Del Morad (Persian: دلمراد(مادني), also Romanized as Del Morād; also known as Mādenī) is a village in Kahnuk Rural District, Irandegan District, Khash County, Sistan and Baluchestan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 19, in 4 families.
Kumekuwa na mjadala mzito katika jamii yetu kuhusu tabia ya hospitali, iwe za umma au binafsi, kuzuia miili ya wapendwa wetu waliotutoka mpaka familia iweze kulipa madeni yaliyosalia. Wengi hulalamika wakisema kwamba mtu anapofariki, hana tena jukumu la deni, na kwa hiyo familia inapaswa...
Habarini,
Ni maajabu na unafiki kwa serikali iliyoko madarakani kujinadi kuwa ni TIIFU kwa wananchi wake wakati inadaiwa na haina mpango wa kuwalipa kwa sasa hasa ukizingatia nchi inaingia kwenye uchaguzi mkuu mwakani.
Hivi inakuwaje wananchi wanaoidai serikali wasilipwe lakini viongozi...
Ni mbinu ya kuzuia asidaiwe? Katika mahojiano yake na chombo cha habari, Wenje amesema kwamba alitoa fedha zake nyingi kumkopesha Lissu wakati anajiuguza, na kwamba hajalipwa mpaka leo.
Najiuliza, Lissu amechagua kundi la watu wanaomdai, awachafue ili kuwapunguza kasi? Kwa nini asilipe madeni...
Kamishna wa Maadili, Jaji (Stahiki) Sivangilwa Mwangesi amewakumbusha na kuwataka viongozi wote wa umma wanaotajwa kwa mujibu wa Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma, kuwasilisha tamko la rasilimali na madeni yao kabla ya Desemba 31, 2024.
Amesema hayo leo katika taarifa yake kwa umma...
Huyu Boss nilimshushia mzigo wa kama 2.4m wiki ilopita tuaahidiana baada ya siku 3 ataclear.
Juzi nimeenda ofisini kwake, alikuepo yeye na mkewe, ile napaki ka pikpik kangu pembeni naingia ofisini waliponiona tu wakaanza kutupiana maneno kama ya ugomvi vile ugomvi so wa kitoto maneno makali...
Nimetembea Kila bank wamekataa kununua deni wakidai mfumo wa kununua na kuuza madeni umeondolewa mpaka pale watakapo uunganisha na PEPMIS. Ni muda Sasa na bado hawajawezesha msimu wa kilimo ndo huo umeingia na pesa hakuna
Mtu unategemea ufaulishe deni Ili upate tu-cent serikali nayo inakubania...
Unakuta mwalimu amekopa Microfinance kama 3. Mshahara ukitoka siku mbilli hana kitu.
Kinachofuata ni kubeti mikeka 20 kwa siku ili kulipa madeni.
Kwa ujumla madeni yanatuletea fedheha walimu.
Hivi karibuni kiongozi wa Kanisa la Katoliki Papa Francis alihutubia mkutano wa Vatican kuhusu Msukosuko wa Madeni katika eneo la Kusini mwa Dunia", kwenye hotuba yake Papa alikemea vikali changamoto zinazotokana na msukosuko huo, hasa kusababisha taabu na dhiki, na kuwanyima mamilioni ya watu...
Miezi kadhaa iliyopita kuliibuka Watu waliokuwa wanakamata magari Jijini Dar es Salaam kwa wale ambao hawakuwa wamelipia ada za maegesho.
Kuliibuka usumbufu mkubwa kwa kuwa watu waliokuwa wakikamatwa walikutwa na madeni ya miaka ya nyuma ambayo hata wengine hawayajui au hawayakumbuki.
Mamlaka...
Madeni ya jumla ya Sh21.7 bilioni ya wazabuni wa vyakula katika shule za msingi na sekondari kwa mwaka 2023/24 yamewasilishwa hazina kwa ajili kuhakikiwa na kulipwa.
Hayo yamesemwa leo Alhamisi, Agosti 29, 2024 na Naibu Waziri wa Nchi-Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa...
Habari ya asbuhi wakuu, nimerudi tena tuweze kujadili na kukumbushana machache katika utafutaji wetu huku kwenye 'corporates world'.
Kampuni ya udalali na ukusanyaji madeni (auctioneer and debt collection) ni moja kati ya machimbo yaliyopo mjini yanayofanya vizuri japo hayavumi na nimegundua ni...
Wakuu,
Kwa mara ya Kwanza ndo naexperience Ile hali ya kukosa usingizi sababu ya madeni Namambo kuwa mengi.
Nilikua naskiaga tu kwa watu wakisema madeni yanakosesha usingizi usiku unakua mrefu, nina marejesho, bado bills za kulipa bado michango .
Yaani usiku silali usingizi ninao Sana Ila...
Hello!
Niliwahi kupost mada kama hii miezi michache iliyopita. Leo ninaipost tena baada ya kufanya utafiti tena na tena.
Watu wengi wanadaiwa sio mchezo. Hata Mimi niliwahi kuvamiwa na roho ya madeni, madeni yanamsogeza mtu karibu na kifo, madeni huondoa amani katika familia.
Katika mipango...
Madeni Yaliyofichwa: Majaji wa New York wampata waziri wa Mozambique na hatia
Paul Fauvet 2024-08-09 dk 5 kusoma
New York, 8 Ago (AIM) - Jopo la majaji katika mahakama moja mjini New York siku ya Alhamisi lilimpata Waziri wa Fedha wa zamani wa Msumbiji, Manuel Chang, na hatia ya kula njama ya...
Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) imefafanua juu ya kinachoendelea katika Kampuni ya Insurance Group of Tanzania (IGT) ambapo kuna Watanzania wanaodai kuwa wanaidai Kampuni hiyo lakini imekuwa ikiwazungusha malipo yao kwa miaka kadhaa sasa.
Awali andiko la Mwanachama wa...
Afisa mikopo anashughulika na kuwapa watu mikopo,hivyo na sisi tunaopokea mikopo hiyo tunayo haki ya kujiita AFISA MADENI.
madeni ni katika sababu ya maendeleo kwani moja ya sababu ni kuwa WANAOKUDAI HUKUOMBEA UTOBOE ILI UWALIPE MADENI YAO,na Mungu mara nyingi hujibu dua hizo.
usikope kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.