maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania SoC02 Jeshi la uchumi wa Taifa(JUT) na ufumbuzi wa maendeleo wa Taifa

    Maendeleo ya taifa la Tanzania unategemea rasilimali pamoja na namna rasilimali zitakavyo simamiwa.Miaka ya hivi karibuni idadi kubwa ya vijana wanehitimu na wanaendelea kuhitimu katika shule za msingi na sekondari,vyuo na vyuo vikuu ndani na nje ya nchi. Ni jambo la kujivunia kutokomeza adui...
  2. JamiiForums Tanzania Kenan Kihongosi: Sensa itaharakisha maendeleo kwa vijana

    "Takwimu za kiuchumi zitakazopatikana Agosti 23/2022 zitaonesha uwiano wa vijana wanaojishughulisha na kazi za kuzalisha mali na aina ya kazi tunazofanya. Hii itaisaidia serikali katika kupanga sera na mipango ya maendeleo inayolenga katika kukuza ujuzi kwa vijana, Utoaji wa ajira, Uboreshaji...
  3. JamiiForums Tanzania SoC02 Tudumishe Kiswahili kwa maendeleo endelevu na nyenzo ya kudai haki

    UTANGULIZI Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa pumzi ya uzima na uwezo wa kuniongoza katika kuandika Makala hii yenye kuleta tija hapa nchini Tanzania na duniani kwa ujumla. Pia, nawashukuru na kuwapongeza JF kwa kuweka shindano hili na jukwaa hili ili kuinua vipawa vy vijana wengi hapa nchini...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kasumba kikwazo katika maendeleo ya Kijana

    Na Betuel John Katika ulimwengu wa sasa mafanikio ya watu wengi maarufu na mashuhuri yamekuwa yakiwavutia sana watu wengi hasa vijana ambao kwa kiasi kikubwa ndio wanaohangaikia ndoto zao za kuwa na maisha mazuri na mafanikio. Katika kuhangaikia ndoto hii vijana wengi wamejikuta wakisahau...
  5. L

    JamiiForums Tanzania China yaziongoza nchi zenye nguvu duniani kufuatilia maendeleo ya amani ya Pembe ya Afrika

    Hivi karibuni mkutano wa kwanza wa amani wa China na Pembe ya Afrika ulifanyika Addis Ababa, Ethiopia, na kufuatiliwa na vyombo vya habari mbalimbali kote duniani, ikiwa ni pamoja na Reuters na VOA. Wakati China inaanza kutekeleza kivitendo "Dhana ya Maendeleo ya Amani katika Pembe ya Afrika"...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe JJ Mnyika alivyomkabili Rais Magufuli kuhusu Demokrasia, Maendeleo ya Watu, na vyuma kukaza

    Kulikuwa na TENSION kubwa sana kuhusu uwepo wa JJ Mnyika ktk mkutano wa Raisi. Anglia sura na reaction ya Jpm, Jafo, na Kamwele, baada ya JJ Mnyika kutambulishwa. Hapa chini ni maneno ya JJ Mnyika baada ya kupewa nafasi ya kuzungumza. Wanasiasa wachache sana walikuwa na ujasiri wa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Manzese kwanini haiendelei?

    Wakuu, Manzese ni moja kati ya kata za kitambo sana, 1975 tayari ilikuwa ni kata kamili yenye miundombinu inayoekeweka, ndio eneo la kwanza Tanzania kuwa na Daraja la wavuka Kwa miguu ambalo liligeuka kuwa kivutio enzi zile, Kwa miaka mingi manzese imekuwa kitovu cha biashara, burudani Na soko...
  8. JamiiForums Tanzania Maendeleo yasiyoweza kumgusa mwananchi moja kwa moja ni ubatili. Kwa miaka 60 tumepata uhuru lakini CCM haijamsaidia mwananchi wa Kawaida

    Unajenga mabarabara lakini mwananchi hana uwezo wa kulipa nauli na kupanda basi hata kama barabara ni nzuri. Hii haisaidii kitu. Mwananchi lazima awe na kipato cha ziada ili kuwa na uwezo mkubwa kumudu. Unajenga hospital lakini huduma za kulipia na wananchi hawawezi kumudu inasaidia nini...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa la wamaasai ni mchango wao Mdogo kwenye maendeleo ya nchi

    Kabila la wamassai wanajulikana zaidi kwa migogoro kuliko maendeleo. 1. Monduli ni jagwa leo kwasababu ya wamaasai 2. Migogoro ya wafugaji na wakulima kutoka Morogoro mpaka Lindi ni wamasai 3. Hawapendi kuendeleza watoto wao 4. Hawalipi kodi zozote za maana 5. Hawafuati ushauri mfano ufugaji...
  10. JamiiForums Tanzania Uchawa unadumaza maendeleo ya nchi, unalinda ufisadi na kubariki kutokuwajibika. Taifa linaangamia

    Kuna ajira mpya ya kisiasa imezuka katika Taifa letu nayo inaitwa uchawa. Uchawa ni kitendo cha kuwa mfuasi kindaki ndaki wa mtu kwa matendo na kauli zake bila kujali uhalali wa kile kinachofanywa. Mtu huyo anaweza kuwa Kiongozi mkuu wa nchi au mwanasiasa yeyote mwenye ushawishi. Kiongozi...
  11. E

