mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. Hivi suala la mafuta kuwa machafu na masafi baadhi ya sheli lina ukweli ndani yake? Kuna madhara gani?

    Habari wana JF, swali langu linalenga watumiaji wa vyombo vya moto. Je, ni kweli mafuta machafu yapo kwenye baadhi ya vituo vya mafuta au ni uzushi tuu? Na kama ni kweli kuna mathara gani unapoweka hayo mafuta kwenye chombo cha moto?
  2. U

    Tumekosana hatuongei! kisa nimemfananisha na mafarisayo, anadai kuagiza chakula hotelini au kujaza mafuta gari yako siku ya Sabato ni dhambi!

    Wadau hamjamboni nyote? Ni kisa cha kweli kabisa nimeona nikilete kwenu tupeane uzoefu Nimekosana na rafiki yangu wa karibu kwa sababu zisizo na mashiko kabisa! Tulianza kama utani kujadili amri za Mungu na tulikwenda vema tu hadi tulipofikia kujadili utunzaji amri ya nne ndipo tukakosana...
  3. Mwanaume pendezesha nywele yako kwa mafuta haya

    Ndugu zangu natumai mko salama kabisa. Matumizi a. Baada ya kuoga/kuosha nywele paka mafuta yako kwa kutumia mkono. b. Pia unaweza kupaka mafuta haya hata kama hujaosha nywele/kwa nywele kavu. c. Paka Mara moja tu kwa siku. Na tumia kiasi kidogo sana kwani mafuta haya yanakolea sana na kwa...
  4. Waziri Mbarawa atembela eneo ujenzi wa matenki ya kuhifadhia mafuta TPA, apongeza

    Na Mwandishi Wetu,Dar ES Salaam Waziri wa Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa ametembelea mradi wa ujenzi wa matenki maalum ya kuhifadhia mafuta (Oil Terminal) wa TPA unaofanyika katika wilaya ya Kigamboni jijini Dar es Salaam ukihusisha ujenzi wa matenki makubwa 15 yenye uwezo wa kuhifadhi ujazo...
  5. Mjamzito afariki kwa kukosa pesa ya mafuta gari la wagonjwa, wakati Mama ananunua magoli

    Wakati anaupiga mwingi, kwa kununua magoli ya Yanga na Simba kuna watu wana safa sana kwa huduma za afya. Kule Kilosa Mama kafariki kwa kukosa pesa za mafuta ya Gari ya kubebea wagonjwa. Mkuu wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Shaka Hamdu Shaka ametoa siku tatu vyombo vya usalama kuchunguza...
  6. Serikali imepata Tsh. Trilion 1.877 kutoka kwenye kampuni 44 za Sekta ya Madini, Mafuta na Gesi

    Serikali imepata jumla ya shilingi Trilion 1.877 kutoka kwenye kampuni 44 zilizolinganishwa katika sekta ya madini, mafuta na gesi ikiwa na tofauti ya kati ya malipo na mapato ya shilingi milioni 402.41 kwa mwaka kwa mwaka wa fedha 2021/22. Hayo yamebainishwa na Waziri wa wa Madini Anthony...
  7. W

    Watu 50 wafariki Nigeria baada ya Lori la Mafuta kulipuka

    Takriban watu 50 wamefariki baada ya lori la mafuta kugongana na lori lililokuwa limebeba abiria na mifugo katika jimbo la Niger Septemba 8, 2024 Msemaji wa shirika la mafaa Nigeria amesema "Tulikuwa na mazishi ya pamoja ya watu 52 jana Septemba 8, 2024 na tuna watu wanane wakipokea matibabu...
  8. Nishati: Mafuta yashuka Bei bandari za Dar, Tanga na Mtwara

    Bei ya Bidhaa za Mafuta imepungua kwa Mwezi Septemba 2024 ambapo Bei ya Petroli imepungua kwa Tsh. 91, Tanga kwa Tsh. 88 na Mtwara imepungua Tsh. 162 kwa kila Lita Dar Petroli itauzwa kwa Tsh. 3,140, Dizeli Tsh. 3,011 na Mafuta ya Taa Tsh. 3,121. Tanga Petroli Tsh. 3,141, Dizeli Tsh. 3,020...
  9. Meli ya mafuta ya Ugiriki yakiuka marufuku ya kusafiri kwa bandari za Israel yalipuliwa.

    Wanaukumbi. Ansar Allah ya Yemen AILIPUA meli ya mafuta ya Ugiriki katika Bahari Nyekundu kwa kukiuka marufuku ya kusafiri kwenda bandari za Israel. Yemen wamesema wazii kabisa hawataki kuona Meli yeyote ikipita red sea kupeleka bidhaa zozote Israel kwa wauaji wa Watoto wa Gazza...
  10. Senegal: Serikali yaunda Tume ya kupitia upya Mikataba ya Mafuta na Gesi

    Tume hiyo Maalumu imeundwa na Waziri Mkuu, Ousmane Sonko na imepewa jukumu la kupitia upya Mikataba yote ambayo Serikali zilizopita zilisaini na Kampuni za Kimataifa. Timu ya Wajumbe inaundwa na Wataalamu wa Masuala ya Kodi, Sheria na Nishati ambapo jukumu lingine walilopewa ni kuhakiki...
  11. Fahamu kwa kina ujenzi wa kituo cha mafuta kutokana na ukubwa wa eneo pamoja na gharama zake

