maduka

John Maduka (born 27 September 1970 in Thyolo) is a retired Malawian footballer. He used to play for Bloemfontein Celtic until his retirement in 2009

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Chalamila awasili Kariakoo awaambia Wafanyabiashara “Fungueni maduka, Biashara sio Siasa”

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amefika soko la Kariakoo kutokana na Biashara kufungwa kuanzia leo Juni 24, 2024 na kuongea na wafanyabiashara. Chalamila amesema wafanyabiashara wako wa aina kadhaa ikiwemo walioshiba, kati na wachanga na iwapo wataigana kuna watakaojuta leo...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mgomo mkali katika maduka yaliyopo stendi ndogo Arusha uliofanyika siku ya Ijumaa na Jumamosi ulileta maumivu na hasara kubwa

    Mnamo siku ya tarehe 21 na tarehe 22 mwezi huu, yaani ijumaa na jumamosi, jiji la Arusha lilitikiswa na mgomo mkubwa uliofanyika katika eneo la stendi ndogo, mgomo ambao ulisababisha maduka yote karibia 400 kufungwa. Mgomo huu ulituathiri sana sisi wafanyabiashara halisi ambao tunafanya...
  3. JamiiForums Tanzania MGOMO: Wafanyabiashara Kariakoo kufunga biashara zao kuanzia 24/6/2024 mpaka changamoto zao zitakapotatuliwa'

    Wafanyabiashara wote wa viunga vya Kariakoo mnatakiwa kufunga biashara zenu zote ikiwemo maduka yenu, ofisi zetu na chochote unachokifanya kuanzia Jumatatu ya Juni 24, 2024 bila ukomo hadi pale changamoto zetu zote za kibiashara zitakapoweza kutatuliwa. Mikoa ya Mbeya, Iringa, Mwanza, Arusha...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri ninunue flash gani nzuri kwenye maduka kati ya kioxera, toshoba, sandisk, n.k. ntajuaje ni feki?

    Habari zenu wakuu, nina uhitaji wa flash disk. Wala sina mpango wa kuagiza nje ni emergency hivyo itabidi ninunue madukani, nipo mkoani brand zinazotamba ni Kioxera, Toshiba, Imation, Sandisk, n.k. ama unaweza kuongeza zako unazoziaona madukani
  5. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara mnatoa bidhaa nje ya maduka hadi barabarani na kuziba njia, mnakera mno

    Nimekuwa nikiona wafanyabiashara mkitoa bidhaa na kuziba barabara mnakera mno . Mmeanza tabia za machinga . Ukifika Mwanza Mitaa ya Liberty barabara zimejaa vyombo madiaba, magoro, nguo Midori, n.k Unapanga bidhaa dukani unaona hazitoshi mnakuja kupanga njee barabarani na kuziba njia/ barabara...
  6. JamiiForums Tanzania Yule ni robot au ni ile midoli inakaa nje ya maduka ya nguo.

    Mtu unachukua mdoli anawekwa nje ya maduka ya nguo unamvalisha kilemba na kitenge unakuja kutuambia ni robot, robot anatoa mkono utasema excavator ama grader ya kubebea mchanga. Hivi mtu kweli unaandaa hafla ya kiserikali kabisa watu wakashangae mdoli. Hivi mnashindana na Elon Musk ama? Kwenye...
  7. JamiiForums Tanzania Utitiri wa Maduka kuuzwa nini chanzo

    Habari wadau Kipindi hiki kumekuwa na tendency ya watu wengi kuuza maduka yao, Kila nnapotembelea Market place facebook kila baada ya post moja unakuta duka linauzwa. Maduka mengi yanayouzwa ni ya dawa, nguo, chakula nk. Je nini chanzo cha maduka mengi kuuzwa kipindi hiki?
  8. JamiiForums Tanzania Naomba kujua hii dawa ina matumizi gani na inapatikana maduka ya madawa Tanzania kwa bei gani?

  9. JamiiForums Tanzania Simu za maduka ya tigo na utapeli wa ofa za mb

    Mwezi huu wa tatu nilienda kumnunulia mdogo wangu simu kwenye duka la tigo nilishawishika kununua simu Ile sababu ya ofa ya kupewa gb kadhaa kwa mwaka lengo langu zile GB zimsaidie kuongeza maarifa kwenye masomo yake ishu ikaanza pale pale kupewa gb pungufu nikauliza kwanini ila nikaambiwa kila...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Ni kwa namna gani teknolojia imeathiri biashara ya maduka ya viandikia (Stationery)

