mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. Sri Lanka yaishiwa mafuta ya petroli

    Waziri wa Nishati, Kanchana Wijesekera amesema Taifa hilo lina Petroli ya kutosha siku isiyozidi moja kwa mahitaji ya kawaida. Wiki iliyopita, Taifa hilo linalokabiliwa na mdororo mbaya wa kiuchumi lilisitisha mauzo ya Petroli na Dizeli kwa baadhi ya Magari Kwa Mujibu wa Waziri huyo, Tani...
  2. Majanga: TRA wanashirikiana na wamiliki wa vituo vya mafuta kuhujumu kodi kupitia risti?!

    Vituo vingi vya mafuta havitoi tena risti za mfumo wa kielektroniki kwa kisingizio mashine ni mbovu. Huenda huo ni ulaji mpya baina ya maafisa wa TRA kwa kushirikiana na wamiliki wa vituo vya mafuta. Ajabu haupo ufuatiliaji mahsusi kuhusu hilo jambo.
  3. Sri Lanka yatangaza anguko la uchumi, watu wafa kwenye foleni za kusubiri mafuta

    Waziri Mkuu wa Sri Lanka, Ranil Wickremesinghe ametangaza kuanguka kwa uchumi wa nchi yake kulikosababisha na bei ya mafuta, umeme na uhaba wa chakula. Colombo ambao ni mji mkuu wan chi hiyo umeshuhudiwa kuwa na misururu ya watu wakitaka kupata mafuta. Ambapo hadi sasa watu 11 wameripotiwa kufa...
  4. Hata Joe Biden wa US apunguza kodi katika bei ya mafuta!

    Rais Joe Biden wa Marekani, leo ameondoa kodi katika mafuta ili kuwapa nafuu wananchi wake. Amewataka Magavana wa States za nchi hiyo vile vile wapunguze kodi na tozo katika States zao. KWETU TZ VIPI? Hapa Tz kodi na tozo katika mfuta bado zipo kati ya Tshs 800 hadi 900.
  5. Waafrika twendeni tukazoe mafuta ya chee Urusi kama wanavyofanya China na India

    Uchumi wa China na India inazidi kupaa wakati dunia ikiyasusia mafuta ya Urusi kibwege Afrika tumerogwa kwelikweli, hatununui mafuta ya Urusi eti tunaunga mkono shida za watu wanaotudai madeni makubwa sana wakati China na India na wajanja wengine wanaitumia fursa ya vikwazo vya mafuta kupata...
  6. Waziri Mwigulu: Hatubani matumizi kwa kukopesha watu magari yanayowekewa mafuta na Serikali

    Tusipakane mafuta kwa mgongo wa chupa. Njia pekee ya kubana matumizi ya serikali ni kwa kufanya yafuatayo: 1. Kuyafanya magari yote ya serikali yatumie gesi asilia badala ya mafuta na kuyafungia vifaa vya kuyafuatilia mienendo yao. Madereva wa magari ya serikali baadhi yao huwa wanaiba mafuta...
  7. Sri Lanka: Watumishi wa Umma waondolewa siku moja ya kazi kuhamasisha walime

    Serikali imeridhia pendekezo la Watumishi wa Umma kutoenda kazini siku ya Ijumaa kwa miezi mitatu ijayo ili kuwahamasisha kulima katika maeneo yao ili kukabiliana na uhaba wa chakula unaotarajiwa kutokea Sri Lanka inakabiliwa na mdororo mbaya zaidi wa Kiuchumi kutokea ndani ya miaka 70 na hali...
  8. Naibu Waziri: Suala ya wazalishaji mafuta ya kula kufutiwa 'VAT' linahitaji wataalamu

    Naibu Waziri wa Fedha, Hamad Hassan Chande amesema Serikali inafanya tathmini ya hatua mbalimbali zinazopaswa kuchukuliwa kwa kila Sekta ili kukabiliana na athari zinazotokana na Hali ya Kisiasa ikiwemo Vita ya Urusi na Ukraine Ameeleza hayo baada ya Mbunge Nancy Hassan Nyalusi kuhoji ni hatua...
  9. Tsh Bilioni 100 za Rais kila mwezi kwenye mafuta ni neema kwa Watanzania

    Na John Mwakanga, Mbeya Kupanda kwa bei za mafuta ni janga linaloendelea kuitikisa Dunia kwa ujumla. Kwa kuelewa uzito wake kwa wananchi wa Tanzania, Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imejitwika jukumu la kupunguza gharama kwa wananchi kwa kutoa ruzuku ya bilioni 100 kila mwezi. Juni 10...
  10. Hints za Rais Samia kuhusu Mafuta na Gesi Tanzania

