maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. winnerian

    JamiiForums Tanzania Maendeleo yanaanzia kwenye fikra chanya na huru

    Tanzania hatuna uwezo wa kutengeneza karatasi sembuse uzi wa kishona nguo. Kwa miaka 60 fikra zetu zimeshikiliwa na siasa. Sio wananchi pekee bali kuanzia viongozi wa ngazi ya juuu kabisa hadi chini. Fikra chanya na huru ndio maendeleo yenyewe au la tuamue kutumia mfupi wa kijima kama China...
  2. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kujivunia maendeleo makubwa ya sekta ya barabara ndani ya miaka 60 ya Uhuru bila kumtaja Hayati Magufuli ni makosa makubwa ya kihistoria

    Ukweli unapaswa kuwekwa ndani ya historia yoyote inayoandikwa ili kizazi na kizazi kiweze kupata ukweli wa masuala yanaojili na kuendelea. Hayati Magufuli katika utumishi wake wa umma zaidi ya miaka 25 alipigania maendeleo ya barabara hapa nchini. Kila mtanzania ni shahidi juu hili na hivyo ni...
  3. songo mwene

    JamiiForums Tanzania Maendeleo huletwa na wananchi wenyewe kwa kulipa kodi

    Maendeleo huletwa na wananchi wenyewe kwa kulipa kodi, ni jukumula Serikali kuhakikisha inatengeneza sera na namna bora ya kuhakikisha kila Mwananchi analipa kodi, Serikali ya awamu ya Sita iliona ni bora kuziingiza kodi kwenye miamala ya simu ili kila unapofanya muamala ikatwe kodi moja kwa...
  4. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa matumizi ya anwani za makazi utaleta maendeleo

    Uzinduzi wa matumizi ya anwani za makazi Jijini Mwanza viwanja vya shule ya msingi Buhongwa B ambapo mgeni rasmi ni Spika Mstaafu na Kamisaa wa Sensa ya watu na makazi Mhe. Anne Semamba Makinda.
  5. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo uchumi unakua kwa kasi. Tumepunguza kiwango cha umasikini

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ni miongoni mwa Nchi 10 za Afrika ambazo Uchumi unakua kwa kasi. Pia, imekuwa na utulivu wa Mfumuko wa Bei na Thamani ya Fedha. Ameeleza, "Tumeona viashiria vya Maendeleo kwenye Maendeleo ya mtu. Tumeweza kupunguza kiwango cha umasikini...
  6. beth

    JamiiForums Tanzania CAG 2019/20: Mapungufu katika Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo

    Mamlaka ya Serikali za Mitaa zinajukumu la kusimamia idadi kubwa ya miradi ya maendeleo inayotekelezwa nchini. Miradi hii yenye lengo la kutoa huduma za kijamii, hutekelezwa kwa fedha za ruzuku inayotumwa kutoka Serikali Kuu na kiasi fulani huchangiwa na mapato ya ndani ya Halmashauri husika...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Si haki kuzitwisha mzigo nchi zinazoendelea kwenye suala la mabadiliko ya tabia nchi

    Na Fadhili Mpunji Wakati dunia inatafakari mambo yaliyojadiliwa na makubaliano yaliyofikiwa kwenye mkutano kuhusu kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi COP26 uliofanyika huko Glasgow Scotland, suala la uwajibikaji kwenye kukabiliana na tatizo hilo limekuwa gumzo tena, na China kwa...
  8. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Zitto anasema Magufuli aliharibu uchumi kwa miaka 5, msikilize hapa akiwa na Magufuli akimsifia hadharani

    Mimi ni mtu naependa consistency, mtu akishakua unpredictable siwezi kumuelewa. Leo Zitto anashinda mitandaoni anamsema Marehemu Magufuli kwamba aliharibu uchumi, hakuna kitu alichofanya na kumbebesha lawama zote za udhaifu ama inefficiency ya serikali ya awamu ya sita kwamba ilisababishwa na...
  9. Ngungenge

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apewe muda, hatumii uongo wala propaganda. Anakuwa Rais wa Kwanza kuleta maendeleo ya kweli

    Awamu ya tano kona kona zilikua nyingi na huu sio wakati wa kumlaumu yoyote, kila mtu anajua propaganda na uongo na maamuzi ya mtu mmoja yalitawala. Wanufaika wakatumia kila njia kuziba mifumo wananchi na kuwatisha kwa kila namna. Kama tukifatilia mienendo ya awamu ya tano ni Rais Samia na...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Naamini Tanzania bila Rushwa inawezekana

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Maendeleo ya Nchi huletwa na Wananchi wake. Amesema hayo akiwa kwenye Mkutano wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Zanzibar. Amesema Sheria za Tanzania Bara na Zanzibar zimetoa Uhuru (usiovunja Sheria) kwa watu kufanya kazi. Ameongeza kuwa ataendelea...
  11. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Yawezekana Tanzania isije kupata maendeleo chini ya siasa monopoly za CCM?

