China yapata maendeleo katika kuzuia ueneaji wa jangwa

ldleo

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
1,010
1,032
Leo Juni 17 inatimia miaka 28 ya Kupambana na Kuenea kwa Jangwa na Ukame Duniani. Kauli mbiu ya kimataifa ya siku hii ni “Kushirikiana Kupambana na Ukame na Kupata Maendeleo ya Pamoja”, na kauli mbiu ya siku hii nchini China ni “Kushirikiana Kupambana na Kuenea kwa Jangwa na Kujenga Jumuiya ya Binadamu yenye Hatma ya Pamoja”.

Kutokana na juhudi za Idara ya kitaifa ya misitu na nyasi, China imefanikiwa kuzuia ueneaji wa jangwa, na kutimiza "kusonga mbele kwa kijani na kurudi nyuma kwa mchanga".
VCG111382495341.jpg
 
Wachina kwa wingi wao wanajikuta wanafanya makubwa kuhofia yajayo... Hawa ndio watakaoimiliki dunia siku zinazokuja.

Yani tecnolojia wameishika nayo ikawashika❤️🇨🇳🇨🇳🇨🇳
 
Back
Top Bottom