mafunzo

Mafunzo Football Club is a Tanzanian / Zanzibarian football club.
The team competes in the Zanzibar Premier League.
They competed in the CAF Champions League for the first time in 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Gama

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Jeshi la Uganda limegundua kambi ya mafunzo ya Wanamgambo wa Kiislamu

    Jeshi la uganda limesema kuwa limegundua kituo cha mafunzo kwa wpiganaji wa kiislam Km 60 tu kutoka kampala, watu watatu wanashikiriwa, aidha vyuma vya kutengenezea milipuko vilipatikana pia. Mamlaka zinalaumu wapiganaji wa ADF walijichimbia katika misitiu ya Kongo kwa mashambulizi ya milipuko...
  2. frangwi12

    JamiiForums Tanzania Msomi wa Bachelor of Science with Education, pia nina uwezo wa kutumia kompyuta na nimepitia mafunzo ya JKT

    Naombeni kwa waajiri wowote wanaohitaji kijana mchapa kazi na anayejituma, wanicheki kupitia 0624843841. Nipo Dar, Temeke.
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali kuboresha Vituo vya Walimu kwa lengo la kutoa fursa kwa Walimu kupata mafunzo wakiwa kazini

    Serikali imesema inaboresha vituo vya walimu kwa lengo la kuendelea kutoa fursa kwa walimu kupata mafunzo wakiwa kazini ili kuwejengea uzoefu. Hatua hiyo inakwenda sambamba na maboresho ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 pamoja na mabadiliko ya mitaala ili kuwa na wahitimu wenye ujuzi na...
  4. P Accountant

    JamiiForums Tanzania HESLB, naomba kupata maelekezo juu ya allocations za fedha za kujikimu wakati wa mafunzo kwa vitendo(Field)

    Habari za wakati huu kwenu. Kwanza nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa ukuu wake na rehema tele atupazo katika maisha haya. Nimekuja hapa, nikiamini nitapata msaada na ushauri wa kimawazo juu ya suala tajwa hapo juu. Ipo hivi, mnamo mwaka 2020 bodi ya mikopo elimu ya juu (HESLB) ilifanya...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Huawei yaimarisha mafunzo ili kupanua kundi la watu wenye ujuzi wa TEHAMA nchini Kenya

    Ofisa mkuu wa mahusiano ya umma wa tawi la kampuni ya Huawei ya China nchini Kenya Bw. Dalmar Abdi amesema, nchi hiyo imeimarisha utoaji wa mafunzo, ili kupanua kundi la watu wenye ujuzi wa TEHAMA nchini Kenya. Bw. Abdi amesema hayo wakati akitembelea kituo cha mafunzo cha Huawei, na kueleza...
  6. 2019

    JamiiForums Tanzania Polisi wenye silaha na mafunzo wameshindwa na Panya Road. Je, mwananchi ataweza?

    Simoni Siro je Polisi imekosa kabisa mbinu ya kudhibiti panya road na wahalifu wengine? Kama polisi imeshindwa hawa vijana wachache wasiokuwa na mafunzo vipi ishu ya ugaidi wataweza kweli? DC TMK Joketi anataka wananchi waunde vikundi vya ulinzi shirikishi,sa kazi ya polisi ni nini? Kama...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania SONGWE: TAKUKURU yatoa mafunzo kwa Walimu na Walezi wa Skauti

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Songwe imetoa elimu kwa walimu na walezi wa Skauti wa shule za msingi na sekondari ikiwa ni mkakati wa kupambana na rushwa kuanzia ngazi ya chini.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Ni vigezo vipi ambavyo vinahitajika kwa wanafunzi wanaohitaji kujiunga na mafunzo ya VETA?

    Wakuu habari, Poleni na majukumu nilikuwa naomba kuuliza kuwa kwa Sasa Nacte imebadilishwa imekuwa nactevet ikiwa inamaana ya VETA itakuwa chini yao je, ni vigezo vipi ambavyo vinahitajika kwa wanafunzi wanaohitaji kujiunga na mafunzo ya VETA?
  9. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Jifunze namna ya kutengeneza sabuni za maji, kufulia, shampoo, sabuni za miche na chooni

    UTANGULIZI: SURA YA KWANZA UTENGENEZAJI SABUNI ZA MAJI SABUNI ZA KUNAWIA MIKONO SABUNI ZA CHOONI SABUNI ZA KUFULIA SHAMPOO UTENGENEZAJI SABUNI ZA MICHE MAFUTA YA MGANDO (Kupaka ) SEHEMU YA PILI UTENGENEZAJI WA : BATIKI AINA ZOTE UTENGENEZAJI VIKOI SHANGA, HERENI, BANGILI UTENGENEZAJI ZURIA...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Waziri Mkuu inachezea akili za wanetu mafunzo VETA kila MWaka

    Hawa watu wamekuwa na utaratibu wa kutangaza kozi zinazodhaminiwa na wao kupitia VETA na vyuo vingine hivi. Nilifikiri Ndalichako ataboresha lkn kama alivyokuwa Jensiter huyu mama pia ni hovyo tu. Kwenye Tangazo lao wanaoomba kujiunga hawatakiwa kuwa na Fomu za Hospitalini kucheki afya zao...
  11. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Tuliosomaa riwaya za kitanzania Kama za Willy Gamba na za akina Ben Ntobo njooni tujadili mafunzo na ubunifu mkubwa tulioupata.