    Contents za Rais 1. Kwa muda wote ambao nimekuwa Serikalini, tangu nikiwa Waziri, nimekuwa nasikia habari ya mradi huu wa LNG huko Lindi. Kuna wakati nikiwa Makamu wa Rais nilijaribu kuona kama naweza kusaidia kulisukuma mbele lakini lilikuwa zito kidogo na lina mambo mengi. Nilipopata nafasi...
  11. Hints za January Makamba kuhusu mafuta na Gesi Tanzania

    Contents za Mh. Waziri Makamba 1. Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asilia nchini ulianza mwanzoni mwa miaka ya 1950. Mafanikio makubwa yalipatikana yakiwemo ugunduzi wa gesi asilia katika kisiwa cha Songo Songo mwaka 1974 na Mnazi Bay mwaka 1982. Aidha, Katika miaka ya 2010 na 2012 utafiti...
  12. M

    Wakuu wa wilaya kujazia mafuta bodaboda ili wakampokee mkuu wa nchi ni kumhadaa kuwa anakubalika wakati si kweli

    Hii ni janja au akili mbovu? Yaani mnawapa boda boda lita tatu za mafuta kila anapopita rais Samia na kuwaambia boda wabebe raia ili kuonekana kuna nyomi linalomkubali mama? Ukweli ni kuwa hii ni hadaa ya kufa mtu. Boda boda wanajipatia mafuya ya bure tu. Hii imetokea kila mahala. Msilete...
  13. Je, kampuni Kemexon ya Ubelgiji ndiyo inayoiba mafuta na Gesi ya Mtwara?

    Salaam wakuu, Hivi karibuni tumeshuhudia Meli zikianza kubeba Makaa ya Mawe kutoka Mtwara. Watu wakadai Makaa ya Mawe Tanzania inayauza kwa kila tani moja ni Elfu sitini za kitanzania huku Soko la dunia kila tani ni Dola 300 zaidi ya laki saba za Kitanzania. Hivyo ikaonekana huu mkataba ni wa...
  14. Canola ni zao la mafuta linaloweza kuleta unafuu wa tatizo la uhaba wa mafuta Tanzania

    Canola ni zao la aina ya mmea jamii ya kunde; liligunduliwa uko Canada, na hili zao la canola limekuwa likilimwa zaidi ya miaka mingi sana uko Canada kabla ya kusambaa ktk bara zima la American. Hili zao limekuja kwetu Afrika mashariki zaidi limekuwa likilimwa Kenya hasa maeneo ya rift valley...
  15. Licha ya mafuta kushuka bei, LATRA yasema hakuna mpango wa kushusha nauli

    Baada ya bei ya mafuta ya Petroli, Dizeli kushuka, Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imesema hawana mpango wa kushusha nauli kwa sababu uendeshwaji wa vyombo vya usafiri hautegemei gharama za mafuta pekee. Mkurugenzi Mkuu wa LATRA, Gilliard Ngewe amesema gharama za mafuta...
  16. Mdude Chadema, Ahaidi kumpelekea moto alietoa ahadi ya kushusha bei ya mafuta

    Huu ni ujumbe toka kwa kijana machachali na mwanaharakati wa CHADEMA , Akihaidi kumpelekea moto mtu ambaye hajamtaja jina, CHADEMA INA WATU
  17. Poland yasema haina mafuta ya bure ya kuipatia Ukraine

    Vita vimeiharibu vibaya Ukraine, sasa Poland imeikatia mafuta ya bure. Wakati nchi za Ulaya zikiendelea kudai kuwa ziko pamoja na Ukraine kwa hali na mali na kwamba ziko tayari kuisaidia nchi hiyo iwapo Russia itafunga bomba lake la gesi isiingie Ukraine, sasa hivi nchi jiran ya Poland imesema...
  18. Ni kweli Rais Samia na Serikali hawakujua kuwa bilioni 100 haiwezi kuleta suluhu lolote kwenye hali ya mafuta na mfumuko wa bei? Tunakwama wapi?

    Kati ya Jambo linaloshangaza wengi hadi sasa ni kitendo cha serikali kushindwa kujua kuwa billion 100 isingekuwa Suluhu la ongezeko kubwa la bei ya mafuta ya petrol na dizeli. Watanzania wengi wasiolewa mambo walidhani kuwa ikiweka billion 100 basi kila kitu kuanzia mafuta na bidhaa zingine...
  19. Vituo vya Mafuta havijashusha Bei

    Kuna shida gani? Maana vituo vya Mafuta vunauza Bei ya Zamani. Kuna mgomo?
  20. EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta zinazoanza kutumika Juni Mosi

    Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya ya mafuta zinazoanza kutumika Juni mosi, huku kukiwa na unafuu kutoka na ruzuku ya shilingi Bilioni 100 iliyotolewa na Rais Samia mapema mwanzoni mwa mwezi huu. Bei mpya zilizotangazwa na EWURA zinaonesha kuwa petrol itauzwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…