mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kuingia deal ya mafuta na Uganda Game changer ama risk kwa uchumi?

    Kenya imechukua hatua kubwa baada ya William Ruto kutangaza kuwa nchi itawekeza kwenye refinery ya mafuta ya Uganda yenye thamani ya zaidi ya Ksh.500 billion. Hii si deal ndogo ni move inayoweza kubadilisha mwelekeo wa energy sector Afrika Mashariki. Akiongea katika Africa We Build Summit 2026...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania Iingize Pesa za Kujenga Kiwanda Cha kusafisha Mafuta Kwa Kushirikiana na Dangote Kenya na Uganda Zinaona Italeta Ushindani Kwa Mafuta Yao.

    Nimeona Dangote anawashawishi kina Museveni na Ruto kwamba Yuko tayari kujenga Kiwanda Cha Mafuta chenye Ukubwa kama kile Cha Nigeria kwenye Bandari ya Tanga ikiwa atapata ushirikiano kutoka Uganda na Kenya japo haijawekwa wazi ni ushirikiano wa kupata soko au wa fedha au source ya Mafuta. Kwa...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Bei za mafuta zawakamua Watanzania wakati migogoro ya Mashariki ya Kati ukiendelea

    Kila asubuhi kabla ya jua kuchomoza, Herry Msese huwa anaendesha daladala yake na kupita mitaa yenye shughuli nyingi ya Dar es Salaam, Tanzania, akiwasafirisha abiria wengi katika barabara yenye msongamano mkubwa. Hata hivyo, katika wiki za hivi karibuni, mafuta yamekuwa yakimtia wasiwasi...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Sudan yakabiliwa na mgogoro mkubwa wa mafuta wakati bei ikipanda

    Mji mkuu wa Sudan, Khartoum, unakabiliwa na mgogoro mkubwa wa mafuta. Mamia ya magari yamepanga foleni katika vituo vichache vya mafuta vinavyofanya kazi, huku madereva wakisubiri chini ya jua kali, na wakati mwingine wakisubiri kutwa nzima kununua dizeli au petrol. Ridhwan Ahmed Al-Nayer...
  5. T

    JamiiForums Tanzania HOJA Katikati ya crisis ya mafuta ambayo hatujui tunatokaje tunateketeza mamilioni ya Lita za mafuta kukimbiza mwenge

    Ikiwa rais alisema anapunguza milolongo ya misafara yake ili kubana matumizi ya mafuta huu mwenge unakimbizwa kutumia nishati gani? Ni kwa nini katika kipindi cha crisis kama hiki tuendelee kufuja pesa za wananchi kulipia mwenge?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini magari yanayoingia Tanzania hutumia mafuta mengi mizunguko ya mjini kiasi cha kuwaumiza wanunuzi, hadi kuyaita majini au kuyauza?

    Ukipitia page za wauzaji wa magari yaliyofika nchini au waagizaji huwa kuna kigezo muhimu cha makadirio ya matumizi ya mafuta, huwa kuna makadirio ya highway na makadirio ya mizunguko ya mjini (city driving), na haya makadirio ya mjini ndio yatayogusa post hii. ,Mfano Brevis cc 2490 city...
  7. JamiiForums Tanzania Yesu anasema watakao mafuta watapata mabikira 100 peponi

    Mathayo 19:29 Na kila mtu aliyeacha nyumba, au ndugu wa kiume au wa kike, au baba, au mama, au watoto, au mashamba, kwa ajili ya jina langu, atapokea mara mia, na kuurithi uzima wa milele. Andiko lipo wazi waliomfuata watapokea mara 100 peponi Neno Nyumba hapo linawakilisha mke Kama ulikuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Car4Sale 2021 Ford Ranger Thunder AKA mafuta kisoda iko sokoni

    Bei/Price TSH 85M Call/Whatsapp +255 747 999 927 FORD RANGER THUNDER(EEK) Year: 2021 Engine: 2.0L Mileage: 132K Bi-Turbo Engine Fuel Used: DIESEL Transmission: AUTO Fog Lights Back Camera Push To Start Clean Interior Well-Maintained Exchange Possible
  9. M

    JamiiForums Tanzania Madiwani Tunduru wapinga mpango wa Rais Samia kubana matumizi hasa kipindi hiki cha uhaba wa mafuta

    Baraza jipya la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru lipo Mkoani Katavi kwa siku tano kujifunza kuhusu hewa ukaa. Madiwani wote zaidi ya 60 na wakuu wa idara watakuwa nje ya halmashauri kwa zaidi ya wiki moja kwaajili ya safari hiyo. Tsh Milioni 1.8 italipwa kwa kila diwani katika...
  10. JamiiForums Tanzania Watanganyika tunapakwa mafuta kutayarishwa kupokea ripoti ya Chande, kila mtu anaisemea mazuri - mshayajua matokeo!