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Rais avunje Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

    Chimbuko la migogoro ya ardhi iwe ni wafugaji kwa wakulima, iwe ni wananchi na wawekezaji kama maneo yenye madini au iwe ni maeneo ya mijini kama nilivyosikia kinondoni nyumba 400 zinabomolewa au iwe ni ngorongoro Chimbuko la migogoro hii ni wizara ya ardhi nyumba na maendeleo ya makazi. Kwa...
  12. L

    JamiiForums Tanzania China yapata maendeleo katika kuzuia ueneaji wa jangwa

    Leo Juni 17 inatimia miaka 28 ya Kupambana na Kuenea kwa Jangwa na Ukame Duniani. Kauli mbiu ya kimataifa ya siku hii ni “Kushirikiana Kupambana na Ukame na Kupata Maendeleo ya Pamoja”, na kauli mbiu ya siku hii nchini China ni “Kushirikiana Kupambana na Kuenea kwa Jangwa na Kujenga Jumuiya ya...
  13. JamiiForums Tanzania Ubingwa wa Rais Samia na Uchumi Shirikishi

    Katika uchumi, sera ya Mhe. Rais Samia Suluhu ni sekta binafsi kufanya biashara na Serikali kuwa mwezeshaji. Hiyo ndiyo njia pekee mataifa makubwa yanajijenga hivi. Manufaa ya uchumi shirikishi. Kukua kwa mzunguko wa fedha Kuboresha biashara kwa wananchi kupitia ushindani na huduma kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Demokrasia huchochea maendeleo

    Bunge huru hutunga sheria huru na Mahakama huru hutafsiri hizo sheria bila kuingiliwa na mhimili wowote, kuhakikisha sio kandamizi kwa Raia na zinatumika katika maono mapana ya taifa kwa ujumla. Pia Bunge huiwajibisha Serikali na kuhakikisha matumizi sahihi ya kodi za wananchi, vilevile...
  15. JamiiForums Tanzania Mnaacha kutuletea Maendeleo Watanzania kazi yenu kutwa ni kutishia tu wasema ukweli au watoa taarifa sahihi

    Msemaji Mkuu wa Serikali, @gersonmsigwa amesema bei za umeme hazijaongezeka na amesema kuwa Serikali inamtafuta aliyetoa taarifa ya uongo kuhusu kuongezeka kwa bei ya umeme na kusababisha taharuki kwa wananchi ili achukuliwe hatua.. Chanzo: Dar Mpya Blog Mnapoelekea sasa mtaanza kutulazimisha...
  16. JamiiForums Tanzania Siku Mtanzania atakapotumia haki yake kumchagua kiongozi anayemtaka ndio tutaona Maendeleo ya Kweli Tanzania

    Hello Great Thinkers.... Moja ya vitu vilivyojirudia kutoka kwa wachangiaji kwenye hii topic niliyoiandika siku chache zilizopita ni jinsi Tanzania kulivyo na Maigizo kwenye uchaguzi... unaweza kupitia Uchaguzi ujao, Kanda ya Ziwa isiwe ndio Kanda inayotuchagulia Rais Kwamba kila Uchaguzi ni...
  17. JamiiForums Tanzania Makabila yenye mafanikio (kasoro wachaga), sehemu walizotokea hazina maendeleo kwasababu wanaogopa kurogwa wakitaka kurudi kufanya maendeleo

    Mchaga ana mambo yake meusi lakini hata yakiwekwa hayo mambo kumi, bado uchawi hauingii kwenye orodha, hata kwa watu tuliowahi kuishi nao Moshi na Arusha tunawajua upande wao mweusi ni utapeli, wizi (hapa wapo hadi majambazi sugu), visasi, ulevi uliopindukia, n.k. lakini maswala ya ushirikina...
  18. JamiiForums Tanzania Fursa za Ajira na Kazi kwa Vijana ni Muhimu kwa Maendeleo ya Dunia

    Kazi\ajira ni sehemu muhimu ya maisha ya watu. Ina maana kubwa zaidi ya malipo anayopata mtu. Inamaanisha kuwa na uwezo wa kufanya maamuzi binafsi kuhusu jinsi anavyotaka kuishi maisha yake. Hata hivyo, wapo ambao wanakabiliwa na ukosefu wa kazi/ajira za kuwawezesha kiuchumi hivyo kuathiri kwa...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya Benki ya maendeleo ya Afrika (AfDB) na China wahimiza maendeleo ya miundombinu barani Afrika

    Fadhili Mpunji Mwishoni mwa mwezi Mei, Benki ya maendeleo ya Afrika (AfDB) iliitisha mkutano wake wa mwaka mjini Accra, Ghana kujadili maswala yanayohusu maendeleo ya benki hiyo, na mchango wake katika kuisaidia Afrika kukabiliana na changamoto mbalimbali. Kauli mbiu ya mkutano wa safari hii...
  20. JamiiForums Tanzania Ili Taifa lipate Maendeleo tuwaachie watu wa Pwani

    Nadhani vijana mnajionea wenyewe Issue ya Ajira so tusikubali kurudi nyuma tena. Msomi wa degree kuwa saidia fundi ili Jambo kiukweli lilikuwa ni hatari.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…