maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuiba Trillion 2 halafu kesho yake unamwambia mtu lipa kodi kwa maendeleo ya taifa ni matusi, hii inauma sana

    Kuna wakati leo nimekaa natafakari sana jinsi tunavyobanwa katika kila angle ili tulipe kodi, hasa hasa hili suala la tozo za miamala, linaumiza sana. Halafu unakuja kuambiwa watu wanaiba pesa tulizolipa kodi, nasikia kuna hadi trillion 2 zimelambwa. Hapa nimetoka kutuma pesa haifiki hata laki...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Watalii kutoka China wahimiza maendeleo ya sekta ya utalii Tanzania

    Muda mfupi baada ya serikali ya China kuondoa kizuizi cha mwisho cha hatua za kupambana na janga la COVID-19, wachina walianza kusafiri kwenda katika nchi mbalimbali duniani. Mwishoni mwa mwezi Aprili kundi la watalii 28 kutoka China, lilikuwa ni moja kati ya makundi ya mwanzo kusafiri kwenye...
  3. JamiiForums Tanzania Kuoa sio maendeleo acheni kulazimisha watoto kuoa mapema

    Imekua ni kawaida kwa Vijana wengi kuoa mapema kuanzia miaka 20-25 tatizo wengi wanaolea nyumbani kwa wazazi unakuta nyumba vyumba vitatu Babu, Bibi, Baba, Mama na Wajukuu wengi mithili ya vifaranga wa Tai. Wote wanaishi hapo nyumbani. Muda ambao kijana alitakiwa kutafuta maisha ndio...
  4. A

    JamiiForums Tanzania SoC03 Jinsi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa kwa Maendeleo ya Nchi yetu

    Rushwa ni tatizo kubwa sana katika nchi yetu na linahitaji kushughulikiwa kwa njia ya uwajibikaji na utawala bora. Kwa miaka mingi, rushwa imekuwa ikiathiri maendeleo ya taifa letu kwa kuzuia maendeleo ya uchumi, kuongeza umaskini na kupunguza uaminifu wa wananchi kwa serikali. Kuna sababu...
  5. JamiiForums Tanzania SoC03 Mfumo bora wa kodi ni chachu ya maendeleo kwa taifa

    Habari za muda huu wanajamvi. Mifumo Bora wa Kodi ni nini na umuhimu wake? Mfumo bora wa kodi unaweza kutofautiana kulingana na malengo na mahitaji ya nchi husika. Hata hivyo, kuna mifumo kadhaa ya kodi ambayo imekuwa ikitekelezwa katika nchi mbalimbali. Hapa kuna mifumo miwili inayotumiwa...
  6. JamiiForums Tanzania Maendeleo na Elimu

    Siku ukijitambua utaelewa nilichoandika. Afrika tumekuwa program baada ya kutawaliwa, Maendeleo yametuondolea mambo yetu ya msingi (asili yetu) pia Elimu imebadilisha kila kitu chetu. Mfano mdogo.. Madawa, vyakula, imani n.k. Technology. Aliyeleta technology, lengo lake apate pesa sio...
  7. JamiiForums Tanzania Jali mchakato/ mfumo zaidi ya kuangalia matokeo tu ili uwe na maendeleo ya muda mrefu

    Matokeo yoyote yanatokana na mchakato/ mfumo fulani. Hasa matokeo yatakayokupa furaha na maendeleo kwa muda mrefu. Kujali mchakato ni kufanya kila unachotakiwa kufanya kwa muda huu bila kujali unavyojiskia, hatua inayofuata au matokeo yatakuaje. Mchakato unahitaji nguvu zako kila siku. Ukiwa...
  8. JamiiForums Tanzania SoC03 Nafasi ya Mtandao (Internet) Kwenye Maendeleo

    Mtandao (Internet) umekuwa moja ya teknolojia zinazoongoza ulimwenguni na ambayo imetoa mchango mkubwa katika kuleta maendeleo ya kiuchumi, kijamii, na kuinua ustawi wa mamilioni ya watu duniani kote. Taasisi mbalimbali, mashirika ya serikali na binafsi, pamoja na watu binafsi, wamefaidika...
  9. JamiiForums Tanzania SoC03 Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza

    KIZURI CHAJIUZA KIBAYA CHAJITEMBEZA UTANGULIZI Dhana ya utawala bora na uwajibikaji ni kama pande mbili za sarafu moja, ili kuwepo na utawala bora uwajibikaji ni nguzo muhimu ambayo ni ya msingi. Utawala bora huusisha usimamizi katika msingi mkuu wa ujumuishaji na ushirikishwaji wa wahusika...
  10. JamiiForums Tanzania SoC03 Uwepo wa Vitabu na Makala kwa Lugha ya Kiswahili na Ongezeko la Maktaba Katika Kukuza Maendeleo

    UWEPO WA VITABU NA MAKALA KWA LUGHA YA KISWAHILI NA ONGEZEKO LA MAKTABA KATIKA KUKUZA MAENDELEO Elimu ni ufunguo wa maisha ni kauli ambayo wote tumezoea kuisikia, ila unajua asilimia kubwa ya elimu inapatikana kwenye vitabu. Vitabu hubeba historia na mitazamo mbali mbali ya watu ulimwenguni...
  11. JamiiForums Tanzania Nchi za Afika zenye maendeleo ya viwanda

