiga kura Ili kuchagua viongozi wao hakuna serikali yoyote...
  20. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wa Saudi na UAE wasema Imamu Akieneza Chuki anakula BAN, Magaidi wengi watatoka Ulaya siku zijazo

    Hapo Mkutanoni wapo Mawaziri wa Saudi Arabia na UAE (Umoja wa Falme za Kiarabu) Waziri Wa UAE: Na niruhusu niseme hili kwa Kiingereza ili uweze kuelewa ninachosema. Siku itakuja ambapo tutaona wanamgambo na magaidi wenye misimamo mikali zaidi wakitoka Ulaya, kwa sababu ya ukosefu wa kufanya...
Back
Top Bottom