SHIRIKA la Masoko Kariakoo mkoani Dar es Salaam limetangaza msamaha wa kodi wa miezi miwili kwa wafanyabiashara waliounguliwa na maduka.
Meneja Mkuu wa shirika hilo, Ashiraf Abdulkarim ametangaza msamaha huo wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa mwaka 2025 Dar es Salaam.
CHANZO...
Nasimamia akaunti za mitandao ya kijamii za makampuni, maduka na biashara kwa ujumla, Nina ujuzi wa IT (Information Technology) kama website hosting, development na management, graphics design, video editing, na ujuzi mwingine wa IT. Gharama ya usimamizi wa akaunti nafanya laki 200,000 Tsh kwa...
Watu wanaosadikiwa kuwa ni wezi wameiba mali na fedha kwenye maduka matatu tofauti katika eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar es Salaam.
Soma pia: Kimewaka wananchi Tegeta A wamvamia mwenyekiti kisa ubovu wa barabara, wasema wamechoka
Wezi hao walifumua bati la juu na kufanikiwa kutoboa...
Nauza vifungashio au mifuko laini Ile ya kuingia kilo moja Hadi kilo mbili ni mizuri mipana na haivuji wala kuachia chini pindi unapobeba bidhaa...njoo nikuuzie kwa mia9 kila pisi wewe uuze 1300 adi 1500 kwa kila pisi... napatikana mbagala chamazi karibu boss
Wakati wateja wengi zaidi wako sokoni siku ya Jumamosi, maduka ya wasabato yamefungwa. Wateja wanaenda kutafuta bidhaa na huduma, wao wameenda kupumzika, Wateja hutafuta maduka mengine, wateja wao wengine huamia maduka mengine.
Kuwafungia duka wateja Jumamosi ni kama kusema “hatuwahitaji”,
Na...
Habari wadau hivi anamiliki wa maduka mitaani sio kariakoo tuseme Tabata au kimara hivi mnaomiliki maduka ya fashions nguo,viatu na mikoba mnategemea wapita njia tu au kuna mbinu zingine mnatumia kupata wateja
Ndugu Wajumbe,
Miezi kadhaa nyuma nilileta Nyuzi fulani juu la Kiu yangu ya kukamilisha jambo hili ambalo kwa asilimia 90 limekamilika, na leo ninaleta habari njema na fursa ya kipekee kwenu nyote mnaohusika na sekta ya magari nchini!
Tunayo furaha kubwa kuwatambulisha rasmi App ya Auto...
Mambo vp wakuu
Km una duka lako na unahitaji kutengenezewa henga shelf's za kutundikia nguo na kuweke mikoba na bidhaa zingne. Pia reception table za kuvutia kabisa za madukani na za maofisini..
Tupe oda boss tupengezeshe duka lako na ofisi yako
Tupo dar mbagala
0692477610
Mambo vp wakuu
Km una duka lako na unahitaji kutengenezewa henga shelf's za kutundikia nguo na kuweke mikoba na bidhaa zingne. Pia reception table za kuvutia kabisa za madukani na za maofisini..
Tupe oda boss tupengezeshe duka lako na ofisi yako
Tupo dar mbagala
0692477610
JENGO LA BIASHARA LINAUZWA KARIAKOO MTAA WA AGREY.
Kuna Maduka 60 na Stores
Nyumba ina Msingi wa Ghorofa kumi
Bei 8bill tsh
Contact us and Schedule a visit!!!
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
JENGO LA BIASHARA LINAUZWA KARIAKOO MTAA WA AGREY.
Kuna Maduka 60 na Stores
Nyumba ina Msingi wa Ghorofa kumi
Bei 8bill tsh
Contact us and Schedule a visit!!!
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
Habarini wakuu.Wanahitajika vijana kwa ajili ya kuunganisha maduka na huduma ya YAS RUSHA
Malipo ni kwa Kamisheni
Location ni Dar es Salaaam
Tuma meseji /piga namba 0718134925 kupata maelekezo zaidi
#mixxbyyass
Salam wakuu!
Twende kwenye mada husika, tupe mkasa wowote, ulioupata Kwa kumwamini mteja,dukani kwako,iwe kutapeliwa,kutokulipwa, au kufikisika!
Karibuni!
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amepiga marufuku tabia ya waganga katika hospitali za serikali kuwaandikia wagonjwa dawa na kuwaelekeza kununua dawa hizo katika maduka ya dawa ya watu binafsi wakati Serikali imetoa dawa za kutosha kwenye zahati,vituo vya afya na hospitali za Wilaya.
Ametoa marufuku...
#Mwanakidigitali utajisikiaje umetoa pesa yako kununua simu kisha ukauziwa simu yenye matatizo kibao.
Moja kati ya hofu ya Wateja wengi kutoka Tanzania wanapotaka kununua simu / Laptop used kutoka Dubai ni kuuziwa bidhaa zenye shida kedekede na pia bidhaa feki.
Nimekuwa kwenye soko la...
dubai
kabla
kariakoo
kukagua
kununua
kutoka
maduka
mambomuhimuyakuzinagatiakwenyesimu
matatizoyasimuusedkutokadubai
simu
simu used
simuzauborakariakoo
usa
used
wauzalaptopborakariakoo
wauzasimuborakariakoo
Wenye akili ambao hawazitumii akili zao km watu wengine walivyotarajiwa.
Wanaitwa Washamba.
Wanadharauliwa.
Wanaonekana hawafai kwenye jamii wanayoishi.
Hawasikilizwi hata kwenye kikao cha familia. Wakitaka kuchangia popote kwenye kikao wanaambiwa subiri amalize yule pale kichwa panzi mmoja wewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.