    Muda mrefu duniani imekuwa ikipita mabadiliko makubwa ya teknolojia kutoka mapinduzi ya mwanzo ya viwanda mpaka sasa kuelekea mapinduzi mapya ya viwanda ambayo yanaelekea kuja na taswira mpya na aina mpya ya uwekezaji hususani kwa sasa teknolojia inayozungumzwa ni teknolojia ya akili bandia (...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali yataja sababu za kufuta leseni maduka ya fedha

    Serikali imesema kuwa ilibatilisha leseni za maduka ya kubadilisha fedha za kigeni yaliyokutwa na makosa mbalimbali yakiwemo ya kujihusisha na uhamishaji wa fedha nje ya nchi bila kuwa na leseni wala kibali cha Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na Naibu Waziri...
  12. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa wenye maduka ya spare za pikipiki nchini

    Huu ni uzi wa wenye maduka ya spare za pikipiki jumla na rejareja,tupeane connections,uzoefu,changamoto Na faida ya biashara hii. karibuni kwa mdaharo
  13. JamiiForums Tanzania Maduka ya kubadilisha fedha Jijini Arusha yachunguzwe

    Baada ya mwendazake kwenda zake na mambo yake ya ovyo ovyo, maduka ya kubadilisha fedha za kigeni (Forex Bureau) yalirejea lakini katika namna ambayo si ya kibiashara. Ukienda kununua USD kila siku utaambiwa hakuna na siku wakiamua kukuuzia wanakuuzia USD 100 only. Haya maduka yapo kwaajili ya...
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta connection ya maduka ya jumla ya liberty jijini Mwanza

    Wakuu, naomba kwa mwenye connection ya wamiliki au wafanyakazi katika maduka ya Jumla ya Mtaa wa Liberty au popote jijini Mwanza anisaidie. Lengo kuu nataka kufanya nao mawasiliano wanipe mwongozo wa Kuwa naagiza bidhaa za dukani kutoka mwanza kuja Kisiwani Ukerewe. Natanguliza shukrani wakuu
  15. P

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa online wenzangu mnaelewa jinsi ilivyo kazi kumpata mteja 😭

    Hii ya leo imeniuma Sana hadi nimelia..... Kuna watu wanaroho mbaya Sana. Wafaanya biashara wa online wenzangu mnaelewa jinsi ilivyo kazi kumpata mteja 😭😭 Bas mwenzenu Mimi nafanya biashara online, Sina bidhaa Ila nikipta mteja baada ya kupost ndo nikamchukulie. Sasa pale kariakoo nimewazoea...
  16. JamiiForums Tanzania Maduka ya rejareja ya Wahindi Posta ni hovyo sana

    Jana nimekutana na tukio la kushangaza sana kwenye duka la rejareja la Mhindi maeneo ya Posta mpya mtaa wa Zanaki. Ni hivi nilikuwa nilitokea kwenye jengo la Haidery Plaza baada ya kushuka chini nikawa naelekea maeneo ya Chuo cha Biashara (CBE). Nikawa napita ule mtaa wa Zanaki maeneo yale...
  17. JamiiForums Tanzania SOFTWARE FedhaBook: Tunza kumbukumbu zako za mapato na matumizi bila malipo ya kila mwezi wala mwaka

    .
  18. JamiiForums Tanzania Ummy: Msimamo wangu TMDA wasimamie Maduka ya Dawa, Baraza la Famasia libaki kwenye taaluma

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema “Msimamo wangu tubadilishe Sheria ili Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzania (TMDA) ndio isimamie maduka ya Dawa kisha Baraza la Famasi libaki kusimamia taaluma, TMDA ina nguvu na inaweza kufanya kazi." mesema hayo Novemba 17, 2023 katika Kongamano la Tatu...
  19. JamiiForums Tanzania Ofisi ya Mfamasia Mkuu inawanyanyasa sana wamiliki wa Maduka ya Dawa Nchini

    Ndugu zangu kuna hili janga linalowakumba wamiliki wa Maduka ya Dawa Nchini, kuna ukiritimba na unyanyasaji wa hali ya juu kwa Wafanyabiashara za Dawa! Hawa watu wanafanya biashara kama wakimbizi, ukaguzi kila siku kwa nia ya kujipatia rushwa! Madawa yote hata yale ya kawaida ambayo tulizoea...
  20. JamiiForums Tanzania Mamlaka husika mnatambua jinsi wafanyabiashara maduka ya rejareja wanavyoibiwa sukari, ngano na sembe katika maduka ya jumla wilayani Bunda?

    Wanajamvi wakati tunaendelea kumuona Makonda akiendelea kuuwasha moto na kuendelea kuwa man of the match kuna kitu nimekibaini....! Maduka mengi ya jumla(wholesale) hapa wilaya ya Bunda yananyonya sana wafanyabiashara wadogo wadogo(wa rejareja),ila mbinu wanayotumia ni kali sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…