mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Waziri Mwambe: Mafuta ya kula yako ya kutosha upandaji bei umesababishwa na kupanda production cost huko nje!

    Waziri wa viwanda na biashara mh Mwambe amesema kuna stock ya kutosha ya mafuta ya kula nchini hivyo wananchi wasiwe na wasiwasi wowote. Mwambe amesema wanatafiti kujua kwanini wafanyabiashara wanapandisha bei lakini taarifa za awali ni huenda gharama za uzalishaji huko nje zimepanda. Chanzo...
  2. J

    Mamalishe Mtwara walia kupanda bei mafuta ya kula na unga wa ngano waomba Serikali iingilie kati!

    Mama lishe mkoani Mtwara wameiomba serikali kuingilia kati upandaji holela wa bei za mafuta ya kula na unga wa ngano. Wajasiriamali hao wamedai upandaji bei wa bidhaa mbalimbali kiholela unawafanya wapate hasara kubwa katika shughuli zao na endapo serikali haitaingilia kati hali itakuwa mbaya...
  3. M

    Anayefahamu mafuta ya Wheat Germ Oil

    .
  4. J

    Waziri Mwambe: Bei ya Mafuta ya Kula imepanda kutokana na ongezeko la bei kwenye Soko la Dunia iliyosababishwa na Corona

    Waziri wa biashara Mh. Mwambe amesema bei ya mafuta ya kula imepanda kutokana na ongezeko la bei ya bidhaa hiyo kwenye soko la dunia. Mwambe amesema bei kwenye soko la dunia imepanda kutokana na fakta mbalimbali kubwa ikiwa ni ugonjwa wa Corona. Mwambe amesema kwa sasa kuna meli mbili za...
  5. Dumu la mafuta ya kupikia lita 20 ni 82000 na cement ni 24000, hakuna wa kuongea tena!

    Nani atawasemea tena Watanzania kuhusu hizi gharama za kila kitu kupanda? Je, bado hatuoni faida ya Wapinzani Tanzania? Je, ni Wapinzani pekee wanaumizwa na gharama hizi? Maoni yako tafadhali. Tukumbuke cement haitoki nje (kisingizio cha COVID-19 hakipo). Tunalima alizeti mikoa mingi tu...
  6. Bei ya Petroli yashuka. Bei ya Dizeli na Mafuta ya taa zapanda

    Dar es Salaam. Mamlaka ya Udhibiti Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imetangaza kupungua kwa bei ya petroli kwa Sh31 kwa lita moja mwei huu. Wakati petrol ikipungua, bei ya dizeli imeongezeka kwa Sh9 wakati ile ya mafuta ya taa ikipanda kwa Sh29 kwa lita moja. Mabadiliko ya bei hizo za jumla...
  7. Kampuni ya mafuta ya Total imewaondoa maelfu ya wafanyakazi wake Msumbiji

    Wanamgambo walisambaza vijikaratasi vinavyotishia kushambulia eneo la Palma. Kampuni ya mafuta ya Total imewaondoa maelfu ya wafanyakazi wakekatika visima vya mafuta vilivyopo kaskazini mwa Msumbiji baada ya wanamgambo walio watiifu kwa kundi la Islamic State kutishia kushambulia mji muhimu...
  8. Tunauza Viwanja na Mashamba kwa bei nafuu

    Habari wana JF.Nina hekari 2,000 za shamba maeneo ya mazinde wilaya ya korogwe mkoani Tanga. Ninatumia heka 1,000 tu.Zimebakia heka 1,000 kwa mwekezaji yoyote wa kilimo aje. Pembeni limepakana n mto ambao haujawahi kukauka maji. Nauza 1,000,000 Kwa Heka 1. DIRECTION YA SHAMBA LILIPO Ukiwa...
  9. E

    Ni kwanini shirika la TPDC tangu lianzishwe mwaka 1973 mpaka leo halijafanikiwa kuvumbua mafuta?

    Habari za Leo wakuu, Mimi kama mtanzania naumia sana juu ya taifa letu kuto kuwa na mafuta wakati jirani zetu wa Uganda wamevumbua. Nilimsikiliza kwa umakini sana mzee Mseveni siku ile anahutubia kwenye uwanja mpya wa ndege chato. Na nilimwelewa sana yule mzee kuhusu historia ya kutafuta...
  10. Ushauri kwa Serikali zote mbili - Uchimbaji Mafuta

    Najua kuna harakati au mchakato wa kuchimba mafuta. Dunia inaelekea kwenye chanzo cha umeme hususani nchi nyingi zishatoa matamko ya kupiga marufuku magari ya mafuta. Hii ina maana madini haya mafuta hayana future na bei yake itapungua kwa kasi miaka ijayo. Nchi zilotoa misimamo ya kusimamisha...
  11. B

    Hizi bahasha wanazopewa waandishi habari baada press release ni mafuta tu au ni takrima?

