Ufafanuzi juu ya suala la uagizaji wa mafuta nchini kipindi cha Aprili - Juni, 2026.
Tarehe 27 Juni 2026, kupitia akaunti ya Instagram ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, alichapisha taarifa akidai kuwa Kampuni ya Vitol imeiuzia Tanzania mafuta kwa gharama kubwa zaidi kuliko Uganda...