maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania SoC03 Kuweka Misingi Bora Ya Uongozi Kwa Maendeleo Na Ustawi Wa Jamii

    KUWEKA MISINGI BORA YA UONGOZI KWA MAENDELEO NA USTAWI WA JAMII Imeandikwa na:Mwl.RCT *** Utangulizi: Katika ulimwengu wa leo, maendeleo na ustawi wa jamii ni mada muhimu sana. Uongozi una jukumu kubwa katika kufanikisha malengo haya. Hata hivyo, ili kufikia maendeleo na ustawi wa jamii, ni...
  2. P

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tanzania ni yetu sote. Tuwajibike kwa pamoja kuleta Maendeleo ya kweli

    MAENDELEO YA TANZANIA: NANI AWAJIBIKE? Kuwajibika ni wajibu au jukumu la kufanya vitendo na kuchukua hatua sahihi kulingana na majukumu au nafasi ya mtu katika jamii au shughuli fulani. Kuwajibika kunamaanisha kufanya yale yanayotarajiwa kutoka kwako kwa njia inayozingatia maadili na...
  3. JamiiForums Tanzania SoC03 Elimu na Maendeleo

    Hapo zamani za kale, kulikuwa na mji mdogo uitwao Brightville. Mji huo ulikuwa na mfumo mzuri wa elimu, lakini viongozi wa mji huo walikuwa na wasiwasi kuhusu ukosefu wa utawala bora na uwajibikaji katika mfumo wa elimu. Walitaka kufanya mabadiliko fulani ili kuhakikisha kuwa mfumo wa elimu...
  4. G

    JamiiForums Tanzania SoC03 Nguvu ya Utawala Bora na Uwajibikaji

    Utawala bora ni mfumo ambao unasimamia sheria,taratibu na kanuni ambazo husimamiwa na serikali au taasisi yoyote ili kuhakikisha kuwa hakuna ukiukwaji wa haki za binadamu,uvunjifu wa sheria pamoja na maadili ya kazi ambayo yameweka ili kumwongoza kila mmoja katika utendaji wake wa kazi ili...
  5. JamiiForums Tanzania Dubai tumesaini nao mikataba ya maendeleo zaidi ya 30. Watanzania wanaopenda Maendeleo tumieni fursa alizotuletea Rais Samia

    Nawashangaa sana Tanzania chamber of Commerce na BET ambao ndiyo wanashughulikia mambo ya biashara baina ya Tanzania na nchi za nje. Nawashangaa zaidi waandishi wa habari wa Tanzania, hususan hawa free lancers waliojazana sasa hivi kwenye mtandao. Alziandika Mwandishi. Mmoja tu, msome chini...
  6. JamiiForums Tanzania SoC03 Maendeleo chanya katika sekta ya teknolojia

    Katika miaka ya mapema ya 2000, tasnia ya teknolojia ilikuwa ikiendelea lakini haikuwa na utofauti. Wafanyikazi wengi wa teknolojia walikuwa wazungu na wanaume, na wanawake na watu wa rangi hawakuwakilishwa sana katika uwanja huo. Wachache ambao waliweza kuingia katika teknolojia walikabiliwa...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Ahsante sana mzalendo aliyevujisha mkataba wa Dp World, Mungu akulinde, na akuzidishie maisha marefu kwa zawadi uliyotoa kwa mama Tanganyika.

    Wiki ya pili na tunaelekea wiki ya tatu saasa , masikio, macho na mioyo ya wana wa tanganyika yamegoma kuelewa, kupokea, au kusikia nyimbo, mapambio na kelele, maelekezo juu ya uwekezaji tata ulioambatana na mkataba tata wa DP world na mama JMT juu ya bandari za Tanganyika pekee zenye muundo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Maendeleo ni zao la mabadiliko

    Mabadiliko ndio kila kitu. Tanzania na Afrika kwa ujumla Ina matatizo yanayofanana kwenye kila nyanja elimu,uchumi,utawala,kilimo,afya sayansi na teknolojia. Elimu tunayowapa watoto wetu mashuleni na vyuoni ni lazima wapewe elimu kulingana na mustakabali wa nchi yao kwa mfano Tanzania uchumi...
  9. JamiiForums Tanzania Lema anakubali mpango wa Rais Samia kuleta wawekezaji bandarini

    Jana Lema alikuwa Serena Hoteli kwenye mjadala uliohusu uwekezaji kwenye maeneo mbalimbali ya nchi yetu ikiwemo bandari. Alikuwa pale na kina Mzee Ulimwengu, Rostam Aziz, Wasira na watu wengu wengine. Kwenye meza yake, Lema alikaa na Zito Kabwe na watu wengine mashuhuri. Lema alipochangia...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia infuata/inatumia model gani ili kuleta maendeleo ya kiuchumi nchini?

