mafanikio

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna Timu safari hii imekosea (imechemka) sana katika Usajili wake na itakuja kupata Mafanikio kwa nguvu za Wabunge wenye Kuogopwa na TFF

    Sijaitaja sasa Wewe shoboka kuwa unaijua kwa kujifanya upo Akilini mwa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE Malaika wa Kizanaki (Mara Tanzania), Kiyao (Mtwara Tanzania) na Kitutsi (Gisenyi Rwanda) sawa?
  2. profHarryEnock

    JamiiForums Tanzania Paradigm Mpya ya Uchumi: Kuibua Faida Kubwa Kutoka kwenye Mtaji Mdogo – Dhana, Mbinu na Hesabu za Kiuchumi za Mafanikio ya Kibiashara

    Katika ulimwengu wa biashara za kisasa, dhana kwamba "mtaji mdogo hauwezi kuzalisha faida kubwa" ni kasumba ya kifikra inayotakiwa kuondolewa. Katika tafsiri ya kiuchumi, mtaji (capital) si lazima uwe mkubwa ili kuzalisha thamani; bali ni uwekezaji wenye tija (productive allocation of resources)...
  3. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Tabia 8 Zinazochelewesha Mafanikio

    *✨ Tabia 8 Zinazochelewesha Mafanikio — 🔷 1. Aliyemaliza chuo na hajawahi kujifunza ujuzi wowote wa ziada Kama hana kazi, atateseka sana. Soko la ajira limejaa ushindani. Elimu ya chuo haitoshi bila ujuzi wa vitendo unaolipa bila ajira kama digital marketing, graphic design, coding, video...
  4. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Siri ya mafanikio hii hapa

    Imagine umepewa mafunzo ya karate namna ya kupigana, kukwepa ngumi, maeneo muhimu ya kumpiga adui na mbinu kama zote. (Picha kutoka mtandaoni Siku moja mtu anakuchokoza unaamua kumuonyesha wewe ni nani! Ngumi zinaanza bahati mbaya unapigwa konde moja la uso🥺 Unajijuta umehamaki hasira, jazba na...
  5. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Sura ya 5: Nidhamu ni Daraja la Mafanikio

    Kutoka Kitabu: The Winner’s Laws – Bodo Schäfer Katika sura hii, Bodo Schäfer anasisitiza kuwa mafanikio hayawezi kupatikana bila nidhamu. Nidhamu ndiyo daraja linalokupeleka kutoka kwenye ndoto kwenda kwenye mafanikio halisi. Dondoo Muhimu za Sura ya 5: 1. Nidhamu ni Uamuzi wa Kila Siku...
  6. The redemeer

    JamiiForums Tanzania 🔥 FAIDA ZA KUHAMA MTAA BAADA YA KUANZA KUPATA MAFANIKIO 🔥

    🩸 "Sio dharau, ni self-protection!" 1. 👉 Unajiokoa na wivu wa mtaa Mtaa una macho lakini hauna moyo. Watu waliocheka na wewe jana, wakiona unainuka, ghafla wanakuona kama adui. Kuhama ni kukwepa sumu ya midomo, wivu, na roho za kwanini. 2. 👉 Unajilinda na marafiki wanaotaka kula mafanikio yako...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Mafanikio yaliyopatikana kwa Tanzania kutoka nchini Cuba tangia Polepole awe Balozi au lolote la maana alilolifanya huko

    Nasubiria kuyasoma hapa hayo Mafanikio. Asanteni.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya sekta ya afya katika mkoa wa Tanga

    1. Mkoa wa Tanga katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2025 umeongeza vituo vya kutolea huduma za Afya vya serikali kutoka 325 hadi 417 ikiwa ni ongezeko la vituo 92. 2. Zahanati zimeongezeka kutoka 287 hadi 361 sawa na ongezeko la zahanati 74. 3. Vituo vya Afya vimeongezeka kutoka 31 hadi 46...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ukiataka mafanikio Jifunze Kumshirikisha Mkeo Mambo yako ya Msingi(malengo yako)

    👉 Jesus News Radio Katika jamii nyingi, hasa zile za Kiafrika, wanawake wamekuwa wakichukuliwa kama watu wa pili ndani ya familia au ndoa. Lakini ukweli usiopingika ni kwamba wanawake ndio nguzo kuu ya familia. Mwanamke ndiye anayeshika nafasi ya pekee ya kulea watoto, kutunza familia...
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Hili ni jambo la mafanikio kwa nchi pia au kwa kampuni binafsi tu?

    Meli kubwa ya mizigo, MV Santa Teresa, imetia nanga katika Bandari ya Dar es Salaam ikiwa na shehena ya tani 60,500 za ngano bora kutoka Australia kwa ajili ya kampuni ya Said Salim Bakhresa, chini ya Meli hiyo inaandika historia nchini kwa kuwa ya kwanza kuwasili na shehena kubwa zaidi ya...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Mafundisho ya kisabato yanadumaza mafanikio, utajiri, umaarifu, ni ngumu sana kuwakuta wasabato wenye mafanikio makubwa.

