Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Gairo Mkoani Morogoro imemsimamisha kazi Mganga Mkuu wa Wilaya hiyo, Dustan Mshana kwa tuhuma ya wizi wa mafuta lita 100, kununua kumpyuta chakavu pamoja na kutosimamia vizuri idara yake hiyo.
Mwenyekiti wa halmashauri hiyo, Rachael Nyangasi, alisema...