mafanikio

  1. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Nikupeana fursa tunazoona zinatufaa na zitatupeleka jwenye njia ya mafanikio

    📦🌸 Fursa ya Biashara kwa Wauzaji wa Sanitary Pads – “Fly Free” kutoka China! 🌸📦 Tunawaletea bidhaa mpya ya sanitary pads za ubora wa hali ya juu zinazofahamika kwa jina la Fly Free, zikiwa na teknolojia ya kisasa na viwango vya kimataifa. Kwa bei ya jumla ya Tsh 500 tu kwa pakiti, hii ni bidhaa...
  2. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Kwa mnaotafuta wachumba,wiki inayoanza kesho,ni ya mafanikio

    Ndio,ni ya mafanikio,ni wiki ya ushindi kwani kila mmoja wenu atapata mwenzie.Sasa zingatieni mambo yafuatayo: A.Kwa wanawake wote mfanye yafuatayo: 1.Vaa vizuri kila utokapo nyumbani kwenda kazini,usivae nguo iliyofumuka au viatu vilivyosagika,kwa siku 7 mfulululizo vaa nguo za ndani...
  3. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Wanaume, Acha Kutembelea Wapenzi Wanaokulemea!Kama unataka uhusiano wenye mafanikio na amani, ni muhimu kuepuka wanawake ambao wanakuleta mzigo

    Wanaume, Acha Kutembelea Wapenzi Wanaokulemea! Kama unataka uhusiano wenye mafanikio na amani, ni muhimu kuepuka wanawake ambao wanakuleta mzigo wa ziada badala ya kukuinua. Hapa kuna alama za mwanamke anayeweza kuwa mzigo (liability) kwako: 1. Mwanamke Asiyekuwa na Pesa za Usafiri Anadai...
  4. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa maisha na mafanikio ya binadamu

    "Ulishawahi kujiuliza kwa nini wengi wanaofanikiwa kimaisha au kuwa viongozi hutokea maisha duni? Ni kwa sababu mateso huwafundisha kusimama bila kuegemea, kuvumilia bila kulalamika, na kutamani mafanikio kuliko usingizi."— Alloyce, P.R.
  5. Gengis Khan wa Jf

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya mtandaoni ya #NRNE ni ya Soda tujikumbushe vilivyotamba na kubuma bila mafanikio

    Mzuka Wana Jamvi.. Huu ni mwendelezo wa spana kwa Keyboard Warriors na wanaharakati uchwara wote Jf ndani na nje ya nchi. Naanza kuflow sasa ; naona Kuna watu wameanza kujipa matumani baada ya kuona mitandaoni sasa Insta na kwengineko kwenye comments session #NoReformNoElection inatamba sana...
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Pale utakapopata pesa ndipo utagundua kiuahalisia sicho ulichokuwa ukikitafuta muda wote huo! Huwa tunasaka "UKAMILIFU" bila kujijua kwa njia hio

    Kwa bahati mbaya hatuufikii. Masikini wenzangu ndio hawataelewa hii point.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Simba inajiita ya mafanikio Afrika mbona humu haimo?

    2025: Pyramids FC 2024: Al Ahly 2023: Al Ahly 2022: Wydad Casablanca 2021: Al Ahly 2020: Al Ahly 2019: Esperance de Tunis 2018: Esperance de Tunis 2017: Wydad Casablanca 2016: Mamelodi Sundowns 2015: TP Mazembe 2014: ES Setif 2013: Al Ahly 2012: Al Ahly 2011: Esperance de Tunis...
  8. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Ukitaka Kuwa Mjanja Maishani, Haya Ndio Mambo 14 Ambayo Watulivu Huwaza Usiku na Kuyafanyia Kazi Wakiamka

    Maisha haya hayana ramani. Hakuna aliyewahi kuyaelewa kwa ukamilifu. Kadri tunavyoishi, ndivyo tunavyogundua kuwa yale tunayoyachukulia kuwa kweli—mara nyingi si kweli kabisa. Ni kana kwamba maisha yana kauli yao ya chinichini: “Utakapodhani umeelewa, ndipo tunapokudanganya.” Katika makala hii...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Boss wako hawezi kufurahia unapomzidi mafanikio

    Leo katika pita pita zangu wakuu nikaenda, kuna boss(HR) mmoja wa Rafiki angu akaniagiza nimletee vifaa vya umeme, Basi katika kuniharakisha Ikabidi niazime gari kwa mwana niwahishe vifaa vile, kufika tu napaki chuma nashangaa, Eti huyo boss wa anasema Yani hujaajiriwa na umeshaanza kuendesha...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Mnyonge mnyongeeni, haki yake mpeni- kwa mafanikio haya, Rais Samia umetutendea haki wakulima

    Katika zama ambapo kilimo kilionekana kama kazi ya kizamani isiyo na tija, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekuja na mtazamo mpya, ambao umegeuza kilimo kuwa fursa muhimu ya kibiashara. Sauti za wakulima ambazo kwa muda mrefu zilisikika kama kilio kisicho...
  11. msuyaeric