    Viwanda ndio uchumi imara, Kama huna viwanda vya kutosha huwezi kuwa na uchumi mzuri. Hakuna maendeleo au ukuaji mzuri wa kiuchumi bila kuwa na uzalishaji unaotokana na viwanda kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali hizi ndizo nchi zilizoendelea kiviwanda katika bara Africa. 1)- South Africa 🇿🇦 2)-...
  12. JamiiForums Tanzania SoC03 Mapinduzi ya Teknolojia ya Digitali yanavyoweza kuleta Maendeleo ya kiuchumi, kisiasa na kijamii

    Salama waungwana, Hakuna anayeupenda, kila mtu anauchukia, Kwa kweli sijawahi kuona hata mtu mmoja anayetaka kuwa Maskini. Kila mtu, jamii na taifa hupigana vita ya umaskini Kwa kila namna wawezavyo. Hii ni kusema vita ya umaskini ni vita inayostahili kuitwa vita kuu ya Dunia. Umaskini...
  13. P

    JamiiForums Tanzania SoC03 Falsafa kuu ya maisha yenye kuleta maendeleo chanya kwenye utawala bora na uwajibikaji ili kuleta taifa bora

    Uhusiano wa kanuni hii kwenye Utawala na uwajibikaji katika maendeleo. Falsafa kuu ya maisha ni kujua kua umeumbwa hapa duniani kufanya nini, mwenyezi Mungu amekusudia wewe ufanye nini hapa duniani. dhumuni hilo la maisha lazima liwe linasaidia pia maendeleo chanya kwako na watu wengine pia...
  14. JamiiForums Tanzania SoC03 Tafuta pesa

    Hii ni kauli ambayo imekuwa ikitrend sana tokea mwaka jana Hadi Leo huku ikifanya wengine wajikwamue na wengine bado wasipate njia za kutoka. Binafsi nimegawanya katika njia mbili, 1: WATU WENYE AJIRA 2: WATU WASIO NA AJIRA 1: WATU WENYE AJIRA. Binafsi nimekuwa mmoja wa mashuda katika hili...
  15. L

    JamiiForums Tanzania China yaendelea kuwa msukumo chanya kwenye maendeleo ya kiuchumi na kijamii nchini Tanzania

    Ni hivi karibuni nimerudi kutoka nyumbani nchini Tanzania, ambako sijaenda kwa miaka mingi kutokana na changamoto za janga la COVID-19. Katika muda mfupi wa kuwepo Tanzania, nimeshuhudia mabadiliko makubwa yanayotokana na juhudi za kuendeleza nchi za mwananchi mmoja mmoja na serikali katika...
  16. JamiiForums Tanzania SoC03 Teknolojia, Utawala Bora na Uwajibikaji katika kuleta maendeleo kwa jamii na taifa kwa ujumla

    Picha na Nathan Mpangala (MWONGOZO WA UTAWALA BORA) UTANGULIZI Utawala ni matumizi ya mamlaka ya kisiasa, kiuchumi au vinginevyo katika kusimamia masuala ya nchi na wananchi kwenye ngazi zote, Utawala bora ni matumizi ya mamlaka ambayo yanakuwa na uwazi, uwajibikaji, ushirikishaji wa watu...
  17. JamiiForums Tanzania Mbunge Kenneth Nollo na kasi ya Maendeleo katika Jimbo la Bahi Mkoa wa Dodoma

    MBUNGE MHE. KENNETH NOLLO NA KASI YA MAENDELEO KATIKA JIMBO LA BAHI MKOA WA DODOMA Mbunge wa Jimbo la Bahi, Dodoma Mhe. Kenneth Nollo mwezi Aprili 2023 amefanya ziara katika Jimbo la Bahi na kukagua miradi mbalimbali ya kimaendeleo inayotekelezwa Jimboni huku akishirikiana na wananchi katika...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani ashusha Wadau kutoka Korea kuunga mkono shughuli za maendeleo Jimboni Chalinze

    Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete licha ya shughuli zake kubwa za kitaifa kama Naibu Waziri lakini kamwe hasahau Jimbo lake na amekuwa mstari wa mbele kila siku kusukuma na...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo na uzoefu juu ya biashara hii wapenda maendeleo

    Habari Wana Jf, nimeona nishare nanyi ili niweze kujikwamua Na Maisha kutokana Na Tafiti ndogo Ya mazingira niliyonayo , wazo langu la biashara ni kudili Au kuuza open shus,Kama makobazi,jamii ya yebo yebo Za dizain mpya,visendo sendo simple,vindala nk vya wanaume na wanawake Hilo Ndo wazo...
  20. B

    JamiiForums Tanzania CCM yajifunza kusukuma maendeleo makubwa kwa wananchi kutoka China

    TAARIFA YA KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI NDUGU SOPHIA MJEMA KUHUSU ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU DANIEL CHONGOLO NA UJUMBE WAKE NCHINI CHINA. Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Mjema leo Ijumaa Aprili 28, 2023 kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…