    Naweza kukubali kwamba wasabato wengi hujulikana kwa nidhamu na uadilifu, jambo ambalo ni sifa ya kupongezwa. Hata hivyo, pamoja na sifa hizo nzuri, bado kuna sintofahamu ya wazi kuhusu uwakilishi wao katika ngazi za juu za maamuzi na ushawishi kama vile siasa, uchumi, mfumo wa utawala...
  12. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Mafanikio bila mizizi, ni kuteleza kwa kasi

    "Kijana, unapopata mafanikio, usisahau Baba na Mama yako, waweke karibu na baraka zako. Kama una wadogo zako na uwezo wa kuwasaidia, wavushe kwa kuwajengea msingi wa kujitegemea, si kwa kuwawekea utaratibu wa kukuomba pesa kila mara. Mke/mme uliye naye, mpe heshima anayostahili na yenye hadhi...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Huu Hapa Ukweli Mchungu Kuhusu MAFANIKIO Unaopaswa Ku-ufahama Mapema Sana Kabla Hata ya Kufikisha Miaka 25. Wengi Hujutia Sana Kwa Kuchelewa Kuufahama

    Ukweli Mchungu ni Kwamba.... Kila kitu kinachotokea kwenye maisha yako kina mzizi mmoja: NAMBA. Na cha kushangaza zaidi? Namba hazidanganyi. Hazisahau. Hazisamehi. Kipato chako ni namba Matumizi yako ni namba Akaunti yako ya benki ni namba Uwekezaji wako ni namba. Na hata kufeli kwako —...
  14. matunduizi

    JamiiForums Tanzania KWA nini licha ya Ongezeko la watu wanaozungumiza FEDHA, UTAJIRI, MAFANIKIO Bado watu wengi maisha magumu?

    Katika zama zote za uwepo wa Tanzania nadhani HIKI ndio kipindi ambacho pesa na utafutaji vinazungumziwa kuliko huko nyuma Makanisa yameacha kuwahimiza watu kwenda mbinguni wakiwa wamechoka. Wachungaji, walei, wainjilisti wanafundisha watu wafanikiwe kiuchumi, kifedha, kimiradi Waalimu wa...
  15. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Nikupeana fursa tunazoona zinatufaa na zitatupeleka jwenye njia ya mafanikio

    📦🌸 Fursa ya Biashara kwa Wauzaji wa Sanitary Pads – “Fly Free” kutoka China! 🌸📦 Tunawaletea bidhaa mpya ya sanitary pads za ubora wa hali ya juu zinazofahamika kwa jina la Fly Free, zikiwa na teknolojia ya kisasa na viwango vya kimataifa. Kwa bei ya jumla ya Tsh 500 tu kwa pakiti, hii ni bidhaa...
  16. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Kwa mnaotafuta wachumba,wiki inayoanza kesho,ni ya mafanikio

    Ndio,ni ya mafanikio,ni wiki ya ushindi kwani kila mmoja wenu atapata mwenzie.Sasa zingatieni mambo yafuatayo: A.Kwa wanawake wote mfanye yafuatayo: 1.Vaa vizuri kila utokapo nyumbani kwenda kazini,usivae nguo iliyofumuka au viatu vilivyosagika,kwa siku 7 mfulululizo vaa nguo za ndani...
  17. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Wanaume, Acha Kutembelea Wapenzi Wanaokulemea!Kama unataka uhusiano wenye mafanikio na amani, ni muhimu kuepuka wanawake ambao wanakuleta mzigo

    Wanaume, Acha Kutembelea Wapenzi Wanaokulemea! Kama unataka uhusiano wenye mafanikio na amani, ni muhimu kuepuka wanawake ambao wanakuleta mzigo wa ziada badala ya kukuinua. Hapa kuna alama za mwanamke anayeweza kuwa mzigo (liability) kwako: 1. Mwanamke Asiyekuwa na Pesa za Usafiri Anadai...
  18. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa maisha na mafanikio ya binadamu

    "Ulishawahi kujiuliza kwa nini wengi wanaofanikiwa kimaisha au kuwa viongozi hutokea maisha duni? Ni kwa sababu mateso huwafundisha kusimama bila kuegemea, kuvumilia bila kulalamika, na kutamani mafanikio kuliko usingizi."— Alloyce, P.R.
  19. Magayor Mongolian

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya mtandaoni ya #NRNE ni ya Soda tujikumbushe vilivyotamba na kubuma bila mafanikio

    Mzuka Wana Jamvi.. Huu ni mwendelezo wa spana kwa Keyboard Warriors na wanaharakati uchwara wote Jf ndani na nje ya nchi. Naanza kuflow sasa ; naona Kuna watu wameanza kujipa matumani baada ya kuona mitandaoni sasa Insta na kwengineko kwenye comments session #NoReformNoElection inatamba sana...
  20. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Pale utakapopata pesa ndipo utagundua kiuahalisia sicho ulichokuwa ukikitafuta muda wote huo! Huwa tunasaka "UKAMILIFU" bila kujijua kwa njia hio

    Kwa bahati mbaya hatuufikii. Masikini wenzangu ndio hawataelewa hii point.
Back
Top Bottom