    Wakati wa mwwshimiwa kikwete tuliaminishwa kwamba 1. Soon mgao wa umeme utakua historia. Akatoka madarakanai kaacha mgao unaendelea. 2. Tukaimbishwa nyimbo za uchumi wa gesi. Kiukweli wanasiasa Mungu anawaona. Ule wimbo ulikoishia anayeweza kuelezea serikali ya CCM. 3. Akaja Mweshimiwa JPM na...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Malipo ya Wabunge tangu uhuru yanaakisi maendeleo?

    Miaka sitini ya Uhuru inaendana na malipo ya wabunge kila mwezi ukilinganisha na uhalisia wa majimbo? Kwanini kila kikao cha bunge ni hoja za maji maji.Hatuna mbinu mbadala maji kiwe kipaumbele?
  13. Mpekuzi Tanzania

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Igunga na falsafa ya kazi na maendeleo

    IGUNGA: KAZI NA MAENDELEO Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe Nicholaus George Ngassa, ameungana na Wananchi na Mafundi kushiriki ujenzi wa vyumba vya madarasa vya Shule za Sekondari. Serikali imelipatia Jimbo la Igunga Shilingi Milioni Mia Nane na Themanini (Tshs 880,000,000) kwa ajili ya ujenzi wa...
  14. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ni hitaji la Wanasiasa tu. Wananchi Hitaji lao kubwa ni Maendeleo

    Itamsaidia nini mwananchi kuwa na Uhuru wa kumchora Rais na Kumtukana atakavyo na huku hakuna Huduma za muhimu kama Elimu, Hospitali, Miundo Mbinu, Umeme na Maji? Yaani kuwa mwanasiasa wa Chama cha Upinzani atakuwa huru kufanya na kusema atakayo then mwananchi anakosa huduma muhimu ndo iwe...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania hatupendi maendeleo?

    Kila mtu ni sehemu muhimu ya maisha yake katika nchi huru kama Tanzania. Kupiga hatua katika maisha ni kiu ya kila mmoja mwenye afya njema na akili timamu hivyo sio Jambo baya kwa mtu kuwa mfano mzuri wa kufanikiwa kupitia kipaji chake alichojaliwa na mwenyezi Mungu. Tanzania ni nchi iliyojaliwa...
  16. MUTUYAMUNGU

    JamiiForums Tanzania Wapare mwaka 1951 walikuwa na maendeleo kuliko sasa (2021)

  17. T

    JamiiForums Tanzania Kuamini kwamba chama cha upinzani kikishika madaraka kitaleta maendeleo ni kujidanganya!!

    Kwa mtazamo wangu maendeleo yanaweza kupatikana ikiwa rasilimali za nchi zikapata usimamizi mzuri na mipango ya maendeleo ikapangiliwa vizuri lkn pia wananchi wakatimiza wajibu wao. Kwa upande wa vyama, naamini ni kama madaraja tu ya kuwasaidia watu kupata sifa ya kuwa wagombea na kukidhi...
  18. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Mnoifahamu Katoro, tafadhali nijuzeni kuhusu Ukuaji, Maendeleo na Matarajio

    Kwa miaka ya karibuni, kuna miji imeshika kasi katika ukuaji wa kiuchumi, fursa na population kupelekea hadi uhitaji mkubwa wa miundobinu. Miji kama Tnduma, Njombe, Kahama na Dodoma imeonesha viashiria vya ukuaji wa kasi. Lakini hivi karibuni kumetokea mji mwingine unaozungumuzwa sana, Katoro...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Udhibiti wa Ujenzi wa Miradi ya Maendeleo Katika Nchi ya Kufikirika (isiyokuwepo kiuhalisia)

    Mheshimiwa Rais Chokambaya Bin Mwaminifu wa Jamhuri-ya-Mazuzu amefanya uamuzi mgumu kwa nia ya kuokoa fedha za serikali yake katikati ya upinzani mkali wa wadau wa sekta ya ukandarasi. Katika kikao cha Baraza la Mawaziri, alitangaza uamuzi wake huo kama ifuatavyo:- Ili kudhibiti matumizi ya...
  20. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Kubeza maendeleo yaliyoletwa na CCM ndani ya miaka 60 ni kukosa busara. Tulipata uhuru tukiwa nyuma sana kimaendeleo

    Inashangaza sana kusikia mtu anakebehi kuwa Ccm imelifanyia nini taifa hili ndani ya miaka sitini. Pamoja na kuwa tulikuwa chini ya uangalizi wa UN mpaka tutapopata uhuru lakini mwangalizi wetu yaani Mwingireza hakufanya maendeleo ya maana kama katika makoloni yake ya kudumu kama Kenya na...
Back
Top Bottom