maembe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    Huu wimbo wa Vitali Maembe una ujumbe mkali sana

    Vitali Maembe, msanii kutoka Bagamoyo kwenye huu wimbo anasema ukiona watu wameweka majamvi, ujue wameshafiwa. Na aliyekufa hakufa kwa ugonjwa bali aliuawa. Anauliza iko wapi Tanzania tuliyokuwa tunajivunia?
  2. Analogia Malenga

    Sikiliza barua ya Vitali Maembe na Siasa za Tanzania

  3. Analogia Malenga

    GE2025 Vitali Maembe aachana na siasa

    TAARIFA YA KUJIUZULU KUTOKA SIASA ZA VYAMA Tarehe 20 Julai 2025, nilimuandikia barua Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo, Ndugu Ado Shaibu, nikieleza rasmi uamuzi wangu wa kujiuzulu siasa za vyama, nafasi yangu ya Uenyekiti wa Jimbo, na uanachama wangu wa chama. Katika barua hiyo nilitoa pia sababu...
  4. Busu la Kenge

    Nchi 10 zinazoongoza uzalishaji wa maembe duniani

    Embe ni tunda la pili kwa umaarufu baada ya ndizi. Chimbuko la embe inasemekana ni south east Asia na India miaka 5000 iliyopita pembezoni mwa milima ya Himalaya India na Myanmar. Hizi ni Chini 10 duniani zinazoongoza katika uzalishaji wa maembe. 1. India 2. China 3. Thailand 4. Indonesia 5...
  5. 3

    Nina miti 10 ya maembe naikata kama kuni ambaye yupo interested karibu

    Habari. Shambani kwangu nina miti ya maembe 10 ambayo haizai Tena nimeamua kuikata. Kwa ambaye anafanya biashara ya kuuza kuni kwa wingi anakaribishwa kuja kununua miti hii. Iko miti 10 kila mti nauza sh 20,000. Ukija utakatiwa kwa kila mti sh 5000 kama tu posho ya mkataji wangu. Ukishakata...
  6. kipeta singo

    Msimu wa maembe umefika, soko nalipataje?

    Kwa wakulima wenzangu msimu wa maembe umewadia changamoto kwa sasa ni soko linapatikanaje. Kwa yoyote mwenye kujua soko la uhakika tafadhari naomba tujulishane au kama unahitaji embe kwa bei ya jumla utazifata shambani Kibaha. Nitafute kwa wasap 0746590147 tufanye biashara
  7. CHIEF MGALULA

    Kilimo cha maembe ya kisasa

    Katika hekaheka za kujiandaa kustaafu miaka 7 baadae nimeamua nipande miche kama 500 yaani ekari 10 za maembe kisasa. Shamba lipo Tabora kwa sasa naendelea kuchimba mashimo. Nitapanda bila mbolea ya samadi ila taweka NPK baada ya miezi 3 ikiwa imeshika. Mpango wangu miche 450 ipone ili...
  8. Ghost MVP

    Namna Juice ya Embe inavyotengenezwa bila Maembe yenyewe, Tunakunywa Chemical nyingi Mnoo

    Kuna mtu nilishawahi kumuuliza Hivi Kutengeneza Juice ya Ukwaju na Ikawa Nzito kama ya Mzee wetu, inahitaji utengeneze na Ukwaju kiasi gani?. na je ushawahi kuona au kusikia wamenunu maembe au ukwaju sehemu ukaingizwa kiwandani.. Hii Video inaonesha ni kiasi gani tunatumia Chemical nyingi sana...
  9. Sigonella Island

    Apache za Marekani zinashushwa kama maembe huko Syria

    ‼️BREAKING: 🇺🇸🇸🇾 An American Boeing H-64 Apache helicopter has reportedly crashed in Syria. Making it the 3rd loss in 72hrs. 8 have now crashed this year. Looks like the US has lost more choppers during training and scouting missions than Russia has done in Ukraine this year...
  10. Chizi Maarifa

    Azam ni Mwembe wetu wa Uani, tunajichumia tu maembe muda wowote

    Hawa jamaa tunawagonga. Miaka kadhaa mfululizo wamekuwa mdebwedo sana kwetu. Tunawajua na wanatujua. TUNAJUANA. hawana sababu ya kutunyima ubingwa. Niaminini mimi. Watawachezea hao hao mikia. Ila sisi kwa sisi Azam watapokea kichapo tu. Tunajua tulifanyalo. Wakifanikiwa hata draw leo nipigwe...
  11. Top007

