maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. cli

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tulinde mazingira ili kuweka chachu ya maendeleo

    Maendeleo ya sayansi na teknolojia kwa sasa yamekua yakiongezeka kwa kasi siku baada ya siku. Ikiwa yote hayo yanahitaji mazingira pamoja na rasilimali zilizopo katika mazingira husika, uhusiano mkubwa uliopo baina ya maendeleo kwa ujumla na mazingira ni mkubwa sana kiasi kwamba ni lazima tuweze...
  2. tamsana

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uboreshaji wa Huduma za Posta ili Kuwezesha Biashara Mtandao (Electronic Commerce) Kuendana na Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia

    A: Utangulizi: Tanzania imefanikiwa kupata fursa ya kuwa mwenyeji wa Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (Pan African Postal Union - PAPU) jijini Arusha, ambapo hatua hii inategemewa kuchagiza maendeleo ya huduma za posta nchini na barani Afrika kwa ujumla. Katika maendeleo ya sayansi na...
  3. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo sio tu ndoto, bali ni dhamira ya dhati ya kila Mtanzania

    Ninasimama hapa leo, siyo kama mtazamaji tu, bali kama mshiriki mwenye shauku katika kuunda Tanzania tunayoitamani. Tanzania Tuitakayo sio ndoto ya mbali, bali ni dira wazi inayoongozwa na maono ya pamoja ya ustawi, amani, na fursa kwa wote. Ni safari ya miaka 5 hadi 25 ya mabadiliko makubwa...
  4. Economist Jay

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania ya Uongozi wa Vijiji ni Barabara ya Maendeleo Madhubuti

    Ni miaka mingi sana imefika Tangu taifa letu lipate uhuru toka likiitwa Tanganyika na leo ni Tanzania baada ya kuunganisha jamhuri ya watu wa Zanzibar na Jamhuri ya watu wa Tanganyika. Kumekuwa na mipango mingi sana tangu mwaka 1964 ya kuleta maendeleo kwa wananchi wa Tanzania. Kwa kiasi...
  5. Damaso

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tulitunze Ziwa Victoria kwa maendeleo endelevu

    Ziwa Victoria, ziwa kubwa zaidi la maji baridi barani Afrika na ziwa la pili kwa ukubwa duniani baada ya , linatumika kama mshipa muhimu kwa Tanzania. Eneo lake kubwa la maji hutoa manufaa mengi, yanayoathiri mazingira, uchumi, na jamii kwa ujumla. Insha hii inahoji kuwa Ziwa Viktoria si sifa ya...
  6. Kahtan Ahmed

    JamiiForums Tanzania Kelele za Serikali ya mama Samia ni nyingi kuliko maendeleo

    Imefika wakati tupigeni kelele mambo ya ajabu yatokomee 1. Vyombo vya habari vimekuwa na uhuru tu wa kusifia Serikali ya mama Samia pekee ila huwezi kukuta chombo cha habari kikihoji maendeleo ya kijamii kama kukatika katika ya umeme, uhaba wa maji, mafuta, vyakula bei juu, kuadimika kwa dolla...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Yoweri Museveni awapa makavu wadau wa maendeleo katika mkutano wa IDA mjini Nairobi

    29 April 2024 Nairobi, Kenya Mkutano huo ulioanza tarehe 29 April 2024 na kuhutubiwa na viongozi wa kiafrika wakiwemo rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania, rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda , William S. Ruto wa Kenya. Mkutano huo ulihudhuriwa na wakuu wa nchi 17 na pia maafisa wandamizi...
  8. Msanii

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kodi Zinazowezesha Maendeleo (Taxes for Progress); maoni kwa Waziri wa Fedha

    Mheshimiwa Waziri wa Fedha, Tanzania yetu ni nchi yenye amani tele na yenye fursa nyingi za uwekezaji. Tuna rasilimali nyingi muhimu, uchumi imara na uwezo wa teknolojia. Hata hivyo, kwa bahati mbaya, wawekezaji wa kigeni wanahofia kuja kuwekeza hapa nchini kutokana na kodi nyingi na ngumu...
  9. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Elimu inapaswa kuwa chanzo cha maendeleo na kuinua jamii

    Mfumo wa elimu unaweza kuwa hauna mwelekeo unaohitajika kwa mahitaji ya sasa ya kiuchumi na kijamii. Mara nyingi, kuna pengo kati ya elimu inayotolewa na mahitaji ya soko la ajira. Baadhi ya kozi na mtaala unaweza kuwa hauna mwelekeo unaohitajika kwa maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Mfumo wa...
  10. suley wa tz

    JamiiForums Tanzania Msaada wa wa maswali ya interview kada ya mkufunzi maendeleo ya jamii

    Habari wakuu nimeitwa kwenye usaili wa kuandika secretariat ya ajira wa kada mkufunzi maendeleo ya jamii, kwa yeyote mwenye kujua ABCD kuhusu kada hii na ukufunzi kwa ujumla unaweza kishare experience, mawazo na ushauri, natanguliza shukran zangu
  11. Abdull Kazi