    JamiiForums Tanzania Mnyonge mnyongeni - Kwa mafanikio haya, Rais Samia umetutendea haki wakulima

    Na, Kalamu ya Jenerali, Mbalali Katika zama ambapo kilimo kilionekana kama kazi ya kizamani isiyo na tija, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekuja na mtazamo mpya, ambao umegeuza kilimo kuwa fursa muhimu ya kibiashara. Sauti za wakulima ambazo kwa muda...
  12. Mwl Philemon

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Arsenal: Mafanikio ya Klabu Hayaji Kwa Bahati

    Tuwe Wakwelii... Luis Enrique ametumia karibu kiasi sawa cha pesa ndani ya miaka miwili pale PSG kama ambavyo Mikel Arteta ametumia katika kipindi cha miaka sita pale Arsenal. Lakini kuna tofauti kubwa sana kati ya mazingira yao wawili: Enrique alirithi kikosi kilichojaa wachezaji nyota...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Siri 15 za Mafanikio Nilizojifunza Kutoka Kwenye Barua za Rockefeller Kwa Mwanae (unaweza Kujifunza pia Kuhusiana na Maisha)

    📆 Mei 29, 2025 Jioni... Nilikuwa nimetulia chumbani kwangu Huku niki-scroll Tu Instagram — boom! Nikakutana na post Kumuhusu: "John D. Rockefeller Yenye mkusanyiko Wa barua 38 kwa mwanae kuhusu mafanikio. Hizi barua Niliandikwa Kwa sentence fupi fupi Tu Sikupoteza muda... Nikaamua...
  14. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Mafanikio nguvu ya Roho

    Naam mipango na matumizi pia nidhamu.....huwa thabiti pale unapokuwa huna kitu yaani kabla hujashika fedha. Lakini pindi fedha inapokuwa mkononi ile mipango yooote ile nidhamu yooote na ile listi ya matumizi uliyoipamga mwenyewe,,,wewe mwenyewe ndio unaibomoa... Hii ni namna ya utaalamu wako...
  15. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Falsafa ya Mafanikio

    "Utukufu wa sasa usikufanye kusahau mikono iliyoijenga misingi ya mafanikio yako." Alloyce, P.R.
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hapo nyuma nilidhaniaga wema na unyenyekevu ndio silaha ya mafanikio na aman katika maisha ila AGGRESIVENESS ndo funguo ya huu mpango mkakat wa maisha

    Wema na unyenyekevu ni vya kumfanyia baba na mama, mjomba na shangazi, bibi na babu. Ila system endelevu za maisha hazijatengenezwa kwa ajili ya mtu alio fair bali zimetengenezwa kwa ajili ya mtu alie fit. Tofauti na hapo utabaki kunung'unika na kulaani, kwamba iweje upole na fairness...
  17. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Usifanye kosa hili, Uzito wa Kuku wako, ni silaha ya mafanikio

    ⚖️Uzito ni Msingi wa Mafanikio Katika Ufugaji wa Kuku wa Mayai! Kwa muda sasa tumekuwa tukitembelea wafugaji wa kuku wa mayai katika mikoa mbalimbali hapa nchini. Kitu cha kushangaza (lakini cha kawaida sana) ni kwamba wafugaji wengi hawana mizani kabisa ya kupimia uzito wa kuku wao! Hii...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu zaidi kwa CHAUMMA kupata mafanikio ya Kisiasa Tanzania tena ni rahisi zaidi kwa TLP ya Mzee Mrema kukamata dola 2025

    .CHAUMMA INA UMA. Kuna baadhi ya wanasiasa wanajidanganya na wengine kudanganywa kuwa CHAUMMA inaweza kuwa tishio kwa chama tawala leo au kesho, hii naomba wasahau kabisa. Kwa taarifa tu, Vyama vyote vilivyoanzishwa kama matokeo ya migogoro havijawahi kufanya vizuri popote duniani tujiulize...
  19. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Majibu ya rafiki yangu baada ya kumuuliza Siri ya mafanikio yake

    Kaka tumekuwa wote kijijini Wote tumefeli darasa la Saba Leo hii kaka una v8 3 nyumba Zaidi ya 11 mashamba ndio usiseme maduka ndio kabisa Naomba siri ya mafanikio. Akasema mdogo wangu kuku maji unaweza kusex na nyoka??? Mpaka hapo nikaondoka sikuwa na majibu tena
  20. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania Wizara ya maliasili yataja mafanikio 10 iliyopata katika kipindi cha miaka minne

    Wizara ya Maliasili na Utalii imetaja mafanikio 10 iliyopata katika kipindi cha miaka minne ikiwemo kuongeza mapato yatokanayo na shughuli za utalii ambapo Serikali imeingiza Dola za Marekani bilioni 1.3 Mwaka 2021 hadi kufikia Dola za Marekani bilioni 3.9 Mwaka 2024 sawa na ongezeko la...
Back
Top Bottom