Abū al-Ḥasan ʻAlī ibn ʻAbdillāh ibn Jaʻfar al-Madīnī (778 CE/161 AH – 849/234) (Arabic: أبو الحسن علي بن عبد الله بن جعفر المديني) was a ninth-century Sunni Islamic scholar who was influential in the science of hadith. Alongside Ahmad ibn Hanbal, Ibn Abi Shaybah and Yahya ibn Ma'in, Ibn al-Madini has been considered by many Muslim specialists in hadith to be one of the four most significant authors in the field.
Prof. Idris Suleiman Kikula, mwenyekiti wa Tume ya Madini amekiri kuwa Mtandao tajwa hapo juu umezima kama sio kushindwa kufanya kazi kwa kipindi cha miezi minne sasa.
Kukosekana kwa huduma hiyo muhimu kumeikosesha serikali hasara ya bilioni 7 kwa mwezi jambo ambalo sio la kuvumiliwa.
Waziri...
Ndugu zangu habarini naomba msaada Kwa ambao mshafanya kazi migodini Kuna kufaa kinatumika kuchimbia sehem ambayo ni ngum kinaitwa (Bamubamu) je ukiwa mlikii wa kufaa hiki faida zake ni nini na hasara zake ni zip ?? Msaada tafadhari hiki hapo chini ndio hicho kifaa nimejaribu kukidownlos
Penye mali lazima kuwe nyoka. Hii haijadiliwi sana kwenye imani tulizopo nazo ila sehemu za upande wa nguvu za giza nyoka ni ishara ya utajiri na mali n.k.
Kwenye pesa ishara nembo nyoka yupo,kwenye kila jambo lenye mafanikio nyoka utumika. Si wageni kusikia story au mengineyo sehemu yenye mali...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpokea Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, Ikulu Dar es salaam leo Machi 30, 2023
Rais Samia ameishukuru Serikali ya Marekani kupitia misaada na uwezekaji wa aina mbalimbali unaofanyika nchini.
Serikali ya Tanzania...
Mabadiliko ya sheria za uchimbaji madini ya mwaka 2017 imechangia kuingiza Trilioni 7.2 kwa miaka 6 kwenye mfuko mkuu wa serikali ambazo zisingepatikana kama hakungekua na mabadiliko ya sheria hiyo.
Hii ni sawa na wastani wa Trilioni 1.2 kwa mwaka inatotokana na mabadiliko ya hiyo sheria kwenye...
Kwa masikitiko makubwa Tume ya madini imeshindwa kupokea malipobau kutoa namba ya kulipia malipo ya aina yeyote sasa ni miezi 2.
Waziri Doto Biteko jiongeze hali sio nzuri na serikali inahitaji kodi
Wakati maombi yake ya leseni ya kutoa huduma za intaneti kupitia kampuni yake ya Starlink yakiwa yamewekewa kigingi na masharti ya serikali, Bilionea Mmarekani Elon Musk amepenya kwenye soko la Tanzania ambapo atanunua malighafi ya kutengenezea betri za magari ya umeme.
Taarifa iliyotolewa kwa...
Hivi Africa kweli tulipatiwa uhuru au ilikuwa ni hadaa? Angalia congo watu wake wanavyouawa kisa nchi za magharibi zinataka kuchota Mali kwa kupitia kwa kagame na mseveni thru M23. Hawa M23 wanapew asilaha na ufaranasa na marekani kwa kupitia Rwanda kw akagame. Kwa nini nchi za Africa tusiungane...
Katika uchenjuaji wa makinikia yenye dhahabu wawekezaji wengi hulia kwa kuwekeza fedha nyingi na kupata faida kidogo au hasara.
changamoto hii hutokana na uzembe wa mtalaam mwenye dhamana ya kuchenjua makinikia hayo yenye dhahabu kwani wengi huangalia maslai yao binafsi ilihali wanajua...
Katika uchenjuaji wa dhahabu wawekezaji wengi hulia kwa kuwekeza fedha nyingi nakupata faida kidogo au hasara.
Changamoto hii hutokana na uzembe wa mkemia aliekabidhiwa kwani wengi wao hufanya kazi kwakuangalia masilahi yao binafsi na sio bosi hivyo wengi hukosa kutoa ushauri mzuri kwa bosi na...
Aisee Lissu hana jipya; ni matatizo yake binafsi na jamii inayafahamu sana maana taarifa za yeye kushambuliwa na kukimbilia Ulaya sio jambo gani masikioni mwa watanzania kama ni pole tulimpa sana sasa maisha lazima yaendelee tu ,kwa waliosomea mambo ya habari watakubaliana na mimi kuwa kama...
Ni asubuhi tulivu siku ya Jumamosi tarehe 21 Januari hapa Jijini Mwanza.
Macho na masikio ya Watanzania yanaelekezwa hapa Jijini Mwanza kutakakofanyika shughuli kubwa ya kisiasa ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo.
Chadema Leo inazindua Rasmi mikutano ya kisiasa baada ya kuzuiwa kwa miaka...
Iwapo mwanamke anaonyesha dalili za kukutongoza ambazo umependezwa nazo, haitakua jambo zuri kwako kama utapuuza swala hili kwa kufanya matendo yasiyotakikana.
Baadhi ya wanaume wengine wanaweza kudai kuwa wanawake ambao wanatongoza waume hawafai kukubalika kwani si kawaida.
Well, jibu ni kuwa...
Nikitizama huku naona mashoga wanaongezeka.... Nikigeuka kule wasio na nguvu za kiume nao wanaongezeka.... Naamka napiga pushups..
Nikicheck tena kwa mbali kule wacheza pool au wazee wakujichukulia sheria mkononi wanaongezeka....natabasamu..
Yaani unakuta kakijana kanalamba lamba lips tu kama...
Kesi ya mauaji inayowakabili maofisa saba wa polisi mkoani Mtwara imepangiwa tarehe nyingine ya kusikilizwa kutokana na upelelezi kutokamilika.
Watuhumiwa hao jana walifikishwa kwa mara nyingine mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Mtwara na kupangiwa kusikilizwa tena Januari 11, mwaka huu...
Wizara ya Madini na Maendeleo imesema mauzo yote ya Madini ya Lithiam nje ya Nchi yamesitishwa baada ya Uchunguzi kuonesha kuna upotevu wa Tsh. Trilioni 4.2 kila mwaka kutokana na kuuzwa kama Madini Ghafi badala ya kutengeneza Betri halisi.
Lithium inayofahamika kama Dhahabu Nyeupe hutumika...
Maonyesho ya Sanaa ya madini ya fuwele (crystal) ya Njia ya Hariri yamefanyika mjini Zhuhai, mkoani Guangdong, nchini China. Maonyesho hayo yamekusanya zaidi ya vito 30 vya fuwele kutoka maeneo maarufu ya uzalishaji wa madini hayo duniani kote.
Inawezekana kabisa Baraza la Kitaifa la Usimamizi wa Mazingira (Nemc) lina sababu za msingi sana za kuipiga faini ya Tsh. Bilioni 1 (kama dola 434,782.6 kampuni ya Williamson Diamond Limited (WDL), lakini wanamazingira wameonesha wasiwasi kuhusu uamuzi huo.
Clay Mwaifwani, mratibu wa mradi...
Kwa wale wanaohitaji kufaham kinagaibaga biashara ya madini kitabu hiki kitakupa mwanga wa wa kujua yafuatayo
1.Aina za madini na mahali yanapopatikana nchini Tanzania
2.Bei ya madini sokoni na yanauzwaji
3.Jua namna ya kupata leseni za uchimbaji wa madini , ununuaji wa madini na usafirishaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.