Sudan: Watu zaidi ya 80 wafariki dunia kutokana na mafuriko

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,652
2,000
Watu 84 wamefariki dunia na wengine 67 kujeruhiwa tangu kuanza kwa msimu wa mvua mwezi Julai. Mvua hizo zimeathiri Majimbo 14 kati ya 18 huku nyumba 30,000 zikiharibiwa.

Umoja wa Mataifa (UN) unakadiria takriban watu 102,000 wameathiriwa na mvua kubwa Nchini humo. Mwaka 2020, Sudan ilitangaza Hali ya Dharura kwa miezi mitatu kutokana na mvua zilizoua watu 100 na kuwathiri zaidi ya 600,000.
===

More than 80 people have been killed by flooding in Sudan since the beginning of the rainy season in July, authorities say.

The spokesman for Sudan’s National Council for Civil Defence on Monday said that 84 people had died and 67 injured.

The torrential rains have affected at least 14 of the 18 provinces, with over 30,000 houses destroyed or damaged.

Crops and public infrastructure have also been affected.

The UN estimates that at least 102,000 people have been affected by heavy rains and flooding across the country.

Last year, Sudan declared a national state of emergency for three months because of floods that killed about 100 people and affected over 600,000 people and destroyed more than 100,000 homes.

Source: BBC
 

dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
17,753
2,000
... kweli tabia nchi imebadilka pakubwa! Siku hizi mvua zinaua hadi majangwani? Ajabu sana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom