Triple G JF-Expert Member Joined Aug 12, 2011 Posts 3,109 Reaction score 4,604 Jun 11, 2023 #1 Hello wadau! Nilihitaji kujua soko la kuuzia madini mbali mbali ruby, dhahabu e.t.c, Soko lipi Linafaa la Dar es Salaam au lile la Dodoma? Kwanini Dodoma na sio DSM? Kama kuna sababu mbili tatu. NB; Sina madini yoyote ni kutaka kujua tu
Hello wadau! Nilihitaji kujua soko la kuuzia madini mbali mbali ruby, dhahabu e.t.c, Soko lipi Linafaa la Dar es Salaam au lile la Dodoma? Kwanini Dodoma na sio DSM? Kama kuna sababu mbili tatu. NB; Sina madini yoyote ni kutaka kujua tu