    Nimefanya utafiti kuhusu namna waandishi wa habari wanavyouza weno wao kwa makundi ya watu wenye fedha na taasisi mbalimbali. Mtanisaidia kukosoa ila Hali ipo hivi kwa kifupi. 1. Kila Waandishi wahabari wanapoitwa kwenye tukio lazima uone wakisaini bahasha za kaki na waandika majina...
  12. E

    Hatimae Nimefanikiwa kugundua njia ya kuibadilisha carbondioxide kuwa mafuta (petroli na dizeli)

    Habari za Leo wakuu, Natumai mu wazima wa afya njema. Gesi ya kabondioxide imekuwa ikitolewa kwa wingi kutoka kwenye injini za magari na kwenye mitambo viwandani. Injini za magari na mitambo ya viwanda vinavyo tumia mafuta hutoa gesi ya kabondioxide mara tu baada ya mafuta kuunguzwa kwenye...
  13. Naliona Soko la Mafuta ya Diesel na Petroli likipata changamoto miaka michache ijayo

    Habari zenu. Nimekuwa nikifatilia kwa karibu mabadiliko ya technology yanayokuja kwa kasi kwenye vyombo vya moto. Kuhama kutoka kwenye matumizi ya diesel na petroli kwa mbadala wa umeme. Kama ambavyo tunamuona injinia gwiji Elon Musk kupitia Tesla Electric Cars Solar & Clean Energy anakuja kwa...
  14. S

    Serikali ya wanyonge inapanga bei elekezi kwa ajili ya bidhaa za viwandani, lakini kwa makusudi imeamua kuwapuuza na kutowajali kabisa wakulima

    Japo kwa miaka mingi Tanzania tunajisema kilimo ni uti wa mgongo, ukweli ni kwamba wakulima katika nchi hii ndio kundi la mwisho kukumbukwa na serikali. Tunafanya maendeleo ya mijini, kununua ndege, kujenga flyover nk, vitu ambavyo havimgusi sana mkulima wa kule kijijini. Wakulima wanaishi...
  15. Tatizo la uhaba wa mafuta ya kula siyo la Tanzania pekee

    Jana Kuna watu humu walikuwa wanajadili kuhusu uhaba wa mafuta ya kula. Leo FAO wametoa takwimu Kuwa mafuta ya kula yameadimika kwa asilimia 14 duniani kote. Tanzania siyo kisiwa changamoto hizi lazima tupambane nazo Kama nchi hakuna namna nyingine.
  16. N

    Bomba la mafuta kati ya Tanzania na Uganda lakabiliwa na changamoto za kisheria

    Wataalamu wa sheria hebu tasaidieni ===== Bomba la mafuta kati ya Uganda na Tanzania lakabiliwa na changamoto ya kisheria. Mashirika manne yasiyo ya kiserikali yamekwenda kwenye mahakama ya Afrika Mashariki ili kuzuia ujenzi wa bomba la mafuta la Afrika Mashariki EACOP uliofanywa na Uganda na...
  17. Wizi wa mafuta kwenye vituo: EWURA yawataka wenye magari kuwa makini

    Meneja Mawasiliano wa EWURA, Titus Kaguo, Alisema mtu anapokwenda kujaza mafuta anapaswa kuhakikisha kwenye pampu inasomeka alama 00 ndipo aanze kujaziwa mafuta, vinginevyo anaweza kuibiwa. “Mfano kama kuna mtu kapita hapo kajaza mafuta ya 20,000 na wewe umepita unataka kujaza pengine 50,000...
  18. Kuna nini kwenye bei za bidhaa kama mafuta? Vipi mlipo wana JF bei zikoje.?

    Wanajukwaa nawasalimu. Mimi niko mkoani Arusha na kuna mkwamo mkubwa sana wa upatikanaji wa Mafuta ya kula/Kupikia. Na ukiyapata dukani bei ni mkasi. Ile Singida ya Elfu 16 kwasasa inapatikana kwa taabu na bei yake imepanda mpaka elfu 25. Vipi huko kwenu mlipo hali ikoje? Hii ndiyo Tanzania...
  19. Kama Yalivyo Mafuta ya Total Kuongoza Kwa Ubora, Pia Vilainishi vya Total Vinaongoza Kwa Ubora, Vinadumisha Injini

    Madereva wa Tanzania, Wahimizwa Kutumia Vilainishi Vyenye Ubora, ili Magari yao Yadumu Zaidi na Zaidi Kampuni ya mafuta ya Total, ambayo ndio kampuni inayoongoza kwenye uuzaji na usambazaji wa mafuta na vilainishi nchini Tanzania kwa zaidi ya miaka 50, wamehimizwa kutumia vilainishi vyenye...
  20. Natafuta Jina la Kituo cha mafuta

    Wadau habarini. Ninatarajia kufungua Kituo Cha Mafuta, awali nililipenda jina la kituo liwe OTTO OIL Service Station. Nimeangalia BRELA jina hili limeshatumiwa. Nililipenda jina hilo la OTTO kwa sababu linashabihana sana na neno Auto, pia ni jepesi kulitamka na kulikariri pia. Pia herufi zake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…