mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Hivi ukiongeza kodi kwenye mafuta, bei itabaki pale pale?

    Hili ndio swali ninalojiuliza na sitashangaa wafanyabiashara wa mafuta wakapunguza au kuacha kabisa kuagiza mafuta in case wanapata hasara. Tunaweza kufurahia haya maamuzi leo hii halafu kesho tukaanza kulia kuna uhaba wa mafuta. Inawezekana tunafanya maamuzi bila kuwaza kwa mapana nini...
  2. JamiiForums Tanzania Bei za Mafuta zapanda kuanzia Septemba 1, 2021

    TAARIFA KWA UMMA KUHUSU BEI KIKOMO ZA BIDHAA ZA MAFUTA YA PETROLI KUANZIA JUMATANO, TAREHE 1 SEPTEMBA 2021 Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 1 Septemba...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Haya mafuta ya kupikia yaliyotumika yanakusanywa kwa ajili ya kazi gani?

    Kuna kampuni ambayo sitaki kuitaja jina imekuwa ikikusanya mafuta ya kupikia yaliyokwishatumika mahotelini, na mafuta haya wao huchukua bure. Kampuni ina jina la mnyama na inamalizikia na Bio Product. Haya mafuta siyo yanachakachuliwa yanarudishwa tena kwenye mzunguko? Ama kweli akili ni nywele...
  4. JamiiForums Tanzania Msile mpaka daktari awaambie punguzeni, kula kwa kiasi na ukumbuke kuyaunguza mafuta kwa mazoezi

    Sasa huyu shost akiambiwa alipie nyama zote alizozi contaminate, bado tozo la miamala. Maisha ni magumu sana.
  5. JamiiForums Tanzania Punguza gharama za kutumia mafuta kwenye gari lako. Sasa unaweza kutembea kilomita 180 kwa gharama ya Tsh.15,000 tu

    Kwa wale wamiliki wa magari ikiwa umekuwa ukiwaza ni namna gani utapunguza gharama za matumizi ya mafuta kwenye gari lako BASI UJUMBE HUU UNAKUHUSU. Tumekuwa tukilalamikia juu ya gharama za mafuta katika kuhudumia magari yetu ila kwa sasa mkombozi amewasili. Gharama za maisha zinapanda kila...
  6. JamiiForums Tanzania Mafuta ya betri ni dawa sahihi ya kutibu mdudu wa kidole?

    HaBari wadau..! Husika na kichwa cha habari hapo juu.
  7. JamiiForums Tanzania Market price ya mafuta ya alizeti Dar (Jumla na rejareja)

    Salaam wadau, Naomba msaada wa kufahamishwa market price ya mafuta ya alizeti kwa Dar es salaam katika ujao huu apa "0.5 Lt, 1 Lt, 3 Lts, 5 Lts, 10Lts & 20Lts" Ahsante.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Suzuki Grand Escudo: Ipoje >> Speak, Mafuta?

    Wakuu nimeichek hii nimeona Kama itanifaa kwa ninapoishi kuna makorongo Sana. Vipi Spea zake? **Correction: Speak= Spea
  9. JamiiForums Tanzania Utafiti binafsi: Vyakula vingi vya mama nitilie Dar es Salaam vinatiwa mafuta na maji ya upako

    Habari! Nimeongea na mama nitilie kadhaa nimegundua kuwa sasa wameamua kuachana na waganga wa kienyeji katika kukuza biashara zao. Na sasa wameamua kutumia mafuta na maji ya upako ambavyo vinapatikana kwa bei ndogo na kwa uwazi. Bila kujali dini au madhehebu yao wamama na wadada hawa...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uingereza: Mchungaji Mwenye Asili ya Kenya Kortini kwa Kuuza Mafuta analiyodai yanatibu Covid-19

    Askofu Climate Wiseman mwenye asili ya Kenya amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kuuza mafuta anayodai yanatibu COVID19 Askofu huyo anayeishi Uingereza anakabiliwa na Mashtaka ya udanganyifu na kufanya Biashara isiyo na usawa (fairness) Hakimu wa Mahakama ya Lavender Hill ameshindwa kutoa...
  11. JamiiForums Tanzania Siasa za Mafuta na Gesi: A Performance Audit Report On Produced Graduates in Oil and Natural Gas Industry in Tanzania

    A PERFORMANCE AUDIT REPORT ON PRODUCED GRADUATES IN OIL AND NATURAL GAS INDUSTRY IN TANZANIA EXECUTIVE SUMMARY All personnel either directly or indirectly employed by International Oil and Natural Gas companies have to meet certain professional standards and levels of qualifications. Therefore...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mafuta ya alizeti

    Hello wapendwa, Kutokana na changamoto za hapa na pale nmeamua kujihusisha na biashara ya kuuza mafuta ya alizeti. Hali ni ngumu jamani unaweza tamani kujiuza. Ila nimeona kuliko nifikie huko ni bora nitafute rikizi. Nauza elf 30 dumu la lita 5. Ni mazuri kabisa. Mwenye uhitaji anipm nakuletea...
  13. JamiiForums Tanzania Nahisi nina bahati mbaya, au siyo fungu langu?

