mafwele

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Makamo Heche ametekwa na Genge dogo Ndani ya Jeshi la Polisi la Akina Mafwele Makonda linaloendesha Utekaji na Mauaji Nchini.

    Mimi nadhani Kwa Sasa hatuna kitu kinaitwa Watu wasojulikana. UTEKAJI na Mauaji yanayoendelea Nchini ,unsratibiwa na Genge la watu wachache lililo Ndani ya Jeshi la Polisi na likiongozwa na Mafwele na Makonda. Hili ndo Genge lilovamia Clouds , likampiga LISSU Risasi, ndio hili genge...
  2. M

    JamiiForums Tanzania "Mafwele" ni mpango wa Mungu

    Inawezekana haya yanayoendelea huku Mafwele akiwa mtuhumiwa maarufu ni mpango wa Mungu. Mimi kama mkristo msoma biblia mzuri nimeona labda haya yote yanayotokea ni mpango wa Mungu na huyu Mafwele anatumika tu kutekeleza hiyo mipango. Mafwele ni mtu wa serikali na kama tunavyosoma kwenye biblia...
  3. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Anaandika PCK: Hizi hapa ndio details za familia ya Mafwele ilipo

    Mliopo South Africa hembu fuatilieni hizi details kama zina ukweli. Kwa msiomjua huyu jamaa mi Mrundi ashafanya kazi na wasanii wa Tanzania ni Promoter wa Muziki, ameanza kukemea hali inayoendelea tanzania kwasasa kwa takriban week chache zilizopita, na ashawahi kuishi Tanzania na ana...
  4. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kupitia TUNDU LISSU, Shahidi George akiri yale Mauaji ya Kibiti yalitokea sababu ya uwepo wa anachodai Makosa ya Kigaidi , RCO akiwa Mafwele

    Mkuu TUNDU LISSU anatusaidia kupata Ushahidi zaidi wa baadae kuwashughulikia Hawa Wauaji. Ni kwamba, Kumbe yale mauaji ya watu wengi yalotokea Kibiti, ni Kwa sababu RCO Mafwele na Msaidizi wake George waliyaongoza wao wenyewe Kwa kisingizio Cha Kupambana na Ugaidi. Unaniuliza, kama tatizo ni...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Haitashangaza pia kuona CHADEMA ikimtetea Mafwele siku zijazo

    Kwa sasa jina la Askari Mafwele ndo habari ya mjini kwenye mambo yanayoendelea. Wanaharakati na wafuasi wengi wa CHADEMA wanamtuhumu kuhusika na utekaji. Kwa sasa wanamtuhumu kumteka Polepole. Hakuna uthibitisho wa madai yao ila wahenga walishasema lisemwalo lipo. Kama ni kweli Mafwele anahusika...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Kila utekaji ni afande Mafwele, hivi ndugu wa waathirika wameshindwa kushughulika naye hata kwa radi?

    Nasikitika sana kuona watu wanamtaja afande mafwele kushiriki ktk kila utekaji na wakati huohuo wakishindwa kuchukua hatua dhidi yake. Hivi kweli ndugu wa waathirika wameshindwa kuungana na kushughulika na Mafwele wala ndugu zake ili kulipiza? Kwa hali hii kweli mtaweza kuandamana hiyo tarehe...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Polisi wasianze na Mafwele Kwanza kwenye upelelezi?

    Habari wanaJF, Kwanza kabisa suala hili la Polepole limenisikitisha sana ila Kuna maswali najiuliza huyu ambaye anajulikana Kama Mafwele ametajwa kwenye masuala ya utekaji mengi kwanini asichuliwe hatua nimeshangaa pia katajwa kwenye hili tukio la Polepole yeye ni Nani asichuliwe hatua? Haya...
  8. Mnyenz

    JamiiForums Tanzania Kwenda VETA ni jau, lakini DEGREES ARE USELESS.

