Kaka wa Humphrey Polepole anaiyeitwa Augustino Polepole amejirekodi na kutuma video inayomtaka ZCO Faustine Mafwele ajitokeze hadharani na kuwaeleza watanzania walichomfanya.
Ikumbukwe Faustine Mafwele ndiyo imekuwa mashine ya utekaji na mauaji kwenye utawala wa Rais Samia akitumika na Abdul...
Wakati tukiendelea Kushuhudia Matukio ya Utekaji na Mauaji yanayoendelea nchini, Mimi binafsi nilitumia Akili yangu na kipawa KIKUBWA nilichojaaliwa cha kutizama mambo kwa UPANDE wa pili, na nikushauri JESHI LA POLISI LIKAMATE WATU KWA UTARATIBU NA MAFWELE ADHIBITIWE kwakua anavuruga Security...
Hii tume nayo inamuogopa mafwele!?
Huyu măfwele waandamanaji walimtaja kama sehemu
ya hasira zao kwakua ametajwa kama mtekaji na mashaidi kama
Sativa, wanaharakati wa kenya na uganda waliotekwa pia wamemtaja
Lini tume itamuita!? Au kwenye script waliyo pewa hayumo
Nimepitia baadhi ya picha nimeona vijana wanao ongazana na mafwele hawafai kuwa askari wa jeshi la polisi wamekaa kijambazi jambazi.
Weredi wa kuajiri askari umpengua sana inatia wasiwasi mkubwa na hofu ya usalama wa raia Ikumbukwe huyu jamaa mafwele anadaiwa kuhusika na utekaji na mauwaji ya...
Jina la Mafwele limetajwa na kila mtu aliyetekwa na kufanyiwa ukatili
Kama ni mtumishi wa jeshi la polisi kwanini Rais au IGP hamsimamishi kazi japo kupisha uchunguzi wa tuhuma zake
Hivi askari aliyefunzwa na mzalendo atafanya mambo kama hizi tuhuma za Mafwele
Yaani kuteka, kuuwa, kupoteza
1...
Haya ni maombi maalum kwa Marekani wafanye kama walivyofanya kwa Maduro.
Watume vikosi vyao viwachukue Samia na Mafwele walioongoza kumteka na kumshikiria Thadei Kweka ambaye ni raia wa Marekani.
Tunajua US Embassy mnapitia sana humu JF. Fanyeni kweli.
Huyu jamaa kateka, kaua na kapoteza watu wengi sana nchini lakini Wala haguswi na mkono wowote wa Sheria za nchi.
Hivi Jaji Chande na Tume yake uchwara alikutana na mtu kama huyu anaweza kuwa na pawa kweli ya kumuhoji? Au na yeye atahofia Maisha yake? Maana hata waziri mwenye dhamana na huyu...
".....Mafwele ndiye mratibu wa hayo yote unayoendelea kuyashuhudia. DCI wa sasa ni kama bosheni na hata mwenyewe haijui hatma yake"
"....Mafwele anapewa u DCI hivi karibuni."
Chanzo
Nilidhani Mafwele atatolewa kafara kama kuwahadaa watanzania na waandamanaji wanaomuona Mafwele kama muuaji hata kwa kumuweka ubalozini au chini ya kapeti.
Na madelu licha kuchomewa mabasi yake kuashiria watanzania hawamtaki atarudishwa.
Bila kusahau Samia ataendelea kupiga picha na Angela...
Kwanza kabisa chukueni hii Nchi na iwe chini yenu.
Pili wakamateni leo hii Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Mwambegele, Mkurugenzi wake Kailima na Makamishna wote wa Tume ya Uchaguzi. wawekeni ndani kwenye selo zenu
Tatu Wakamateni Mafwele, Muliro na Ma RPC wote wanaoendesha mauaji ya...
Kikatiba utawala wa Samia umefikia kikomo leo. Baada ya leo anapaswa kuachia kiti cha Urais maana si Rais tena.
Kwa namna alivyoivuruga nchi na kuwavuruga Watanzania ikiwemo kuwaua huku akisigina Katiba tunaomba JWTZ mchukue nchi usiku huu wa leo au hadi kesho
Pia tunawaomba muwakamate Mafwele...
Narudia kusema, huwa ni hatari sana Watu wajinga kupewa Mamlaka, ni hatari Mnoo !!.
Akaunti ya Profesa Shivji ya mtandao wa X imefutwa siku chache baada ya kutoa maoni kuwa mateso yanayotolewa na vyombo vya dola ni udhalilishaji wa hali ya juu.
Pia soma > GE2025 - Profesa Shivji: Mateso hasa...
Ukisikiliza mazungumzo yao inaonekana hawa watu ni wauaji wazoefu kanisa, issue ya tesha iweje wajue kuwa tesha hayupo nchi na amekimbilia nchi za nje?? Hii inaleta taswira ya kwamba hadi jeshini kuna watu wao huko .
Kwamba captain Tesha sio lofoten kwao asleep
Maandamana ni haki yetu ya...
Kipindi Niko pale JKT tulifundishwa kuwa askari yupo tayari kufa ili kumwokoa askari mwenzake
Yaani Deep state wanamtumia Mafwele kuwadidimiza na kuwatia hofu JWTZ
Huyo bwana anajisifu ati hadi ana maaskari wa JWTZ na ukimskiliza ati wamechana picha ya mgombea wa CCM iliyobandikwa kwenye...
Nimesikiliza kwa ukaribu sana ile audio iliyovuja nimejiuliza yafuatayo?
1. Faida au hasara ya kuvuja ni nini ? Kwanza watu wakijua kuwa hata madoctor na wanajeshi wameshikwa itawafanya wengine wote kuwa waoga na wasijiunge na movement ya tarehe 29
2. Ingetakiwa isivuje wangeambiwa waweke cm...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.