    Mie nimehongwa gari bila kadi lakini hata mafuta siwekewi wala sevisi[emoji1751] mimi na jjemba naipenda kwelikweli na tuna mwaka sasa na miez sita lakini hanitrit vizuri hata kidogo..mpaka akiona nataka kumuacha yaani nimemchunia hata meseji situmi wala sionani naye bas hapo atakuja kwa magot...
  14. JamiiForums Tanzania SoC01 Kilimo cha kimkakati ili kuondoa upungufu wa mafuta ya kula nchini

    Kilimo cha kimkakati ni aina ya kilimo kinacholimwa kwa lengo la kuzalisha mazao yanayotosheleza mahitaji ya nchi na kubaki ziada. Kwa miaka mingi sasa kumekuwa na tatizo la upungufu wa mafuta ya kupikia nchini.Ili kuondokana na tatizo hilo nchi inatakiwa kuanzisha kilimo cha mazao yafuatayo...
  15. JamiiForums Tanzania Bei za mafuta Zapanda tena

    Bei za mafuta zimepanda tena, hii inaashiria kuendelea kuongezeka kwa gharama za maisha. Pengine kwenye soko la dunia bei imeongezeka Ila serikali isingeongeza kodi kwenye mafuta kwenye hii bajeti mpya basi Bei zingekuwa kidogo afadhali. Sikujua kwa nini serikali iliongeza kodi kwenye mafuta...
  16. JamiiForums Tanzania Msumbiji: Mafuta kuchotwa Baharini inawezekana vipi?

    Wakubwa salaam Kuna clip inasambaa kwa kasi kutoka Mozambique Mkoa wa cabo Delgado almaarufu kama Pemba wananchi wakichota kinachosemekana ni mafuta ukingoni mwa bahari Mi swali langu ni hii kitu inawezekana kweli? Yaani mafuta yachotwe bila kuchanganyika na maji naomba wajuzi watujuze jmn...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Bomba la Mafuta kulikoni?

    Maisha ya Tanzania yamejawa na matukio leo uraiani kesho Serikalini kama sio huku basi itatokea Kanisani au kwenye Chama cha Siasa. Bahati mbaya mambo ya msingi hayatiliwi maanani kabisa. Hebu fikiria suala la Tozo za Miamala hatima yake haijulikani. Kama ulimsikia Spika wa Bunge utajua...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia, unaona upunguze bei ya Pombe uongeze kwenye Mafuta na Miamala ya Simu kweli?

    Rais ambaye umekulia mazingira ambayo unayafaham vizuri. Unabana kwenye Mafuta ambako ni usafiri uti wa mgongo wa maendeleo. Unaongeza kodi huko. Kuumiza wakulima, wafanyabiashara na wafugaji. Unaachia kwenye kilevi ili wote tuwe tunalewa tusitumie tena akili. Si ndiyo? Unaongeza kodi kwenye...
  19. JamiiForums Tanzania Mwigulu amenilazimu niweke mafuta ya elfu 10,000 kwenye pikipiki ili nipeleke Tsh 2,000,000 Kijiji jirani

    Nawasalimu wanajamvi wote hapa javini, Kwanza naomba nianze kwa kunukuu maneno ya waziri wa fedha Mr Mwigulu alietuambia watanzania kwamba,"kama mtu anataka kuhamia Burundi kwasababu ya tozo kwenye miamala na ahame". Ndugu zangu leo nimelazimika kupoteza muda wangu ili mradi tu nikwepe kulipa...
  20. JamiiForums Tanzania Watanzania waanza kununua petroli na dizeli nchini Zambia

    Kwa mujibu wa VOA Swahili, Watanzania wa mipakani wameanza kuvuka mipaka na kwenda Zambia kununua mafuta (Petrol/Diesel) Kumbuka hayo mafuta yamepita kwenye bandari yenu na kusafirishwa mpaka Zambia na matozo kibao. Pesa ya kununua lita moja Tanzania ukienda Zambia unapata lita moja na nusu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…