    Nchi za ulaya mangaribi zinatumia western liberal model of development Nchi za asia: south korea, Taiwan, Thailand, Singapore, na Malaysia zinatumia: developmental state model US wanatumia command and market economic model Sasa, naomba kuuliza kiungwana tu, Tanzania yetu na hasa serikali hii...
  11. JamiiForums Tanzania SoC03 Uwezo wa Afrika kwa Ukuaji na Maendeleo

    UTANGULIZI Katika dunia ya leo viongozi wengi hawawajibiki sana majukumu yao, wanachosema ni tofauti na wanachofanya, hii ndiyo sababu watu wengi wanashindwa kuwaamini. Wengi wetu tunajua kuwa haiwezekani kuweka imani yako kwa mwanasiasa lakini kwa njia fulani sio watu wote sawa...
  12. JamiiForums Tanzania SoC03 Sera Bora, Elimu na Teknolojia Muhimili wa Mabadiliko, Chachu ya Uwajibikaji na Utawala Bora

    Taifa katika kuhakikisha tunazipiga hatua na kusonga mbele kwa maendeleo ya sasa na vizazi vijavyo hatuna budi kuhakikisha tunawekeza nguvu katika sera safi na bora, elimu yenye kiwango na teknolojia. Taifa ni lazima lijikite katika kujenga misingi imara na mfumo dhabiti kuzunguka raia na...
  13. JamiiForums Tanzania SoC03 Maboresho katika mfumo wa vitambulisho kwa ufanisi zaidi na maendeleo ya taifa

    UTANGULIZI Kumekuwa na usumbufu mkubwa linapokuja suala la kupata vitambulisho vya taifa, hakuna sababu za msingi za kwanini inachukua mpaka miaka 4 mtu anakuwa anafatilia kitambulisho hiko bila mafanikio. Tatizo ni nini? Lakini pia Serikali imefanya jambo hili la watu kuwa na vitambulisho...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa onyo kwa wezi wa vifaa miradi ya maendeleo

    Rais Samia Suluhu Hassan amekemea tabia ya baadhi ya Watanzania wasio waaminifu wanaoiba vifaa katika miradi mikubwa inayoendelea kutekelezwa nchini. Ameyasema hayo jana Juni 14, 2023 mkoani Mwanza wakati akikagua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa daraja la JPM (Kigogo-Busisi)...
  15. A

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora nu chachu ya maendeleo kwa nyanja zingine

    Utangulizi Uwajibikaji waweza kuwa ni njia ambayo inaweza kuleta chachu ya mabadiliko na maendeleo katika jamii. Uwajibikaji waweza kufanywa na mtu mmoja au zaidi na pia unaweza kuhusisha kikundi Cha watu wenye mipango ya kutimiza malengo Fulani katika jamii yao. Uwajibikaji ni hali ya...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Mjema: Maendeleo yote nchini ni utekelezaji wa ilani ya CCM

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM anayesimamia Itikadi na Uenezi wa Chama hicho Ndugu Sophia Edward Mjema amesema Serikali ya Tanzania inayoongozwa na CCM imefanya makubwa sana na kwamba maendeleo yote yanayoonekana kwasasa kwenye Taifa ni utekelezaji wa Ilani ya CCM. Mjema amezungumza hayo leo...
  17. F

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ukuaji wa technolojia kama chachu ya maendeleo kwa nchi za kiafika

    Dunia inaenda kasi sana kwenye swala la maendeleo ya teknologia. tumekuwa tukishuhudia ongezeko kubwa sana la uanzilishaji na uendelezaji wa teknologia, pamoja na kuwa maendeleo haya yameshuhudiwa zaidi kwa nchi za dunia ya kwanza pia sisi bara la afrika hatujaachwa mbali maendeleo haya...
  18. J

    JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala Bora chachu ya Maendeleo yasiyokoma

    Utawala Bora ni namna ya kuwaongoza watu katika namna inayofaa,kwa kutumia rasilimali za taifa husika ili kuleta maendeleo katika taifa Hilo. Utawala Bora huchochewa zaidi pale anapokuwepo kiongozi Bora. SIFA ZA KIONGOZI BORA. 1. Mwajibikaji. Kiongozi Bora huyapa kipaumbele majukumu...
  19. JamiiForums Tanzania SoC03 Mawazo Yenye Athari Chanya: Kuchochea Maendeleo Na Mabadiliko Katika Jamii

    MAWAZO YENYE ATHARI CHANYA: KUCHOCHEA MAENDELEO NA MABADILIKO KATIKA JAMII Imeandikwa na:Mwl.RCT Picha | Kwa hisani ya 'training'.au 1. UTANGULIZI Katika jamii yetu ya leo, mawazo yana nguvu kubwa katika kuunda mabadiliko chanya. Mawazo hayo yanaweza kuchipuka kutoka kwa mtu mmoja na kusambaa...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na Afrika katika kudhibiti kuenea kwa jangwa ni wa kutekeleza Mpango wa Maendeleo Duniani

    Tarehe 17 Juni ni Siku ya 29 ya Kupambana naKuenea kwa Jangwa na Ukame Duniani. Watuwanasema kwamba China ina karata za turufutatu za kujitangaza, ya kwanza ni reli ya mwendokasi, ya pili ni ya usafiri wa anga za juu, na yatatu ni udhibiti wa majangwa. Ikiwa mojawapoya nchi ambazo zimeathiriwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…