mafisadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea urais AAFP asisitiza 'Sina mzaha kufuga mamba ikulu' Mafisadi Dawa yao ni kuwafanya chakula cha mamba

    Mgombea urais kupitia Chama cha Wakulima (AAFP), Kunje Ngombale Mwiru, amesema dhamira yake ya kufuga mamba Ikulu kwa ajili ya kuwala mafisadi si mzaha, bali ni mkakati mahsusi wa kupambana na ufisadi nchini. Mwiru amesema wapo waliodhani kauli hiyo ni masihara ya kisiasa au porojo za kampeni...
  2. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea huyu akitoka akakemea ufisadi bila na kusema atawawajibisha mafisadi Watumishi wazembe na uwajibikaji Atalinda rasilimli za nchi wakwepa kodi

    Mgombea Urais akisema kwa kinywa chake kwamba anachukia ufisadi atawashughilikia mafisadi. Watumishi wa Umma wazembe watawajibishwa na nidhamu kwa watumishi wa umma. Wakwepa kodi kukiona cha moto kulinda rasilmali za nchi huyu ana kura yangu. Sioni mgombea anazungumzia kuku za Uchumi wa nchi...
  3. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Napendekeza taifa litumie bendera kama taswira yake badala ya rais tena wengine mafisadi na machawa

    Ni mara nyingi nasikia watu wakisema eti rais ni alama na taswira ya nchi. Hii si haki wala sawa. Kwanini tusitumie bendera au nembo yetu wengine wachafu kiroho na kimwil Je wewe unaonaje na kusemaje? Nafikiri kimya kimya.
  4. ngara23

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya oktoba 29, 2025 hayawezi kufanikiwa, japo nia yake imewapa ujumbe mkubwa mafisadi

    Ningetamani haya maandamano yatokee na sisi tufanye mapinduzi dhidi ya mafisadi na viongozi wahuni, lakini Kwa vyovyote hili halitawezekana Mafisadi na wahuni watafanikiwa kufanya uchaguzi fake Kwa amani na kujitangaza kushinda na baadaye kujiapisha na kupigiwa mizinga na jeshi letu, Sababu...
  5. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania GE2025 'System upgrade' ya Benki ya CRDB haisafishi Mafisadi?

    1. Toka nizaliwe sijawahi kusikia benki ina-upgrade system zaidi ya siku 3 mfululizo. 2. Hii system upgrade ya siku kadhaa mbona kama ni mpango Maalum wa kusafisha akaunti za Mafisadi? Wateja wanataabika kwa kukosa huduma ila hawajali. Pesa inatoka kwenye akaunti ila huipati na call centre...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kunje Ngombale: Nikiwa rais nitafuga mamba kwa ajili ya mafisadi

    Mgombea Urais kupitia Chama Cha Wakulima AAFP Kunje Ngombale Mwiru Akiwa kwenye mwendelezo wa kampeni za Wagombea Urais, Wabunge na Madiwani katika Jimbo la Morogoro kusini kata ya Matombo amewahutubia wananchi wa eneo hilo na kunadi sera zake, Ngombale Mwiru amesema ya kwamba kama akipata...
  7. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Watanzania mpo tayari kuchagua kiongozi ambaye yupo bega kwa bega na mafisadi waliokwapua billioni 60

    Kwamba watanzania mpo tayari kumchagua mgombea wa CCM ambaye yupo pamoja na mafisadi Kwamba watanzania ni wajinga na wapumbavu. Mnalipa kodi huku wahuni wanazipora kiulaini huku nyie mnahangaika kupata chakula Je mpo tayari kumpigia kura mgombea wa CCM ambae kiuhalisia yupo ofisi moja na...
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kimenuka nchi jirani Wananchi wadai Ruto anashughulikia mafisadi kama Shujaa Magufuli

    Leo tu taasisi ya kupambana na Rushwa imewakamata Magavana watatu na wako korokoroni hadi kesho watakapopandishwa kizimbani Waziri wa Afya amekabidhi kwa DCI mafaili ya zaidi ya mafisadi 100 waliofisadi bima ya afya Ndio Wananchi wamedai Shujaa Magufuli kafufukia Kenya
  9. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa ITV na Mfanyabiashara REGINALD MENGI aliwahi kutaja kundi Mtandao la Mafisadi 5 Bora na ROSTAM AZIZI akiwemo kama Fisadi

    Aliyekuwa Mmiliki wa ITV, Radio One and Capital TV na Capital Radio aliwai kuwataja mafisadi 10 nchini, huku ROSTAM AZIZI akishika kwenye 5 bora ya mafisadi nchini. Hii ni video enzi za kikwete kabla ya Magufuli hajawai Rais... na Hawa mafisadi ndio kundi mtandao alilokuwa anazungumzia Humphrey...
  10. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe anayesema Mpina atawafunga Mafisadi kama Magufuli,ndiye Zitto aliyetutukana kama tunampenda Magufuli basi tukazikwe nae Chato

