madereva wa siku hizi wamekua wakuda sana yani hadi kero.
Ngoja kwanza tutambue ukuda ni upi.
1. Upo barabara kuu hamna matuta wala kizuizi chochote lakini wewe unaamua kuendesha 30 kmph (sio kosa), nyuma yako kuna gari linataka kuovertake lakini haliwezi sababu upande wa pili upo busy, pale...