    Wakuu, Mmeona tunavyoandaliwa kisaikolojia kuipokea ripoti ya tume ya Chande? Chawa washalipwa kuja kuisema mazuri - 'ripoti ya chande itakuja kuliponya taifa' - we ulikuwepooo? Wameanza na viongozi wa dini, chawa chawa wapuuzi, eti wanamtumia hadi jaji kuja kueleza upuuzi wao! Tutaendelea...
  11. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania EPRA Kutangaza Bei Mpya za Mafuta: Je, Zitapanda?

    Wakenya wako katika hali ya kusubiri huku Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Petroli (EPRA) ikitarajiwa kutangaza bei mpya za mafuta, hatua inayoweza kuathiri moja kwa moja gharama ya maisha nchini. Kila mwezi, EPRA hutangaza bei za juu za rejareja za petroli, dizeli na mafuta ya taa, ambazo...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna mpango wa kutumia bomba la TAZAMA kusafirisha mafuta humu nchini?

    Bomba la TAZAMA lina urefu wa 1700 kilomita. Linatola Dar es Salaam, Tanzania hadi Ndola, Zambia. Zamani hasa lilikuwa linasafirisha mafuta ghafi. Mwaka 2023 wameliupgrade na sasa linasafirisha Diesel. Asilimia 85 ya diesel kwenda Zambia wanatumia bomba la TAZAMA. Wana mpango waliweke sawa ili...
  13. JamiiForums Tanzania Nchi 10 za Afrika zenye bei rahisi zaidi za mafuta (petrol) April 2026

    Hizi ndio nchi 10 za Africa zinazoongoza kwa bei rahisi zaidi za Mafuta (Mafuta ya petrol) Bei zipo kwa USD na chini kuna equivalent yake ukicompare na Tanzanian shilling 1. Libya $0.023/litre Tsh 59.58 2. Angola $0.327/liter Tsh 847.11 3. Algeria $0.354/liter Tsh 917.06 4. Egypt...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Akitokea anayetaka kutumia suala la mafuta kama fursa kujinufaisha, tutamwambia hapana

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameyasema haya leo Aprili 12, 2026 wakati akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Chamwino, Jimbo la Mvumi mkoani Dodoma
  15. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Kila siku tunakaa vikao vya kisekta kuhakikisha mafuta yanakuwepo ili shughuli zisiathirike

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameyasema haya leo Aprili 12, 2026 wakati akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Chamwino, Jimbo la Mvumi mkoani Dodoma
  16. R

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Rushwa hii, Nchi ya kitu kidogo hii, hata Hormuz ikifunguliwa mafuta yaka flow kawaida bei ya Mafuta hapa Tz haitashuka

    Mtakuja kuniambia. Time will tell! Nchi hii ya kijambazi, majizi , wala Rushwa hata Hormuz ikifunguliwa to 100 % functional to let tankers sail through, na bei ya dunia ikashukakuwa kama mwanzo, HAPA BEI YA MAFUTA HAITASHUKA. Akina Msoga and Co. Ltd, ndipo sasa wanakuwa trillionaires!
  17. JamiiForums Tanzania TASAC yaanza tathmini ya athari za bei ya mafuta kwa nauli za usafiri wa majini

    Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limetangaza kuanza kwa tathmini ya athari za ongezeko la bei ya mafuta katika sekta ya usafiri wa majini, hatua inayolenga kubaini kama kuna haja ya kurekebisha nauli za abiria. Tathmini hii imechochewa na mabadiliko ya bei elekezi za mafuta yaliyoanza...
  18. JamiiForums Tanzania Mataifa 10 Yanayoongoza Katika Uzalishaji wa Mafuta Duniani

    1. Marekani- Mapipa milioni 22 Kwa zaidi ya miaka saba mfulululizo, Marekani imekuwa ikiongoza katika uzalishaji wa mafuta, na huzalisha zaidi ya mapipa millioni 22 kila siku. Marekani pia ndiyo watumizi wakubwa wa mafuta ghafi, kutokana na idadi yake kubwa ya watu. Jimbo la Texas ndilo...
  19. JamiiForums Tanzania Metric Tonne (MT) Ndio Kipimo Kikuu Kinachotumika Wakati Kuuza na Kununua Mafuta katika Soko la Kimataifa

    Katika mijadala mingi kuhusu biashara ya mafuta duniani, mara nyingi watu huamini kuwa mafuta huuzwa kwa kutumia barrel (pipa) kama kipimo kikuu. Ingawa kipimo hicho hutumika kama benchmark ya bei, ukweli wa kitaalamu na kibiashara ni kwamba: Katika bulk procurement na mikataba mikubwa ya...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Yapata Aibu Nyingine Ni Baada ya Uganda Kukataa Kuwapa Msaada wa Mafuta

    My Take Wakaombe Kwa Beberu USA wanakoshoboka huku wakisifiwa na desperate and useless Chadema fans 😂😂👇👇 Kiukweli Uganda wamejua kunifurahisha. Tanzania ya Samia tuna Akiba ya miezi 3 na matenki yakikamilika tutakuwa na Akiba ya mwaka mzima. ----- Uganda 🇺🇬 has turned down Kenya’s 🇰🇪 request...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…