madarakani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Common Folk

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Hakuna dini ya ku-override serikali, toka niingie madarakani TEC wametoa nyaraka 8

    Rais Samia ameongeza kwa kusema "Kama haumpendi kiongozi aliyeko juu, basi vumilia wakati wake utaisha tu". Amesema tangu aingie madarakani, TEC wametoa matamko 8 Pia Soma: Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa...
  2. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Sauti ya wananchi inatosha kuamrisha jeshi wananchi ndio msingi sio mtu mmoja aliyekataliwa na aliyejisimika madarakani kinyume cha sheria

    Sauti ya wananchi inatosha kuamrisha jeshi wananchi ndio msingi sio mtu mmoja aliyekataliwa na aliyejisimika madarakani kinyume cha sheria. Huyu aliyejisimika madarakani atakapo iba inamaana hatakuwa ameiba tu kwa wananchi atakuwa amekuibia na wewe askari.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Historia imekwisha kuandikwa Samia mwanamke wa kwanza Africa kuingia madarakani kukiwepo umwagikaji mkubwa wa Damu , una nafasi ya kujiuzulu kusafisha

    Kama tunavusoma historia ya Nyerere na wenzake kutafuta Uhuru na kuingia madarakani bila umwagikaji wa damu , Ndivyo watoto wetu watasoma historia ya Mama Samia kuingia madarakani kukiwepo umwagikaji wa damu, Wataenda mbali zaidi na kujiuliza baada ya hapo alichukua hutua gani baada ya mababu...
  4. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa hiyo vyombo vya ulinzi na usalama vilikubali kutumika CCM ibaki madarakani licha kuhatarisha raia na uchumi wa nchi?

    Moja ya vitu vitakavyobadilishwa kwa wivu mkubwa sana baada ya Taifa hili kupata ukombozi wa kweli ni kuweka kiapo cha Utumishi wa Umma pamoja na vyombo vya ulinzi na Usalama kuwa ni kuilinda Katiba, kuwalinda Wananchi na Kulinda misingi ya Haki, Uhuru na Umoja wa Kitaifa. Jambo la pili...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Video: Sitaki kulala ndani kwa ajili ya watu wajinga, tukubaliane na aliye madarakani amani ndiyo kila kitu

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa ruhusa kwa magari ya abiria kuanza kutumia barabara ya Mabasi Yaendayo Haraka Awamu ya tatu inayoanzia katikati ya jiji la Dar es Salaam kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JNIA hadi Gongo la Mboto kwa lengo la kupunguza msongamano wa magari katika...
  6. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Rais hawezi kujiundia tume ya uchunguzi wakati yeye na chama chake ndiyo chanzo cha yote

    Yaani wenzako wanasema mchezo huu hauko fair mabadiliko yafanyike, Mwamuzi, Linesmen, Wasimamizi na wadau wote wameteuliwa na timu mojawapo, Unakataa, Unawaua na kutumia Nguvu kubwa kuwadhibiti, Baada ya ushindi wa Damu unarudi kuuliza shida iko wapi? Are you serious? Shida ni wewe! Waliofanya...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Video ya mzee Malissa ina maanisha nini? Rais Samia lazima ag'oke madarakani?

    Nimeiona video ya kada huyu wa CCM mfukuzwa ikidai kuwa watanzania wataandamana mpaka Samia aachie urais. Je, anamaanisha kweli? Kuwa kitendo cha kikwete kumpitisha rais Samia kwenye mkutano mkuu bila endorsement ya wanachama kimeleta mpasuko ndani ya CCM?
  8. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Je CCM tumechoka kukaa madarakani Mbona tunafanya Mistake za wazi za Kututoa Madarakani?

    Wana CCM wengi wanajua kupitia box la kura CCM haiwezekani kutoka madarakani hata tugeweza kuleta Rerfoms bado tugeweza kuacha gepu na mwanya wa kuendelea kuwepo madarakani sema uoga...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Hofu kubwa zaidi ni CCM kufanikiwa kubaki madarakani baada ya hizi vurumai, itageuka hayawani katili zaidi. Tujipange!

    CCM ikifanikiwa kubaki madarakani kwa uchaguzi huu wa kiinamacho ulioharibika na baada ya machufuko yaliyotokea hali ya ukandamizaji itakuwa mbaya zaidi, nchi itaingia kwenye udikteta mbaya zaidi utakaorasimishwa kwa sheria mbaya zaidi za bunge la chama kimoja. CHADEMA itafutwa rasmi, viongozi...
  10. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Rais Aliye Madarakani Kushindwa Kuitikia Wapinzani na Kushindwa Kutatua Changamoto za Uchaguzi

    Katika siasa za Tanzania, msemo maarufu wa Jakaya Kikwete, Rais mstaafu wa nchi hii, "Akili ya kuambiwa changanya na zako" unatoa tafsiri ya kina kuhusu umuhimu wa kusikiliza na kujenga maelewano. Hii ni msemo inayosisitiza kuwa ni muhimu kutafuta ushauri na mawazo mengine kwa lengo la kuboresha...
  11. braza bonge

    JamiiForums Tanzania Kama CCM wataendelea kubaki madarakani, Nini hatma ya mamia ya watu waliotekwa?

