mafisadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Katika nchi hii sasa hivi mafisadi sio wanapiga kidogo wanapiga kiuhakika

    "Katika nchi hii sasa hivi mafisadi sio wanapiga kidogo wanapiga kiuhakika ni walaji na ni walafi na wanafanya vitu kama vile wananchi wa sasa hivi hawana elimu, lazima tufahamu sasa hivi ukienda sehemu yoyote hata kama ni kwenye kijiwe cha bodaboda utamkuta mtu wa chuo kikuu, utamkuta wa 'form...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ukweli wasioutaka Mafisadi: TEC hawajaoverride madhehebu mengine bali Wanapinga uonevu na ufisadi

    Hata kwenye Biblia walikuwepo manibii kama Elisha na Eliya walipinga uonevu na ufisadi. TEC wanapinga utekaji, wizi wa mali za umma na nepotism ya hali juu. Mfano Dp World kupewa usimamizi wa Bandari bila sababu ili kutengeneza mianya ya upigaji na kuwanufaisha warabu. Utekaji usio na...
  3. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kuanzia #D9 Wananchi tunapaswa kugoma kulipa kodi hatuwezi kufadhili wauwaji na mafisadi wanunue siraha kutuuwa kwa kodi zetu

    Kuanzia #D9 Wananchi tunapaswa kugoma kulipa kodi hatuwezi kufadhili wauwaji na mafisadi wanunue siraha kutuuwa kwa kodi zetu. Tunalipaje kodi ili zituletee maendeleo kama mnauwa watu. Kataa wahuni !
  4. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kizazi cha Gen Z kimekuwa na nguvu na mwiba mkubwa kwa mafisadi kwenye mataifa mbalimbali kuliko upinzani wa vyama vya siasa

    Kizazi cha Gen z kimekuwa na nguvu na mwiba mkubwa kwa mafisadi kwenye mataifa mbalimbali kuliko upinzani wa vyama vya siasa. Je, gen z wa Tanzania wanaweza kupindua serikali ya Tanzania? hili ni jibu ambalo linaweza kuwa ndio, kulingana na uchunguzi idadi ya gen z ni zaidi ya asilimia 60% ya...
  5. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kama Mwigulu hana biashara yoyote, Basi atakuwa Fisadi na Mwizi mkubwa wa Pesa ya Umma

    Mwigulu amesikika akisema kuwa yeye hana biashara yoyote, hana hata Noah ya biashara! Kama hana biashara yoyote, basi kwa vyovyote atakuwa mwizi mkubwa! Aueleze umma, kama hana kitega uchumi chochote, aueleze umma, pesa anayowalipa wale wachezaji wa Timu take ya mpira, anachukua wapi? Maana...
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tumeshashinda mapambano wanapumulia kisoda mafisadi, tumesha wapoteza hawaaminiki tena na wananchi wala kimataifa

    Utaona wanajifanya wapo bize kana kwamba hakuna kinachoendelea kumbe presha zao zipo juu sana, Tukutane kwenye Final #D9 tuwakimbize kwenye nchi yetu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hizi video za maiti wengi kutokea vyumba vya kuhifadhia maiti viongozi wanaziona?

    Kuna video imepositiwa instagram mpaka nikajiuliza hivi hawa viongozi wanaziona kweli hizi video, na kama wanaziona wanasubiri nini kumwajibisha Samia. Yaani binadamu wamekufa kama kumbikumbi mpaka unahisi kama movie vile. Samia hafai wazee, tuache masihara huyu mama angejiondoa tu mwenyewe
  8. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Naona hapa mtu kaingizwa mkenge na madictetors na mafisadi, naye akaingia pasipo kutumia akili

    Hapo vip!! Ipo hivi kwa mauwaji yaliyotokea nchini Tanzania ni wazi hii ni massacre. Sasa ipo hivi hii mbinu huwa inatumiwa na madikteta wenye uwakika wa kubadilisha katiba na kutawala muda mrefu, kwa lengo la kukwepa mkono wa sheria za kimataifa,Kwasababu wanajua fika pale tu wakiwa hawana...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Ukombozi wa Mtanzania utapatikana kwa hujuma dhidi ya mafisadi siyo maandamano wala mitandao

    Asilaumiwe Rais kitakachowakomboa waTZ ni mapambano ya mafichoni dhidi ya mafisadi na viongozi wabovu siyo mitandao ya kijamii,wanaharakati au wanasiasa kwani hawa ndiyo wanaopanga kila leo kubaki madarakani.
  10. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Kama mnadai kwamba waandamanaji walianza wizi na uharibifu wa mali ndio wakapigwa risasi basi mafisadi wote nao tuwapige risasi hadi kwao

    Kuna mpuuzi mmoja nimekutana nae anasema eti waandamanaji walianza kupigwa risasi sababu ya wizi. Kama ni hivyo basi majizi yote yalioko serikalini nayo yapigwe risasi hadi nyumbani kwao tena mbele ya familia zao. Ukitumia logic hio yaani kama mtu kuharibu mwendokasi kumefanya apigwe risasi je...
  11. technically