    Degree imekua nyepesi sana kuipata aseee!!! Toka lini kitu kinachopatikana kirahisi kiwe na thamani? Ushauri: Kabla ya kupoteza muda wako kwenda kusoma degree hebu jitafakari kwanza. Game imechenji, chawa wanapata kuliko wenye degree zao(sihamasishi uchawa) Tazama hiyo video hapo chini...
  9. britanicca

    JamiiForums Tanzania That man ought to be serving a life sentence-rightfully held accountable for his central role in planning and executing crimes

    Rather than enjoying impunity, Mafwele ought to be serving a life sentence-rightfully held accountable for his central role in planning and executing crimes against humanity. The magnitude of his actions demands not just national condemnation but int'l judicial intervention. Britanicca
  10. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania GROK: Mjue Faustin Mafwele na matendo yake dhidi ya binadamu

    Je Faustin Mafwele ni nani? Kwa nini analalamikiwa sana? Kwa mujibu wa AI ya GROK iliyopo mtandao wa X:- Faustine Mafwele ni afisa wa jeshi la polisi la Tanzania, ambaye kwa sasa ana cheo cha Kamishna Msaidizi wa Polisi (Assistant Commissioner of Police - ACP). Ameshikilia nyadhifa mbalimbali...
  11. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Mvutano wa Kisheria Waanza Kesi ya Boniface Jacob, Andiko Kuhusu Mafwele Lawekwa Kwenye Hati ya Mashtaka

    Boniface Jacob ameweza kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Septemba 19,2024,toka akamatwe hapo jana katika mgahawa wa Golden Fork, Sinza. Hati ya Mashtaka ya kesi inayomkabili Boniface Jacob inaeleza kuwa anatuhumiwa kwa kuchapisha taarifa za uongo kinyume na Sheria ya Makosa...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa tuhuma za Boni Yai na tuhuma za ACP Faustine Mafwele nani anastahili kufuatwa kwa mitutu na mbwembwe za Polisi?!

    Mimi ni Mwana CCM lakini wakati mwingine naona hadi aibu nikiwa na Watu wenye akili around! Kwanza Hongera sana Comrade Balozi Dr.Emmanuel Nchimbi kwa press uliyofanya hivi karibuni! Nimekubali kwamba ni kweli umekomaa na uliandaliwa vizuri ndani ya CCM kupitia UVCCM! Hayati Mkapa aliona kitu...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kamanda Faustine Mafwele mfungulie kesi Sativa

    Bandugu, mhanga wa utekaji, uteswaji na uuaji Sativa aliyeokotwa huko Katavi amemaliza ugomvi na kufungua sintofahamu kwa nani aliyemteka, kumtesa na kumtupa porini baada ya kumpiga risasi ya kichwa. Sativa amejitokeza hadharani na kumtaja kuwa Kamanda wa Polisi, ACP Faustine Mafwele wa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania OC - CID Mafwele ni nani? Kwanini haguswi na uhamisho wa Polisi nchini?

    HIVI OC-CID MAFWELE NI NANI? WENYE DATA ZIMWAGENI HAPA Kwa mtu ambaye ni mkazi wa jiji la Arusha na viunga vyake nadhani atakuwa anamjua vizuri mkuu wa upelelezi wilaya ya Arusha,OC-CID Faustine Mafwele. Kiongozi huyu wa jeshi la polisi amekuwa akilalamikiwa kwa kiasi kikubwa kwa kukandamiza...
  15. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Battle ya Sativa vs ZCO Faustine Mafwele bado mbichi

    Nitaweka mfulizo wa posts za Sativa kutoka kwenye ukurasa wake wa Twitter akimshutumu ZCO Faustine Mafwele kuwa ndiye kinara wa utekaji na uuaji unaotekelezwa na taasisi za Serikali dhidi ya wakosoaji/ wanaharakati wa siasa. 1. Namna alivyomtambua ZCO MAFWELE Siku ya kwanza nimeongea story...
  16. Msanii

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini Polisi haijibu tuhuma alizotoa Sativa juu ya Faustine Mafwele kuhusika kwenye utekaji wake?

    Huu ni uzi wa maelezo ya kijana SATIVA (katika mtandao wa X) namna alivyomtambua Mafwele kwenye sakata lake la jaribio la kuuawa lililoshindikana - Boniface Jacob: Sativa amemtambua ACP Faustine Mafwele miongoni mwa askari waliomhoji Oysterbay alipotekwa TAFAKURI: Kwa nini Jeshi la Polisi...
Back
Top Bottom