mafanikio

  1. Amydiz

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Bando: katika Mitandao ya Yas, Halotel, Vodacom na Airtel

    Je ni namnagani ya kuanza biashara ya kuuza bando??
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Watanzania hawataki changamoto ila wanataka mafanikio tu

    Kama ukitaka kujua watanzania wanafiki kaishi nao nchi za nje ndio utajua watanzania wapoje. Nasema ili sio kwa kutunga ni ukweli mtupu. Mtanzania hataki changamoto yoyote ya mabadiliko wa kuthubutu kama ugali na dagaa hupo nyumbani kwake. Leo mtaani ukianzisha biashara ya mavi ya kuku...
  3. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Redcross baada ya mafanikio waja na mpango kazi mpya

    Miye sijui kwa kweli! Watu wataona meno na wamedhamiria. Niko bwejuu najificha walahi sijui. Redcross wasema wameshinda. Wanasema hiyo ilikuwa awamu ya kwanza. Kumerauka! Zamu yao..... Mwendo wa milio. Na bado. Naye nye nyie
  4. T

    JamiiForums Tanzania Elimu kubwa vs Mafanikio ya maisha

    Simaanishi kusoma hakuna maana, bali unaweza kusoma sana kwa kiwango kikubwa cha elimu lakini ukaja kukuta kitu kilichokufanya ukapata mafanikio ya maisha kwa kuwa na utajiri hata havihusiani na elimu uliyosoma. Kuna kijana wa kisomali nilisoma nae mpaka chuo kikuu, na akaendelea mpaka...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wamebanwa hawapati tena percentage za usajili, wanasababisha ugumu kwenye mafanikio ya Simba

    viongozi waliopewa dhamana hawajali timu, wanachojali ni matumbo yao. Kwa muda mrefu viongozi walikuwa wakinufaika na 10 percent za usajili wa wachezaji, huo mlango umefungwa, kinachoendelea kwenye team ni visasi vya maksudi (bora tukose wote). hata kufungwa na Yanga mfululizo kuna viongozi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wataje hapa CEOs walioleta mafanikio makubwa kwenye kampuni walizosimamia na CEOs waliozingua

    Nianze mimi Walioleta mafanikio CRDB - Charles Kimei (Aliondoka), Ndiye aliefanya crdb iwe giant wa sekta ya bank NMB - Ruth Zaipuna, kaikuta NMB ikiwa imejichokea kaifufua kwa kasi ya ajabu NALA - Benjamin Fernandes, kakimbilia Kenya akidai mazingira ya biashara yake kwa Tanzania magumu...
  7. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Sio kila mwenye mafanikio ana raha na mafanikio yake

    Usiumie, usilie wala usijipe unyonge kuona wengine wanapata mafanikio wakati wewe miaka nenda miaka rudi upo palepale. Sikia nikwambie ndugu yangu, sio kila mwenye mafanikio ana raha na mafanikio yake. Kuna vilio vingi nyuma yao nje na haya ambayo tunayaona kwa macho. Kuna watu wanacheka mbele...
  8. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Mafanikio yanatoka kwa Mungu

    Njia sahihi ni kukaa kimya kwenye utulivu bila kelele wala sauti zozote. Sehemu ya utulivu.... Mwili Nafsi Roho Akili Mawazo Fikra Vyote kimya angalau nusu saa kwa siku.....ukiweza ongeza muda wa utulivu kwa kadiri utakavyo fanikiwa.....hapo ndio nguvu ya asili iliyomo ndani mwako itakapo...
  9. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Life Code: Siri ya mafanikio yako imefichwa kwenye tarehe, mwezi na mwaka wako wa kuzaliwa

    Ukiweza kufungua code za namba zako za tarehe, mwezi na mwaka wa kuzaliwa umetoboa Lifetime. Siri hii niliipata kwenye vitabu vya dini ya wayahudi (Judaism) japo washirikina huitumia pia kwenye kuvuruga na kubadilisha sequence ya namba hizo kwa mtu wanayemtarget. CODE.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Fursa zilizopo Wilaya ya Muheza-Tanga

    Habari Wadau Ni fursa gani za kiuchumi/ biashara zilizopo au zinazoweza kuanzishwa Wilaya ya Muheza?
  11. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nini Kipo nyuma ya mafanikio ya vita ya madawa ya kulevya na ujangili?