    Ndugu mwana JF, Napenda kuzidi kuwakumbusha kuhusu biashara ya mafuta saivi ndio biashara inayoshika hatamu Kwa Kasi sana. Biashara ambayo inakupa faida Kwa haraka bila mawazo kwani biashara hii ni nzur sana. Unaweza wekeza kituo 1 Cha mafuta ndani ya mwaka 1 ukawa na uwezo wa kujenga kituo...
  12. EWURA wekeni msisitizo ujenzi wa vituo vya gesi badala ya mafuta

    Kumekuwa na mahitaji makubwa ya vituo vya gesi kutokana na wingi wa watumiaji kwa sasa. Nadhani ingekuwa busara sana kwa Ewura kusitisha utoaji leseni za vituo vya mafuta (petroli na diesel) na hasa kwenye miji mikubwa au majiji. Ni matumaini yangu itasaidia ktk kujenga uchumi kwa kuepusha...
  13. J

    Uganda yaanza kutumia Bandari ya Dar es salaam kusafirisha mafuta

    Shirika la Mafuta la Uganda (UNOC) limetangaza kuanza kutumia Bandari ya Dar es Salaam katika kupakia bidhaa hiyo kwa ajili ya kupeleka nchini kwao. Awali UNOC ilikuwa ikitumia bandari ya Mombasa nchini Kenya katika kuchukua bidhaa hizo huku ikisafirisha kwa kutumia Shirika la Bomba la Kenya...
  14. Mgodi wa GGM waanza kutumia umeme wa Gridi badala ya mafuta

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amezindua kituo cha kupokea na kupoza umeme katika Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) chenye uwezo wa megawati 34 ambacho sasa kinawezesha GGML kuanza kutumia umeme wa gridi kwa matumizi yake badala ya mafuta na hivyo kupunguza gharama...
  15. Mgodi wa GGML waaanza kutumia umeme wa gridi ya Taifa. Sasa watatumia Umeme wa TANESCO badala ya Mafuta

    MGODI WA GGM WAANZA KUTUMIA UMEME WA GRIDI BADALA YA MAFUTA 📌 Dkt.Biteko azindua kituo cha kupoza umeme cha GGM (MW 34) 📌 Asema kitaongeza mapato ya mgodi kwa Serikali 📌 Aipongeza GGM kuzipa kipaumbele kampuni za kizawa 📌 TANESCO kuingiza mapato ya sh.Bilioni 2 hadi 3 kwa mwezi Naibu Waziri...
  16. R

    Gaddafi hakuuwawa sababu ya mafuta.

    Muammar Gaddafi hakuuwawa eti sababu ya utajiri wake. Kilichomuua Gaddafi ni dini. Ukweli ni kwamba nyuma ya misaada mingi aliokuwa anaitowa Gaddafi kulikuwa na agenda ya siri ya kueneza dini ya kiislamu afrika Nzima Kisha aiunganishe yote Iwe under Islamic empire huku akiwa na Nia ya siri ya...
  17. Jinsi ya kupika mchicha wa mafuta mchanganyiko na dagaa wa kukaanga

    Mambo yasiwe mengi napenda zaidi mchicha wa mafuta wenye mchuzi maana yake nyanya inahusika, naomba kujuzwa formular nataka kutowa kitu na ugali. Mahitaji ni nini na nini na kiwango chake.
  18. Sio Aibu kwa Tanzania Kuagiza Chakula, Sukari, Mafuta ya Kula,Wakati Tuna Ardhi na Vyanzo Lukuki vya Maji? BigUP Sana Awamu6 Kusisimua Kilimo kwa BBT!

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la NIPASHE la leo Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala elimishi za kwa Maslahi ya Taifa, ambazo huwa na swali, jibu utatoa mwenyewe, swali la leo, hivi sio aibu sana kwa nchi yetu Tanzania kuagiza chakula kama mchele, ngano, sukari na mafuta...
  19. EWURA yatangaza Bei Kikomo za Mafuta kwa Mwezi Agosti, yamepanda tena

    Mamlaka ya Udhibiti Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza Bei Kikomo za Bidhaa za Mafuta zinazoanza kutumika leo Agosti 7, 2024 ambapo kwa Dar, Petroli imepanda kutoka Tsh. 3,210 hadi Tsh. 3,231, Dizeli kutoka Tsh. 3,115 hadi 3,131 na Mafuta ya Taa yameshuka kutoka Tsh. 3,261 hadi Tsh...
  20. Mwenge wa uhuru utafutiwe nishati mbadala ya kuuwezesha kuwaka badala ya kutumia mafuta ya taa na utambi unaotoa moshi

    Bila shaka kichwa cha habari kinajieleza vizuri sana. Binafsi sina tatizo na falsafa ya uanzishwaji wa mbio za mwenge wa uhuru. Tatizo langu kubwa ni namna wanavyoweza kuathiri afya za wanaoukimbiza. Nishati inayotumika sio rafiki kwa afya za wanaoukimbiza na hata walio karibu nao mahali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…