    JamiiForums Tanzania Tuanzeni kususia bidhaa za mafisadi

    Kuna tetesi kwamba waliokufa Ni 3500 na majeruhi Ni 15000. Hivyo tuchukue hatua zifuatazo 1: Hakuna kupanda gari ya fisadi 2: Hakuna kujaza mafuta kwenye Kituo Cha mafuta Cha fisadi. 3:Hakuna kununua bidhaa ya fisadi. 4:Hakuna kuudhuria show za wasaniii machawa lakini pia tumaweza organize...
  12. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nchi ambayo vyombo vyote vya dola vinapambana kulinda mafisadi, Gen Z walikuwa sio wa kuachwa peke yao

    Ukiangalia kwa kina JWTZ ilikaa kimya Mgunda hakuwai kuongea chochote wakati watu wanatekwa wakina Soka, Mdude, Kibao na Wengine wakina Polepole lakini ghafla katoka kuja Kukemea maandamano shame on you
  13. F

    JamiiForums Tanzania Tutakuwa na Tanzania bora, leo hatuna nchi imejaa mafisadi wanajitajirisha wao wenyewe. Tupiganie nchi yetu

    Viongozi wote tuliowaamini wakishirikiana na wezi na mafisadi kama akina Rostam Aziz na wengineo wamemaliza utajiri wa nchi, hawana uchungu na nchi yetu, wakati wananchi wa kawaida wanateseka wanakosa hata jinsi ya kupata matibabu. Hao ndiyo wanaotuua kwa sababu wanaogopa maslahi yao...
  14. Genius Man

    JamiiForums Tanzania shughuli itaanzia 28 hiyo tutakinikusha anajifanya hasikii hakuna amani na mafisadi

    Shughuli itaanzia 28 hiyo tutakinikusha anajifanya hasikii. Hatufanyi amani na wezi watekaji na wauwaji. tarehe 28 tutakinukisha tuirudishe nchi yetu kwenye mstari.
  15. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mafisadi matumbo joto: Kuwatishia Wananchi hakutawasaidia. Ondokeni kwa amani tuijenge nchi yetu kwa mikono ya jasho

    Mmegeuza nafasi za kisiasa kama vijiwe rasmi vya kujikusanyia utajiri wa kufuru mkichota kodi za Watanzania masikini kwa faida zenu na familia zenu. Mnafanya haya huku Watanzania tukiishi maisha magumu ya umasikini na tulikosa huduma za msingi kama matibabu hospitalini, maji safi na salama, dawa...
  16. H

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lengo la maandamano liwe kuikomboa Tanzania kutoka mikononi mwa viongozi wabovu na mafisadi siyo kubadili wanasiasa

    Watanzania huu siyo wakati wa kufanya maandamano ili kuuuweka upinzani madarakani ila ni kuondoa uongozi mbovu na wa kifisadi unaosababaisha maisha magumu kwa wananchi huku hao wachache wakifaidi keki ya nchi hii. Katiba na mengineyo itakuja baada ya nchi hii kuwa ktk mikono salama sivyo hata...
  17. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Wananchi tujitokeze kwa wingi kuwapigia kura mafisadi barabarani, ikulu, na bungeni

    Wananchi tujitokeze kwa wingi kuwapigia kura mafisadi barabarani, ikulu, na bungeni, Sisi tutawapa kura za kutosha kama wanavyotaka.
  18. K

    JamiiForums Tanzania Wazalendo wa jeshi ni watendaji kama Captain kuliko majenerali

    Wazalendo wa jeshi ni watendaji kama Captain kuliko majenerali mafisadi. Rushwa ndiyo imewafanya hawa askari watendaji kuchukuwa nchi. Mfumo bora kwa nchi ni demokrasia tatizo hiyo demokrasia hatuna na vijana wanachoshwa na rushwa na familia tatu nchini kuendesha nchi kama yao pekee
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Itutu: Mafisadi jiandaeni kukimbia nchi tukiingia madarakani

    Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) kimesisitiza kuwa endapo kitapata ridhaa ya kuingia madarakani, kipaumbele chake kitakuwa kuwawajibisha wote walioiba mali za umma. Kauli hiyo imetolewa Oktoba 3, 2024 katika Wilaya ya Ilemela, wakati wa mwendelezo wa kampeni za mtaa kwa mtaa...
  20. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi linda amani ya Mafisadi, Tunataka kuona kodi zetu na mapato ya nchi yakimnufaisha mTanzania bila kujali chama chake, familia aliyotokea, dini

    Hatuwezi kuendelea kuweka mazingira mazuri kwa mafisadi. Mmeharibu sana hii nchi huku waTanzania mkiwaona wakiteketea kila siku juu ya umaskini unaowazunguka. Pesa ambazo zilitakiwa kujenga hospitali bora zinatumika na kakikundi fulani Pesa ambazo zilitakiwa kuhakikisha kuna barabara bora ili...
Back
Top Bottom