    Ukiangalia bongo movie zinahadidhi za kitoto na zinazodumaza Akili kabisa Mara simulizi za kusadikika za kichawi. Mara mkaka kapuku kapendwa na demu tajili. Tuliosoma vitabu Kama wizi wa almasi Mwadui. Pesa zako zinanuka, msake mpaka umpate, Kuna vitu vingi Sana vimetujenga. Achilia mbali noval...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya uagizaji wa bidhaa China yatafanyika tarehe 26 Aprili, 2022

    Mafunzo ya uagizaji wa bidhaa kutoka China kwa wajasiriamali wadogo yatafanyika tar 26 April kwa Google Meeting Kupitia mafunzo haya utaweza kufahamu yafuatayo: 1. Namna ya kupata wauzaji wa jumla wa bidhaa mbalimbali kwa bei nafuu kutoka China 2. Namna ya kuwasiliana na wauzaji hao na kupata...
  13. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya VETA yawe ni muhimu kwa wahitimu wa kidato cha nne na sita

    Nimekuawa nikiwaza Hivi tukipata kampuni kubwa mfano toyota ijenge kiwanda Tanzania ihitaji vijana 1000 walio somea kupaka rangi kwenye magari tutapata? Wakihitaji vijana 1000 walio somea Kuchomea tutapata? Wakihitajika vijana 500 waliosomea kutengeneza pancha na kujaza upepo kwenye magari...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT yamepitwa na wakati

    Naomba kutofautiana na watanzania wengi ambao bado wanaamini JKT inawajengea vijana, uzalendo n.k Jana nimeshuhudia ki video kikitembea mitandao kikionyesha vijana waki "craw" kwenye tope. kwa kweli nilikuwa very much shocked na kujiuliza kijana wa leo akipelekwa katika kambi na kupewa mafunzo...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Video: Vijana wa JKT waanza mafunzo JWTZ, wengine watoroka

    Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ limetekeleza ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Samia Suluhu ambapo vijana wa JKT wameanza Kozi ya kuruti kundi la 41/22 yenye zaidi ya kuruta 2000 jijini Arusha. Akizungumza katika mafunzo hayo ya kikosi cha KJ 833 Oljoro Arusha, Canali...
  16. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya Jinsi ya Kuanzisha na Kusimamia Biashara Ndogo

    Habari za wakati huu; Kama wewe ni mfuatiliaji wa makala zetu basi utafahamu kwamba tumekuwa tukijitahidi kwa kadiri ya uwezo wetu kushea baadhi ya maarifa na taarifa ambazo tunazo kwa ajili ya kuwawezesha wajasiriamali wadog na wakati katika kusimamia na kuendesha biashara zao.Wengi ambao...
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania PICHA: Putin aliishi Tanzania 1973 hadi 1977 akiwa kama mkufunzi kwa wapigania uhuru

    Pana swala gumu kidogo, Picha ilikuwa ya 1973 lakini google wameandika Putin alimaliza chuo 1975, huenda ni maisha ya kijasusi labda chuoni ilikuwa ni zuga tu huku anaendelea na majukumu mengine. Anyway, nanyi mnaweza kutoa maoni yenu.
  18. D

    JamiiForums Tanzania Shule ya Mafunzo ya Uongozi isitumie jina la Mwalimu Nyerere, bali itambulike kama Shule ya Uongozi (SUT)

    Sikatai kumuenzi Mwalimu nyerere, Lakini hii kasumba ya kumuenzi Mwalimu kwa kuita Majengo jina lake Naona sasa Imepitwa na wakati! Ifahamike Mwalimu hakuwa malaika! Hivyo tunaweza kufanya bora zaidi kutoka pale alipoishia yeye! Kuita Shule ya Mwalimu nyerere, ni kuweka speed gavana kwenye...
  19. funaku

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Wizara ya Afya: Ni muhimu kuja na sera ya mafunzo mahususi kwa viongozi wa vituo vya huduma

    Sina uhakika kama kuna chuo kinachotoa mafunzo mahususi ya uingozi wa sekta ya afya kwa madaktari/wauguzi wanaosimamia vituo vya kutolea huduma. Tunashuhudia kila uchao wafawidhi wa vituo wakishitumiwa kushindwa kusimamia ingawa sijawahi kusikia kama kuna mfumo maalumu wa kuwaandaa wafawidhi...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Mtihani wa Awali kwa Madaktari Watarajali, uendelee kufanyika bila Kumzuia Mtarajali kujiunga na Mafunzo

    Ummy Mwalimu: Mtihani wa Awali kwa Madaktari Watarajali, uendelee kufanyika bila Kumzuia Mtarajali kujiunga na Mafunzo ya Utarajali Tamko hili Limekuja baada ya Wanafunzi kulalamika kupitia JamiiForums kwamba utaratibu wa kusubiri miezi nane ndipo warudiE mitihani inawauimiza...
Back
Top Bottom