    Nauza maembe Jumla

    Niko Kibamba CCM . Bei 300 Tsh kwa embe moja . Aina dodo na apple Piga: 0678650509
  12. D

    Biashara ya maunda ( maembe)

    Salaam alaikum wajumbe. Jamani nilikuwa na wazo la kuanzisha kilimo Cha matunda hasa miembe ya kisasa na sababu zilizopelekea ni pamoja na kwambaa baada ya miti hii kukua ni rahisi sana kuiangalia sababu haihitaji uangalizi mkubwa hasa ikianza kustawi na kuzaa. Sababu nyinginezo ni kwambaa...
  13. A

    Nina mzigo wa kutosha wa maembe, nauza kwa jumla

    Nina mzigo wa kutosha wa maembe nauza jumla. Nina aina ya maembe ya dodo, bolibo na maembe ya apple.
  14. lwambof07

    Kilindi, Tanga: Ushuru Fuso laki tatu, baadhi ya wafanyabiashara wagoma kununua maembe

    Baadhi ya wafanyabiashara wa maembe wamegoma kununua maembe ya wakulima wa Kwediboma wilayani Kilindi mkoani Tanga wakidai kuwa ushuru shilingi 300,000/= wanaotozwa na halmashauri ya wilaya hiyo kwa gari moja aina ya Fuso ni mkubwa.
  15. B

    Nape, unatoa wapi muda wakusherekea chama kurudi kwa wenye chama huku Jimbo lako wananchi wanashindia maembe?

    Ukiangalia akaunti ya Nape tweeter utadhani amemaliza matatizo ya wapiga kura. Tangu apite bila kupingwa ajawahi kuposti Jambo lolote kuhusu wananchi wa Jimbo lake na majimbo yanayomzuka. Yupo busy anatafuta uteuzi akalipize kisasi. Lindi na Mtwara Kuna gesi lakini haina mchango Kwa sababu...
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    Huu hapa wimbo KAIZARI, uliomtia gerezani mwanasiasa Vitalis Maembe

    https://www.tanzaniaweb.com/TanzaniaHomePage/NewsArchive/Msanii-Vitali-Maembe-Adaiwa-Kukamatwa-na-Polisi-567823
  17. Analogia Malenga

    Vitalis Maembe aachiwa kwa dhamana

    Msanii Vitalis Maembe aliyekamatwa na Polisi Novemba 2 kwa tuhuma za kuimba nyimbo zenye kuwakashifu viongozi amechiwa kwa dhamana Maembe alitakiwa kuripoti kituo cha polisi Dunda mjini Bagamoyo ambapo baadae alihamishiwa Kibaha ambako ndiko alikoachiwa leo
  18. Idugunde

    Zitto Kabwe: Vitalis Maembe aachiwe mara moja, anaonewa.

    Nawataka Jeshi la Polisi Tanzania @tanpol kumwachia Huru mara moja ndugu Vitalis Maembe. Polisi Mkoa wa Pwani wamefanya la hovyo sana kumkamata Vitalis kutokana na kazi yake ya kisanii ya wimbo wa Kaisari. Haivumiliki na tunataka Vitalis aachiwe Huru SASA HIVI https://t.co/QKqRbVOrqm
  19. Analogia Malenga

    Msanii Vitalis Maembe anadaiwa kukamatwa kwa tuhuma za “kuimba nyimbo za kuitukana Serikali”

    Msanii Vitali Maembe amekamatwa Leo tar 02 November 2021 mjini Bagamoyo. Taarifa za mwanzo zinasema yeye ni msanii mwenye nyimbo zinazoitukana serikali. Taarifa za mwanzo zinasema yeye ni msanii mwenye nyimbo zinazoitukana serikali. Tuendelee kuomba Msanii wa Umma aachiwe huru ili kuelimisha...
  20. D

    Ukiona Mwembe umejaa Maembe yaliyoiva kwenye Nyumba yenye Watoto watukutu basi kuna mawili

    Ukiona Mwembe umejaa Maembe yaliyoiva na kuning'inia kiasi cha kuvutia kwenye nyumba ya watoto watukutuku au shule basi tambua kuna haya mawili; 1. Huenda Mzee mwenye mwembe ni mkali sana au Mchawi 2. Maembe ni machungu balaa yasiyolika hata kwa chumvi! Kwa mfano ule ule utumie pia unapoona...
Back
Top Bottom