Mnoifahamu Katoro, tafadhali nijuzeni kuhusu Ukuaji, Maendeleo na Matarajio

Forrest Gump

JF-Expert Member
Jul 2, 2021
583
1,266
Kwa miaka ya karibuni, kuna miji imeshika kasi katika ukuaji wa kiuchumi, fursa na population kupelekea hadi uhitaji mkubwa wa miundobinu. Miji kama Tnduma, Njombe, Kahama na Dodoma imeonesha viashiria vya ukuaji wa kasi.

Lakini hivi karibuni kumetokea mji mwingine unaozungumuzwa sana, Katoro. Natumaini wengi humu hatujafamika ila kuna wana JF ni wakazi wa Katoro au wanaoufahamu mji wenyewe.

Tungependa tupate review ya ule mji. Hali yake kiuchumi, utamaduni wa watu pale, fursa zinazochangamkiwa, kasi ya ukuaji, nini kilipekea mji ukaamka kwa kasi na mengine mengi ..

Karibuni
 
Naam katoro naifahamu inakua jiwe aliimega kimapato yaani Kuna sehemu mbili hapo hapo katoro(buseresere na katoro) jiwe akaiweka buse iwe chato ili apate mapato,infact ni mji unaokua
 
Katoro iko wilaya ya Geita, mkoani Geita, Buselesele ilikuwa wilaya ya Biharamulo, mkoa wa Kagera, baadaye ikawa wilaya ya Chato mkoa wa Geita mpaka sasa. Lakini zimeungana kwa sasa.
 
Kwa miaka ya karibuni, kuna miji imeshika kasi katika ukuaji wa kiuchumi, fursa na population kupelekea hadi uhitaji mkubwa wa miundobinu. Miji kama Tnduma, Njombe, Kahama na Dodoma imeonesha viashiria vya ukuaji wa kasi.

Lakini hivi karibuni kumetokea mji mwingine unaozungumuzwa sana, Katoro. Natumaini wengi humu hatujafamika ila kuna wana JF ni wakazi wa Katoro au wanaoufahamu mji wenyewe.

Tungependa tupate review ya ule mji. Hali yake kiuchumi, utamaduni wa watu pale, fursa zinazochangamkiwa, kasi ya ukuaji, nini kilipekea mji ukaamka kwa kasi na mengine mengi ..

Karibuni
Unataka kuhamia Katoro?
Ni karibu kabisa na Chato
 
Katoro iko wilaya ya Geita, mkoani Geita, Buselesele ilikuwa wilaya ya Biharamulo, mkoa wa Kagera, baadaye ikawa wilaya ya Chato mkoa wa Geita mpaka sasa. Lakini zimeungana kwa sasa.
Naam mkuu, tutoane ujinga, kwa hyo katoro sio wilaya?
 
Kwa miaka ya karibuni, kuna miji imeshika kasi katika ukuaji wa kiuchumi, fursa na population kupelekea hadi uhitaji mkubwa wa miundobinu. Miji kama Tnduma, Njombe, Kahama na Dodoma imeonesha viashiria vya ukuaji wa kasi.

Lakini hivi karibuni kumetokea mji mwingine unaozungumuzwa sana, Katoro. Natumaini wengi humu hatujafamika ila kuna wana JF ni wakazi wa Katoro au wanaoufahamu mji wenyewe.

Tungependa tupate review ya ule mji. Hali yake kiuchumi, utamaduni wa watu pale, fursa zinazochangamkiwa, kasi ya ukuaji, nini kilipekea mji ukaamka kwa kasi na mengine mengi ..

Karibuni
mji mzuri sema tu JIWE alkusudia ku-uua na kuikuza CHATO.
 
Back
Top Bottom