    Serikali hii inayotuhumiwa kwa rushwa nilitegemea madawa ya kulevya yazidi na ujangili wa Meno ya tembo uendelee ila NI wazi mambo hayo yamepungua kwa Kasi Sana kama sio kuisha kabisa hasa ujangili hausikiki tena. Je NI jitihada za serikali ya awamu hii au takwimu tunazopewa hazina uhalisia au...
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Huu ni Uongo na si Chanzo cha Mafanikio asikudanganye mtu

    Mimi miaka yote wala si mchapa kazi. Wala sina bidii. Sijawahi kukesha hata wakati nasoma. Nlifaulu. Na sikuwa na bidii... Ntakudanganya nikisema hivyo. Nliajiriwa Serikalini miaka ya 90s. Nikawa napanda panda vyeo nahama wizara na sasa nazunguka zunguka nchi kadhaa. Nina bidii? Ninajituma...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuoa au Kuolewa Kilimanjaro ni ticket ya mafanikio

    Katika nchi yetu hii nzuri Tanzania yenye fursa lukuki, huku tukiwa na usimamizi imara wa CCM chini ya Samia. Inapasa mtu kujua jambo moja tu ili maisha yako yawe na mafanikio. Kama hautokei Kilimanjaro hakikisha unaoa au unaolewa na mtu wa Kilimanjaro. Hakuna watu waliojaliwa vision wanaoweza...
  14. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi ni daraja la mafanikio ya wafanyabiasha

    Je, unaweza kutoa ufafanuzi wa msemo huu? "WAFANYAKAZI (WAAJIRIWA) NI DARAJA LA MAFANIKIO YA WAFANYABIASHARA"
  15. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania mafanikio awamu 6-UG is now richer than us?

    haijawahi kutokea tangia kuanzishwa kwa hizi nchi zinazoitwa za afrika ya mashariki kwamba waganda wakawa juu ya tanzagiza kiuchumi, siku zote ilikuwa kenya inaongoza halafu tanzagiza and then ug, sasa leo hii per capital income ya ug ni kubwa klk tanzagiza, usisahahu kwamba ug ni landlocked...
  16. Parabolic

    JamiiForums Tanzania TIRA wataja mafanikio ya soko la Bima Tanzania kwa miaka minne

    Kamishna wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA), Dk Baghayo Saqware amesema kutokana na utekelezaji wa Sera nzuri chini ya uongozi mahiri wa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, Sekta ya Bima imeendelea kuimarika na kupata mafanikio katika kipindi cha...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara takribani 90% wana maisha magumu. Kijana usidanganyike na mafanikio ya wachache, Business is not for everyone!

    Hii ni tahadhari kwa vijana kuhusu uhalisia wa biashara, si kuwakatisha tamaa wala kuwaambia waajiriwe. Biashara ni njia nzuri, imetajirisha watu lakini si hadithi ya kupendeza kama inavyochorwa mitandaoni. Biashara ni vita, inahitaji akili, mikakati madhubuti, uwezo wa kujifunza kila siku...
  18. Knock life

    JamiiForums Tanzania Byabato popote ulipo nadhani salamu umezipata na kama haujazipata nakupatia muda huu.

    Ndugu Byabato usiendelee na hizo dharau za kusema unaweza kuwachagulia wananchi wa Bukoba mjini Mbunge . Kuwa makini Sana wala usithubutu kuingia katika huo mtego wa kushindana na Mwenyekiti wa chama na kamati kuu waliokukata.
  19. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Hakika mafanikio hayaji bila maandalizi, Tazama video hii kisha utajua kwanini kuna timu kila mwisho wa msimu huambulia kombe la ranking

    Mafanikio = Serious Commitment ✅ Kujituma kwa moyo ✅ Njaa na kiu + hasira ✅
  20. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Special Thread Kumbukizi: TBT za kauli za wanasiasa zilizobamba na kuzua gumzo kwenye medani za kisiasa

    Wakuu mpo vizuri? Kuna kauli nyingi zimewahi kutolewa kitambo na wanasiasa katika nyakati mbalimbali ambazo baadhi zimekuwa zikijirudia lakini pia nyingine zimetekelezwa kama walivyoziongea hata kama baadhi au wengi wetu yuliona ni za kipuuzi. Tutumie uzi huu kutupia kauli hizo, tukiwa na...
Back
Top Bottom