maeneo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mdau wa Twitter: Makanisa yamegeuka maeneo ya kuoneshea ufahari na utajiri wa watu

    Makanisa yamegeuka maeneo ya kuoneshea Ufahari na Utajiri wa watu. Aliyetoa msaada wa Mabenchi anataka jina lake liandikwe kwenye mabenchi hayo, anayetoa msaada wa Vigae anataka jina lake litajwe mbele ya waumini wote na apigiwe makofi nk. Wewe usiye na uwezo huna nafasi tena.
  2. JamiiForums Tanzania Tunasaidia Wajasiriamali kukua kwenye maeneo yafuatayo

    Habari zenu, Drone Online Ads tukiwa na uzoefu wa zaidi ya miaka 20 katika ujasiriamali Tanzania, na hasa jiji la Dar ,sasa tumeanza huduma ya kusaidia wajasiriamali kukua katika maeneo yafuatayo 1. Kukuza mauzo 2. Uanzishaji wa matawi mapya ya biashara 3. Home delivery Wasiliana nasi kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Maeneo gani Dar es salaam watu hawaruhusiwi kupiga picha au kurekodi video?

    Rejea: Kichwa cha habali swali hapo juu. Binafsi nimeona katazo kwenye vivuko vya kigamboni. Ijapokuwa sijui Ni kwanini watu haturuhusiwi kupiga hata picha za mnato mule. Sasa ningependa sana tufahamishane na maeneo mengine yasiyo ruhusiwa kabisa kufanya shughuli hizo kabla na wengine...
  4. JamiiForums Tanzania Maeneo hatarishi kwa rushwa ya Ngono

    1. Sehemu za Kazi: Rushwa ya Ngono kazini ni pamoja na waajiri kutoa ajira kwa Wanawake na faida nyingine kama vile kupandishwa cheo, nyongeza ya mshahara, siku za kupumzika kwa kubalishana na Ngono. Utafiti uliofanywa na Chama cha Wanahabari Wanawake (TAMWA) ulieleza 89% ya Wanawake...
  5. JamiiForums Tanzania Fursa kwa wakazi wa Dar Fursa ya ufugaji wa nyuki kwenye maeneo ya mikoko

    Fursa kwa wakazi wa Dar es salaam na Habari ndugu,napenda kuwapa taarifa kuwa kuna fursa ya uanzishaji na ufugaji wa nyuki kwenye maeneo ya mikoko Dar es salaam. Maeneo yanagaiwa kwa walio tayari kwa ufugaji na pia kwa maelezo zaidi unaweza nitafuta kwa 0762842787 kupata taarifa zinazohusiana...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji chumba masters maeneo ya Kimara, nipo serious

    Dalali yoyote ambae yupo tayari kufanya biashara naomba anicheki kwa no;0783 24 2247 Nahitaji chumba chenye sifa zifuatazo: Kiwe ni master room Kiwe maeneo ya Kimara Kiwe ndani ya geti/fensi usalama wa kutosha Luku ya kujitegemea (Japo co lazma sana) Bajeti yangu ni 70K-100K Nipo serious...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Siungi mkono Serikali kuwatafutia maeneo wamachinga. Hawa ni wahalifu walipaswa kuchukuliwa hatua

    Kwanni serikali imeamua kubeba mzigo wa kuwatafutia maeneo wamachinga? Hawa wanaojiita wamachinga ni wahalifu maana wamekiuka Sheria na taratibu mbalimbali za nchi kwa kuamua kujenga mabanda barabarani ama kupanga bidhaa mbele ya maduka ya wafanyabiashara. Nilitegemea watu hawa, mmoja mmoja...
  8. JamiiForums Tanzania DC Makala, hakikisha kuwa wamachinga wote hawarejei kwenye maeneo tena

    Waliotii agizo la serikali la kuondoka bila shuruti kwenye maeneo yasioruhusiwa kwa biashara wanavunjika moyo kuona wenzao waliovunjiwa panoja bado wanaendelea na biashara zao kwenye maeneo yaleyale waliyoyahama. Hii itasababisha yafuatayo: 1. Wanunuzi wasiende kwenye maeneo mapya kutafuta na...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa akili ya kawaida, watu wa maeneo ya Tandale, Temeke, Buza, Buguruni na Uswazi yooote wataweza kwenda Coco Beach kununua bidhaa?

    Huku ni kukosa mipango ya kiuchumi na mipango miji
  10. JamiiForums Tanzania Sheria zinasemaje kujenga maghorofa marefu maeneo ya makazi?

    Salama. Kuna maeneo ya makazi ni mazuri sana kuishi hivyo kila mtu anatamani kuishi huko. Maenwo kama Masaki au Oysterbay. Hili limepelekea watu kujenga maghorofa marefu sana na kuuza au kupangisha apartment. Majengo haya hubadili kabisa mazingira . Yanazuia upepo na jua pia. Na zaidi ni...
  11. JamiiForums Tanzania Maeneo ya wamachinga lazima yawe na kikomo cha umachinga

    Kwakuwa serikali haiwezi kuwa na maeneo kwa machinga woote nchini hivyo Maeneo wanayopewa wamachinga ni kwaajili ya wafanyabiashara wadogo wasiokuwa na mitaji mikubwa ya kufanya biashara kubwa. Sio sawa kwa machinga kufanya biashara yake eneo hilo milele, ni lazima mmachinga apewe muda maalum...
  12. JamiiForums Tanzania Nahitaji Apartment Mbezi,Kimara na maeneo jirani

    HYabari wakuu Nahitaji bajeti maeneo hayo :Mbezi,kimara, goba, Malamba mawili Bajeti kwa mwezi: 150,000 hadi 180,000 Piga 0713 039 875
  13. JamiiForums Tanzania Chumba kinahitajika Mazimbu, maeneo ya Ipoipo au FK

    Wadau, kama upo humu na una chumba maeneo ya Mazimbu, Ipoipo au FK nipange chap. Hata kama una chumba zaidi ya kimoja itakuwa poa sana
  14. JamiiForums Tanzania Mwanza: Wamachinga waandamana kutaka kupewa vizimba katika maeneo waliyopangiwa

    Ni patashika. Ndivyo unavyoweza kuelezea mvutano kati ya wafanyabiashara wadogo jijini Mwanza na mamlaka ya Jiji hilo baada ya wafanyabiashara hao kuandamana leo Jumamosi Oktoba 23,2021 na kufunga barabara ya Nyerere eneo ya Voil kushinikiza kupewa vizimba kwenye maeneo rasmi. Kundi la...
  15. JamiiForums Tanzania Tusinunue bidhaa za machinga kwenye maeneo yasiyoruhusiwa

    Tuachane na wale wanaotaka jambo la kuwapnag machinga liende vibaya kwa maelngo yao ya kisiasa. Ni lazima miji yetu ipangike, kila mtu afanye biashara kwa ustaarabu. Tuisaidie serikali ya Rais Samia kufanikisha jambo hili kwa kuacha kununua bidhaa za machinga wanaokaa kwenye maeneo ambayo...
  16. JamiiForums Tanzania RC Makalla: Machinga wakirudi maeneo waliyohamishwa, nitakuwa sitoshi kwenye nafasi yangu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amewataka watendaji wa mitaa kulinda maeneo yao, kuhakikisha wamachinga waliohamishwa hawarudi tena maeneo hayo, wakikuta kibanda watajua watendaji wanahusika. Amesema wamachinga wakirudi katika maeneo waliyohamisha itamaanisha yeye hatoshi kwenye...
  17. JamiiForums Tanzania TARURA huu ni uhuni na usaliti kwa kata ya Kitunda, Mzinga na maeneo jirani

    Kwakweli inasikitisha kweli kwa kinachofanywa na TARURA katika barabara za Kata ya Kitunda, Mwanagati na maeneo jirani na kata hizo naweza kusema ni uhuni na kutukosea wananchi. Wameweka bango kubwa la ukarabati wa barabara na kushangaza wamepitisha greda na kumwaga kifusi cha vumbi. Hata kama...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Tetemeko maeneo ya Ziwa Rukwa

    Tetemeko la ardhi limetokea leo saa 2:50 asubuhi maeneo la Ziwa Rukwa. Mliopo maeneo hayo mtujuze.
  19. JamiiForums Tanzania Maeneo gani hapa Dar naweza pata mwanamke wa kizungu?

    Je nikijichanganya mitaa ipi hapa nitakuwa na nafasi kubwa kukutana na wazungu wengi na hatimaye nikaopoa mchumba ? Nahitaji kuanza kucheza mechi za kimataifa ili niwe balozi Msaada please
  20. JamiiForums Tanzania Pesa za ujenzi wa madarasa sekondari ziende mapema maeneo mengi msimu wa mvua unaanza

    Tuipe hongera serikali ya awamu ya sita kwa hatua ya hiii inayoenda kufanya wito huu sio mda tena wa Kila waziri kwenda kwenye vyombo vya habari nakuanza kuongelea hizi pesa za ujenzi wa madarasa wakati bado pesa zipo hazina hazijafika katika halmashauri Pelekeni pesa haraka mwezi January siyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…