mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. Bei ya mafuta yazidi kushuka

    Vicheko vitaendelea kutawala Oktoba kwa watumiaji wa mafuta kufuatia kushuka kwa bidhaa za mafuta kama mwenendo wa bei ulivyotolewa leo Oktoba 4. Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) inaonyesha kuwa bei za mafuta kuanzia Oktoba 5 zimeshuka hivyo...
  2. Tuunganishe nguvu tuwavutie wawekezaji kwenye haya maeneo ya mafuta na gesi tusiichie serikali pekee inatingwa

    Taifa letu lina maeneo mengi wazi ya kuwekeza katika sekta ya mafuta na gesi. Maeneo muhimu sana nayoyaona mimi ni yafuatayo: 1. Vituo vya kujaza mafuta mijini na vijijini (Fuel and service stations in cities and rural areas). # 2. Vituo vya kujaza gesi iliyoshindiliwa (CNG) mijini (CNG...
  3. Kampuni ya China yasema Bomba la Mafuta (EACOP) litajengwa kwa namna yoyote ile

    CNOOC International, kampuni ya Mafuta na Gesi ya China ambayo inamiliki hisa za uchimbaji Mafuta nchini Uganda, imesema mradi huo utatekelezwa kama ulivyopangwa, licha ya mvutano wa Tanzania, Uganda na Bunge la EU. Makamu wa Rais wa CNOOC, Dan Shao amesema walichokuwa wanahitaji ni msimamo wa...
  4. Naomba kufahamu aina ya lotion, cream au mafuta yanayofaa kwa ajili ya kuondoa madoa mwilini na yasiyochubua yaani kuondoa rangi ya asili

    Naomba kufahamu aina ya lotion, cream au mafuta yanayofaa kwa ajili ya kuondoa madoa mwilini na yasiyochubua yaani kuondoa rangi ya asili. Pia naomba kufahamu kwa matumizi ya cream kama goldie pearlybeauty cream ni nzuri kwa matumizi ya rangi nyeusi.
  5. Standard Bank yatetea ujenzi wa Bomba la Mafuta (EACOP)

    Standard Bank Group, benki ya kimataifa na yenye ushawishi katika ufadhili wa miradi mikubwa ya maendeleo barani Afrika imesema ujenzi wa Bomba la Kusafirisha Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) utakuwa na manufaa kwa wakazi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Standard...
  6. Rais Ruto: Kenya iko tayari kununua mafuta kutoka Urusi

    Ikiwa baadhi ya Nchi Duniani zimekata ushirikiano na Russia tangu vita yake dhidi ya Ukraine, Rais William Ruto amesema wanazingatia machaguo yote yaliyopo ili kupunguza bei ya Mafuta Nchini humo Amesema, "Sasa nitaendelea na ajenda ya kuhakikisha kuwa tuna uhusiano kati ya Serikali na Serikali...
  7. Maeneo muhimu ambayo serikali zetu zinapaswa kuzingatia wakati wa mazungumzo yao na makampuni ya mafuta ya mafuta na gesi

    Uvumbuzi wa mafuta na gesi huleta msisimko mkubwa sana katika taifa. Mara nyingi mataifa haya yenye utajiri wa rasilimali za mafuta na gesi hutafuta ushiriki wa makampuni ya kimataifa yenye rasilimali za fedha na utaalamu ili kusaidia kuzalisha na kuyauza mafuta na gesi katika mataifa hayo ili...
  8. Bomba la mafuta EACOP toka Uganda lazima lijengwe

    Big Up Mheshimiwa Cassim Majaliwa Kassim, Waziri Mkuu wa JMT. Suala la bomba la mafuta toka Uganda kuelekea Tanga, inapitia kwa umbali mrefu zaidi nchini Tanzania. Uchumi wa Tanzania utafaidika sana na ujenzi wa bomba hili, kwani kuna wananchi watafaidika moja kwa moja kwa kupata kazi na...
  9. Kenya yazuia aina 10 za Mafuta ya Kula kuuzwa madukani

    Shirika la Viwango (KEBS) limezitaja aina hizo za mafuta yanayotakiwa kuondolewa madukani haraka kuwa ni Friji Safi na Garlic Oil, Fry Mate, Bahari Fry, Fresh Fri, Gold na Pure Olive Gold, Postman, Rina, Salit, Tilly na Top Fry. Aina zilizoorodheshwa zinatengenezwa na kampuni za Bidco Africa...
  10. J

    Bungeni: Majaliwa awatoa hofu wadau mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta

