Mheshimiwa Rais,mgomo wa Madereva Wenda ukarudi Tena sura mpya
Hali inayoendelea kwenye sekta ya usafirishaji nchini, hususan sekta ya mabasi ya abiria, inatuma picha mbaya na kuleta kero kubwa kwa wananchi wa kawaida. Ni dhahiri kuwa kuna baadhi ya wamiliki wa mabasi (matajiri) wanaojiona wako...
Siku mbili zimekatika tangu nchi itikisike kwa sababu ya mgomo wa madereva wa mabasi katika mikoa mbalimbali nchini wakipinga kukatwa alama kwenye leseni zao wanapofanya makosa ya barabarani, sasa siri ya uwepo wa mgomo huo imebainika.
Kwa mujibu wa dereva mmoja wa kampuni moja ya mabasi...
Kama madereva wana uwezo wa kutumia teknolojia ya kidigitali kuhamasishana kugoma nchi nzima kwanini nyinyi LATRA mnashindwa kutumia teknolojia hiyohiyo kuwadhibiti madereva wasifanye makosa barabarani yanaosababisha ajali?. Badala yake bado mnatunga sheria zitakazofanyakazi manually kuwapa...
Wakazi wa Kigamboni wanatarajiwa kupunguza gharama za uondoshaji wa majitaka baada ya DAWASA kukamilisha ujenzi wa mitambo miwili midogo ya kuchakata majitaka katika Kata za Vijibweni na Gezaulole zenye wakazi zaidi ya 410,400
Mitambo hiyo yenye thamani ya Sh2.3 bilioni imejengwa kwa ajili ya...
Mmoja anakwenda pale kukagua shughuli za usafirishaji wa abiria na mwingine anakwenda kufuatilia mgomo wa madereva. Je, wananchi na wafanyabiashara washike lipi?
Madereva wa mabasi na malori ngoma bado mbichi; wanaweza wakawa wamemaliza suala la kukatwa point za leseni lakini suala la ku-renew leseni ya Cass C bado.
Dereva huwezi ukawa una uzoefu wa kuendesha gari miaka 30 leo unaambiwa ukasomee. Sheria hii ilipaswa kutumika kwa maderava wapya...
Mwigulu Nchemba amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa madereva wa mabasi na malori nchini.
Viongozi hao wamekubali kusitisha mgomo uliodumu kwa siku mbili, ili huduma za usafiri ziendelee kama kawaida. Hata hivyo, serikali imeahidi kuzifanyia kazi changamoto zinazowakabili madereva...
Mwigulu Nchemba kukagua hali ya usafirishaji wa abiria na kuzungumza na wananchi pamoja na madereva.
Ziara hiyo itafanyika leo, Jumatano, 30 Septemba 2026, katika Kituo cha Mabasi Magufuli, Mbezi Luis, Dar es Salaam.
Anayejiita Waziri wa mambo ya ndani Patrobas Katambi hana mvuto wala...
Madereva si wachache nchi nzima.
Kwamba wameweza kuanzisha mgomo nchi nzima ya Tanzania ni suala limetugutua kidogo.
Tunaona serikali iko katika panic mode- hawakujua hili linakuja.
Hilo ni somo kwa serikali na vyombo vyake.
Tunasikia kila siku kuna intellijensia, sasa hivi wamevuliwa msuli...
Licha ya Waziri wa Michezo (Bwana Paulo Makonda) na Waziri wa Mambo ya Ndani (Bwana Patrobas Katambi) kufanya kikaokazi na madereva wa mabasi yaendayo mikoani jana tarehe 29/09/2026, madereva hao wameshikilia msimamo wao wa kutoingia barabarani hadi warejeshewe pointi zao walizokatwa kihuni...
Madereva wenye uzoefu na sifa wapo wengi sana mitaani hawana kazi.
Hivyo matajiri jambo la kufanya ni moja tu, wafukuzeni kazi madereva wote ambao wamegomea kufanya kazi kisha wekeni madereva wengine wenye nia ya kufanya kazi.
Hatuwezi kubabaishwa na wahuni wachache. Nyang'anya funguo kabidhi...
ANADANGANYA kusema kwamba tatizo ni Sheria ya Bunge ,kwamba yeye hawezi ifuta.
Tatizo wala sio Sheria ya usalama Barabarani ,Sheria ipo wazi kabisa,Sheria ya usalama Barabarani (Road Traffic Act ) Sura No.168 toleo la 2023 kifungu cha 31(1) kinasema hivi ,
" For the purpose of ensuring...
Mtanzania ni mpole, lakini akiamua jambo lake, utamuua tu.
Jana nilikuwa naangalia vitisho vya Polisi nikabaki nacheka. Polisi wanahisi bado wanaheshimika kama zamani.
Tangu waue 29.10.2025 heshima yao imeshuka. Wwanaonekakama kama wanyama mbwa mwitu.. Tunaishi nao kwa timing. Ama zetu ama...
Mgomo wa mabasi ya abiria na maroli umeitikisa nchi. Umewaonyesha viongozi wa serikali kwamba nchi inaweza kusimama kwa muda na mambo yasiende wanavyotaka wao. Pongezi sana kwa ujasiri huu wa madereva
Hata hivyo, pamoja na pongezi hizi bado nina mashaka sana na usalama wa madereva wote...
Hapa kuna swali la msingi mno linalogonga ikulu ya fikra za kila mzalendo anayejitambua kufuatia mgomo wa madereva nchini na hatua za haraka zilizochukuliwa na serikali: Hii serikali inayotaka kuleta mabavu, ina hayo magari na madereva mbadala wa kutosha nchi nzima kutoa huduma? Jibu ni fupi na...
The point is;
Msafirishaji alipokea pesa ya nauli na alimpa biria tiketi ya safari ya kwenda mji mwingine kwa ajili ya safari iliyotajwa.
Abiria aliripoti ipasavyo katika kituo maalum cha kupandia na akasalia akiwa tayari na mwenye nia ya kusafiri.
Muda maalum wa kuondoka ulipita, na...
Mmoja wa madereva aliyejitambulisha Kasuka Makulu akiwasilisha malalamiko yake mbele ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema: “Madereva tunanyanyasika, tumekuwa kama jalala, hatuthaminiwi ndani ya nchi. LATRA wanatuvuruga sana.”
"Mheshimiwa waziri sisi madereva tumekuwa...
Madereva tunajuana, lazima tutoke ndio tupate ugali na ada za wanetu.
Kama wamegoma kipumbavu futa leseni zao kabisa na kama waligoma kwa katazo la wamiliki wa mabasi futa kabisa leseni zao za kusafirisha. Hakuna kucheka na wasiofuata utaratibu...
Mgomo huu ndo kielelezo cha kwamba watendaji na Wateule wa Samia hawajalli Shida za Wananchi.
Yaani wanafanya kazi kwa Vitisho na Ubabe mwingi sababu hawajateuliwa.
Serikali inayowajibika kwa Wanancgi lazima ifanye mabadiliko.
Watu wanakaa Ofisini muda mrefu na kufanya kazi kwa Mazoea...
Mwendokasi/MoFAT Yatangaza Ajira 360 kwa Madereva na Maafisa Abiria
Mwendokasi/MoFAT imetangaza nafasi 360 za ajira, zikiwemo nafasi za madereva wa mabasi ya BRT na maafisa wa huduma kwa abiria. Ajira hizo zinaongeza fursa kwa Watanzania, hususan vijana, huku zikiimarisha utoaji wa huduma za...