    Chawa wa Mama aliyediliki kusema kama mnamoenda sana Magufuli basi nendeni mkazikwe nae,je yeye amezikwa na Mama yake aliyekuwa anampenda,hili lilikuwa tusi kubwa sana kwa Watanzania,baada ya hapo Hajawahi kumuongelea vibaya Mama Samia hata kidogo licha ya Ufisadi kukithiri zaidi ya awamu zote...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Polepole: Kosa moja Magufuli alilolifanya ni kutaka kufanya maridhiano na watu ambao hapaswi kuridhiana nao, mafisadi, wezi

    Polepole: Kosa moja Magufuli alilolifanya ni kutaka kufanya maridhiano na watu ambao hapaswi kuridhiana nao, mafisadi, wezi ni moja kosa kubwa sana alilifanya Magufuli akaamini wataridhia na ni watu ambao walipigana sana mwaka 2020.
  12. Mfilisti

    JamiiForums Tanzania Tunangoja nani aje kutuokoa kama sisi wenyewe tumeamua kukaa kimya na kuishi na Majizi na Mafisadi?

    Je, Watanzania tumeridhia kudhalilishwa kila miaka mitano kwa kuwekewa viongozi bila kuchagua? Vyombo vya habari vipo, lakini kwa nini havina meno ya kuuliza maswali ya msingi kuhusu uhalali wa uchaguzi na wizi wa kura? Ni hofu au ni kununuliwa? Kama Raisi mwenyewe alikiri kura zinaibiwa na...
  13. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Udini Dhidi ya Maaskofu ni Hoja Potoshi za Mafisadi wa CCM Kukwepa kuambiwa ukweli

    GT Hawa viongozi wetu maaskofu hawajawahi kupoa hasa linapokuja swala la uadilifu na kutenda haki, huwa hawacheki na yeyote. Hivi sasa kumeibuka hoja kwamba eti ni wadini this is BIG NO kiufupi hawa jamaa siyo wanafiki. Mafisadi wanakuja na propaganda hii kukwepa kusikia Ukweli. Kama ingekuwa...
  14. mr mkiki

    JamiiForums Tanzania Profesa Mussa Assad: Ufisadi umeshamiri kwasababu Mafisadi Hawaadhibiwi

    Asema hana matumaini na kizazi cha sasa katika kujenga jamii mpya, ataka nguvu ziwekezwe kwa vizazi vijavyo. Dar es Salaam. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu (Mstaafu) wa Hesabu za Serikali, Profesa Mussa Assad, amehusisha kushamiri kwa vitendo vya ubadhirifu wa mali za umma na aina nyingine za ufisadi...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Nashuku sana watanzania kwa kumpuuza Polepole na mafisadi wenzie

    Imebaki kundi dogo la ambao angalau wana uhakika wa kesho yao ndo wanamfatilia Polepole ila sisi walala hoi tumempuuza Polepole na mafisadi wenzie
  16. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baada ya Rais Samia kushindwa kuongoza nchi, kanda ya ziwa tutaenda na Luhaga Mpina 2025 ili akakate kamba za mafisadi

    Kwa tathimini iliyofanyika ni kwamba Rais Samia hawezi tena kuongoza nchi hii ya Tanzania hivyo unahitajika mbadala wa haraka ambao ni Luhaga Mpina Chini ya utawala wa Rais Samia ni salama zaidi ukiwa fisadi kuliko ukipinga ufisadi! Ndiyo maana Askofu Gwajima amefungiwa kwa kukemea utekaji...
  17. Bird Watcher

    JamiiForums Tanzania GE2025 Harambaee imejaa ‘watu Fulani Mafisadi’

    Wakuu, Hii harambee ya Chama tawala imejaa genge Fulani la watu wachafu tu na hawana interest na taifa letu, Urais ni cheo cha juu kabisa na nadhani ni vyema kika serve interest ya umma kuliko Kuhuduma kwa cartel Fulani la watu wachache, power inakuja na Kuondoka ila generation zetu zitakuwa...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Rostam, Kikwete na Lowassa: Mafisadi nyuma ya mradi wa Richmond

    Siongei sana, maneno mafupi tu. Kampuni Ya Richmond ilianzishwa na Rostam akiwa na back up ya Kikwete Raisi, Na Lowasa Waziri Mkuu. Lowasa alitoa maelekezo makali Kwa Mkurugenzi wa TANESCO wa wakati huo, pamoja na Tenda bodi ya TANESCO ndani ya Ikulu ya Magogoni, akitoa mkwara mzito kweli, Kuwa...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Bora kipi bunge la wasomi mafisadi au machawa wasio mafisadi?

    Jitafakari!!
  20. Ryan Holiday

    JamiiForums Tanzania Kumbikizi: Mengi alivovichua mafisadi papa wanaoitafuna nchi

    Polepole hajakosea, Marehemu Mzee Mengi huyu hapa. https://www.youtube.com/watch?v=aSNSXYBsV1M
Back
Top Bottom