    JamiiForums Tanzania Kuongeza Uhusiano na Kuchochea Maendeleo kupitia Mpango wa Msingi wa India-Bhutan

    Msingi wa India-Bhutan, taa ya ushirikiano kati ya nchi jirani za India na Bhutan, hivi karibuni umetangaza wito kwa mapendekezo kutoka kwa mashirika yanayotafuta msaada wa kifedha kwa miradi inayostawisha kubadilishana na kushirikiana kwa pande zote mbili. Hatua hii inawakilisha fursa muhimu...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania CCM Simiyu Yampongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwaletea miradi ya maendeleo

    CCM SIMIYU YAMPONGEZA RAIS DKT SAMIA SULUHU KUWALETEA MIRADI YA MAENDELEO. LALAGO; MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)Shemsa Mohamed amempongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Taifa kwa kupeleka fedha nyingi kwa ajili ya kutekeleza Miradi mbalimbali ya Maendeleo...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kuna viongozi wana picha nyingi mitandaoni zisizoendana na utatuzi wa kero za maendeleo; kila jambo wamejiposti

    Ukiona kiongozi anapenda kila anapokwenda vyombo vya habari vimpige picha na kuposti tambua huyo hana maono. Utendaji kazi haupomwi kwa wingi wa picha na ziara ulizofanya; utendaji kazi upimwa kwa idadi ya kero ulizotatua . Na siyo kero ulizotatua pekee bali namna ulivyotafuta ufumbuzi wa...
  14. Adam shaha

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya Teknolojia: Faida na Hasara zake katika maisha yetu

    Habari zenu wadau wa Jamii forums, Leo nimekuja na suala dogo tu kuhusiana na teknolojia faida zake na hasara katika maisha yetu ya kila siku. Teknolojia imeleta mapinduzi makubwa katika maisha yetu. Imebadilisha jinsi tunavyowasiliana, tunavyofanya kazi, na tunavyofurahia burudani. Kuna faida...
  15. President of China

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Iran na Maendeleo yake (Technology and Manufacturing)

    Kama ilivyokawaida sisi tusiotishwa na propaganda mbalimbali huwa tunafanya utafiti kwanza kabla ya kuanza kupiga kelele. Leo nitaanza kuielezea Iran kuhusu Historia yake, Maendeleo yake na hali ya sasa ya kiuchumi. HISTORIA Iran(Uajemi au Persia) tunayoiona hivi leo imeanza kujengwa miaka...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ripoti kuu ya Mwaka ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo ya Mwaka wa Fedha 2022/23

    Taarifa ya Jumla ya Mwaka kuhusu ukaguzi wa miradi ya maendeleo imetolewa kwa mwaka wa fedha 2022/23 kwa mujibu wa Ibara ya 143(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, na Kifungu cha 34 cha Sheria ya Ukaguzi wa Umma, sura ya 418. Taarifa hii inawasilisha matokeo ya...
  17. JOVITUS KAMUGISHA

    JamiiForums Tanzania Maendeleo katika Jamii: Kutoka Mtu Binafsi Hadi Jamii Nzima

    Mwezi uliopita, nilichapisha makala kuhusu Kupanga ni Kuchagua na Kuchagua ni Kupanga. Nashukuru sana kwa wasomaji wangu ambao wamekuwa chachu ya kuandika machapisho haya na mengine mengi. Ningependa kuzungumzia ukuaji katika maendeleo ya jamii. Moja ya changamoto kubwa tunayokabiliana nayo ni...
  18. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Kiongozi kujenga tabaka lako dhidi ya wale unaowaongoza ni hatari kwa maendeleo ya taifa

    Unapokuwa kiongozi na ukashindwa kujishusha mpaka chini kwa wale unaowaongoza, kwa kisingizio kwamba wapo viongozi husika katika kila eneo, maana yake unatengeneza picha na unatuma ujumbe kwa wale walioko chini yako kwamba nao wanao watu chini yao hivyo hawapaswi kuwajibika! Mfano kiongozi wa...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu alishinda betting milioni 7 na laki 4 mwezi wa kwanza, kwa sasa anatia huruma, hii michezo ina maendeleo kweli?

    Nilitegemea pesa hizo zitamsaidia kwamba mwaka umeanza vizuri kwake walau afanye cha maana afungue hata biashara lakini nimekuja kumfatilia naona hakuna la maana alilofanya, Kwa machache nayoyajua: alinunua simu ya laki 9 kaiuza kwa hasara kubwa mno alinunua Tv kubwa nzuri, kama kainunua...
  20. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Managing Director at Maendeleo Bank PLC March, 2024

    Position: Managing Director DUTIES AND RESPONSIBILITIES Financial Performance: Ensuring the bank’s financial stability and growth, including profitability, asset quality and capital adequacy. Strategic Leadership: Setting and implementing the bank’s strategic goals and objectives, and...
Back
Top Bottom