    Habari Wana bodi, kama tittle inavyojieleza, kuelekea uchaguzi mkuu tumeona mamia ya watu wakitekwa na kwa isivyo bahati, serikali ya CCM haijatoa ushirikiano katika hili jambo, aidha mgombea wao amechagua kukaa kimya. Je, watu ambao wanatamka kulinda utu wa Mtanzania kwa maneno tu bila vitendo...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Itutu: Mafisadi jiandaeni kukimbia nchi tukiingia madarakani

    Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) kimesisitiza kuwa endapo kitapata ridhaa ya kuingia madarakani, kipaumbele chake kitakuwa kuwawajibisha wote walioiba mali za umma. Kauli hiyo imetolewa Oktoba 3, 2024 katika Wilaya ya Ilemela, wakati wa mwendelezo wa kampeni za mtaa kwa mtaa...
  13. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Siku yaja Ibrahim Traore wa Tanzania atakua madarakani

    Mambo ni moto . ..nilisema Kuna siku isiyo na Jina TRAORE wa Tanzania ataingia madarakani . .. Na siku hio itakapokuja, hakika kuna watu watafungwa... Wengine watakimbia nchi, wengine watanyongwa, wengine watafilisiwa, Tanzania mpya itazaliwa yenye kusimikwa ufalme na Mungu na sio shetani...
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Afrika inaamka sasa; Malawi, Rais Chakwera ameshindwa kura za Urais baada ya mhula mmoja tu madarakani

    Afrika inaamka sasa hizo kanuni za mihula miwili mbona zilikua kabla ya Chargpt!! Wananchi wa Malawi wameona Chikwera hawafai na katika uchaguI na wa haki sanduku la kura limeamua kuwa term yake moja madarakani inatosha. Ni wakati wa kurudisha thamani ya kura na muamuzi Mkuu wa nani...
  15. W

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Museveni asema hii ndiyo mara yake ya mwisho kugombea Urais, kisha atamuunga mkono Bobi Wine

    Uganda president Yoweri museveni says this is the last time he is vying for presidency in Uganda, urges Ugandans to come in large numbers and vote for him for the last time.
  16. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Devotha Minja: CCM wakiingia Madarakani wanatuletea maisha magumu zaidi, wanatuletea kausha damu

    Mgombea Mwenza wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Devotha Minja amesema endapo chama hicho kitapata ridhaa ya kuunda Serikali, mikopo ya asilimia 10 kutoka mapato ya ndani ya halmashauri haitatolewa kwa upendeleo. Minja amesema hayo...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Upinzani yataka katiba ifuatwe Guinea-Bissau baada ya Rais Embaló kuendelea kubaki Madarakani licha ya Muhula wake kuisha

    Rais wa Guinea-Bissau, Umaro Sissoco Embaló, ameingia katika mgogoro wa kisiasa baada ya muhula wake kumalizika rasmi usiku wa Septemba 4, 2025 bila ya kukabidhi madaraka. Badala yake, Embaló ameendelea kushikilia urais, jambo ambalo upinzani umelitafsiri kama kunyakua madaraka kinyume cha...
  18. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM iliyopo madarakani inaikosoa CCM iliyopo madarakani

    Ukimsikiliza Samia Suluhu Hassan anaponadi Ahadi zake, unaweza kudhani anayoyasema leo kuwa atayatekeleza atakapotangazwa mshindi, labda alishindwa kuyatekeleza kwa kuwa CCM iliyokuwa inaongoza nchi ilimkatalia. Lakini ukitafakari kwa makini unagundua hiyo CCM ya miaka minne iliyopita ilikuwa...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Amani Golugwa: Siku tukiwatoa Madarakani CCM, Chama kitakufa, wamezoea wanabebwa na dola

    "Siku tukiwatoa Madarakani CCM kwa jina la Mungu muumba wa majeshi hiki chama kitakufa kwa sababu wamelegealegea, wamezoea utepeutepe, wanabebwabebwa na dola, siku tukiwatoa na jinsi tulivyo na hasira kuijenga taifa hili, jinsi tulivyo na akili ya kutumia rasilimali za taifa hili itatuchukua...
  20. veyra

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia aahidi kununua matrekta milioni 10 akiingia madarakani kwa awamu ya pili

    Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi mageuzi makubwa katika sekta ya kilimo kwa kuhakikisha serikali inanunua matrekta milioni 10 pamoja na zana nyingine za kisasa ndani ya kipindi cha miaka mitano ijayo. Akizungumza leo, Agosti...
Back
Top Bottom