    LEO BUNGENI DODOMA MAJALIWA AWATOA HOFU WADAU MRADI WA UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA Waziri mkuu Mhe. Kassim Majaliwa awatoa hofu wadau wa mazingira na wa haki za binadamu kuhusu utekelezaji wa ujenzi wa Bomba la mafuta kutoka Tanzania mpaka Unganda kuwa Mradi huo utazingatia Diplomasia za kitaifa...
  11. B

    Udhaifu katika kuishawishi dunia bomba la mafuta ghafi

    Wadau wa sekta ya mafuta, mradi huu mkubwa wa bomba la mafuta Hoima Uganda mpaka Tanga Tanzania serikali zetu hazikutekeleza mikakati ya kuifahamisha dunia manufaa yake. Tulijifungia na kuongea wenyewe kwa wenyewe kwa lugha zetu. Source : azam tv
  12. Bunge la Ulaya na Neo Colonialism-kiini cha kupinga bomba la mafuta toka Uganda hadi Tanzania

    Bunge la Ulaya limeazimia kuufuta mradi wa bomba la mafuta toka Uganda hadi Tanga Tanzania. Sababu za kitoto wanazotoa ati ni uharibifu wa mazingira na haki za binadamu!! Huu ni uhujumumu wa moja kwa moja kwa uchumi wa nchi za kiafrika zinazotaka kujikomboa katika umasikini kwa kutumia...
  13. N

    Tanzania ni nchi ya pili kwa kuuza mafuta bei Rahisi

    Tanzania ni ya pili kwa unafuu wa bei ya mafuta Afrika Mashariki, ahueni iliyotokana na ruzuku, TZS bilioni 100, inayotolewa kila mwezi Na Mhe. Rais Samia Suluhu. Kushuka kwa bei ya mafuta kunapelekea kushuka kwa gharama nyingine za maisha. Rais Samia Suluhu alisema lengo lake sio kuwadidimiza...
  14. Serikali yatoa msimamo ujenzi bomba la mafuta la EACOP

    Serikali ya Tanzania imesema hakutakuwa na athari zozote za kiamzingira wakati wa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima Uganda hadi Chomgoleani Tanga, kwani tahadhari zote zilizingatiwa kitaalamu. Waziri wa Nishati, January...
  15. Ujerumani yataifisha vinu vya mafuta vya Urusi

    Hamna namna....imebidi The German government has taken control of three oil refineries operating in Germany and owned by Russian oil giant Rosneft in an effort to forestall potential damage to its economy from the European Union's embargo on Russian oil. The embargo is set to go into effect on...
  16. Tanzania yaweka msimamo mradi wa bomba la mafuta baada ya kauli ya Bunge la Ulaya (EU)

    Serikali ya Tanzania imesema hakutakuwa na athari zozote za kimazingira wakati wa utekelezaji wa Mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirisha Mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima Uganda hadi Chongoleani Tanga kwani tahadhari zote zilizingatiwa kitalaamu. Waziri wa Nishati, Januari...
  17. Tanzania yaweka msimamo mradi wa bomba la mafuta

    Serikali ya Tanzania imesema hakutakuwa na athari zozote za kimazingira wakati wa utekelezaji wa Mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirisha Mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima Uganda hadi Chongoleani Tanga kwani tahadhari zote zilizingatiwa kitalaamu. Waziri wa Nishati, Januari...
  18. Ulaya yatapatapa kuzuia ujenzi wa bomba la mafuta la Uganda hadi Tanzania

    Kama wewe ni wale waafrika wanahamaki wanamapinduzi tukiwaita wamagharibi mabeberu kutokana na ulevi wa fikra waliyofanikikiwa kukupandikiza, na kama uko Afrika ya mashariki yafaa uzinduke sasa. Kutokana na mipango ya nchi za maghararibi nchi za Uganda na Tanzania haziruhusiwi kuendeleza miradi...
  19. Tanzania na Uganda zapigwa marufuku na Ulaya kuendeleza Miradi ya Mafuta na Gesi

    Salaam Wakuu, Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia Azimio linalozitaka Tanzania na Uganda kusitisha mara moja uendelezaji wa Miradi ya mafuta na Gesi katika Ukanda wa Afrika Mashariki. Wanadai miradi hiyo inaharibu mazingira. Wakati Bunge la Tanzania likiwa kimya, Bunge la Uganda limelaani...
  20. Mwigulu Nchemba: Mfumuko wa bei utashuka na bidhaa zitashuka. Asema mafuta yalipandisha bei

    Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba amesema tunakoelekea bidhaa zinaenda kushuka bei kwasababu zilipanda kuitikia kupanda kwa bei ya mafuta. Mwigulu amesema mafuta yamepungua kwa zaidi ya Tshs 400. Mwigulu anaamini kwa jitihada za Rais Samia kuweka bilioni 100 kila mwezi itazidi kupunguza bei ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…