Waganda wanawafinya madereva wa kikenya kisawasawa

Hao wakenya wanajulikana kwa ukaragosi wao tangu wapate "uhuru". Itawachukua miaka mingi sana kujitambua na kujiamini, ingawa wao wanajiona wajanja lakini bure kabisa.
 
Sasa wewe MwanaLumumba unalilialia nini.First mind ua own sad poor life
Hapana, hatuwezi kutulia wakati kuna baadhi ya Jirani anazibuliwa chemba na Jirani mwenzetu, hii ni kinyume kabisa na mkataba wa EAC, hasa kwasababu wanaozibuana ni wanachama waanzilishi wa EAC, wangezibuliwa wanyarwanda au warundi, kidogo isingekua tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom