Majority uetu tunaweza kujifarijiana kwamba tuipigie kura CCM itoke kwenye kiti cha enzi. Tukiachana na vyombo vya dola kulinda Hii state party (hii ya kuipa vyombo vya dola kuishikilia ccm tusiipe 100%)
Je, mchina aliyewekeza hapa Tz tokea miaka ya 60s ataweza kuhimili hasara ya kupoteza...
Wadau,
Ni msiba mzito kwa Tanzania kuwa CCM priority yake ni kupambana kuendelea kuwa madarakani kwa gharama yoyote ikiwemo kupokea pesa chafu kutoka kwa watu ambao wakati mwingine inawaita mafisadi, kuua, kuteka na kulawiti wale wanaopingana nayo kwa hoja , yote hayo inaweza kuyafanya...
bila
kupata
kupata maendeleo
kutengeneza
madarakani
maendeleo
miaka
miaka 60
miaka 60 ya uhuru
passport
serikali
serikali ya ccm
shaka
uhuru
umaskini
uzembe
Nilikuwa mahali fulani nikiangalia namna mambo yanavyokwenda. Sikuamini macho yangu kushuhudia ama pikipiki au Baiskeli zenye chata ya CCM zikikatiza kika baada ya dakika 5. Nikawaza Wanufaika wa pikipiki na Baiskeli za CCM wanatosha kabisa kuirudisha Madarakani! Kura za watu wengine zitakuwa...
Makala ya Uchambuzi wa Kisiasa: Hatma ya Taifa, Mgombea Mpina, na Mvutano wa Madaraka
📅 Toleo maalum | Agosti 7, 2025
✍️ Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
“Ukombozi haujawahi kupokelewa kwa shangwe na waliovuna kwenye mateso ya wengi.”
Hayo ni maneno yaliyotolewa jana na mmoja wa wachambuzi wa...
Huwa nakaa najiuliza, hawa jamaa wanaomtaja Magufuli kwa matusi kwenye harakati za No Reform No Election, ni waoga wanaoepuka kumkosoa aliye madarakani? Maana wamekuwa wakimsema Magufuli kila mara, lakini kwa wazalendo wengi wa nchi hii, kadri mnavyoendelea kumtaja vibaya, ndivyo mnavyozidi...
Hili nawahakikishia mtabaki kuwa mikia tu piga ua galagaza. Kombe mtakalo chukua labda liwe na Uji.
Kikwete anaipenda sana Yanga yeye na kundi lake kubwa nyuma yake. Na Samia naye automatically amekuwa mpenzi mkubwa wa Team ya Yanga. Hapo sasa nani atatusumbua? Nani?
Serikali ikiwa upande...
Waziri Mkuu wa Japan, Shigeru Ishiba, ameapa kubaki madarakani, licha ya muungano wa chama chake tawala kupata pigo kubwa katika uchaguzi wa Bunge la Juu, hali ambayo imezua mashaka ndani ya chama chake huku upinzani ukifikiria kuwasilisha hoja ya kutokuwa na imani naye
Ishiba, ambaye...
Katika azma ya kuifanya Tanzania kinara wa kupunguza pengo la uwiano wa kijinsia kuelekea dira 2050, Rais Smia ameteua ya Majaji 35 wanawake 41%.
Uwiano wa kijinsia ni moja ya shabaha ya msingi inayopewa kipaumbele mahususi na Dira2050 ambapo Tanzania inalenga kuwa kinara barani Afrika na...
wahuni wameogopa kumshindàisha maza na makada wengine,
Ivi hili lina chochote cha kutueleza juu ya uwezo wa maza kwenye Medani husika za uongozi na siasa kiujumla ??
Na je, hii haileti ishara mbaya juu ya sirikali yetu kupigwa copy, kwamba wale wanaopromote uwepo wa maza wana ulaji wao pale...
Kiongozi wa kijeshi wa Mali, Jenerali Assimi Goïta amepewa muhula wa urais wa miaka mitano na bunge la mpito, ambao anaweza kupewa tena bila kufanyika kwa uchaguzi.
Kiongozi huyo wa kijeshi, ambaye ametwaa utawala kwa nguvu mara mbili, aliahidi kurejea kwa demokrasia mwaka jana, lakini hilo...
Just imagine baadhi ya wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama wana kadi za CCM na ndio maana wanadiriki kugombea ubunge kwa ticket ya CCM wakuu wa mihinili ya nchi kama spika wa bunge na jaji mkuu nao kumbe ni wana CCM.
Kwa kweli CCM ni ngumu kuitoa madarakani sababu wana back up kubwa sana.
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameomba tena uteuzi wa kugombea muhula wa saba, hatua inayomuelekeza kwenye miaka 50 ya utawala.
Museveni, mwenye umri wa miaka 80, amepuuza wito wa kustaafu huku wakosoaji wake wakionya kwamba amegeuka kuwa mtawala wa kiimla, kwa kuwa hana upinzani wa maana hata...
Mambo mengine ni ya kawaida, hata kama nchi ingekuwa chini ya wakina mkwawa au mtemi Myugumba wangefanya.
Siku nasikia hicho KITU nilibisha nikaona ni uongo, ule ni umbali mkubwa. Hii ndio ishara pekee ya ukubwa wa akili ya thinkers wa CCM.
Changamoto maengineer sidhani kama wametukumbuka...
Mojawapo wa wageni wa kwanza kabisa kualikwa nchini Zaire (DRC ya sasa) na Laurent Kabila, baada ya kumwondosha Mobutu Seseseko kama raisi, alikuwa mwalimu Julius Nyerere. Alikubali mwaliko huo. Kipindi hicho wala hakuwa Raisi wa Tanzania, alikuwa ameshang'atuka.
Sasa katika moja ya hotuba...
Kuna kitu nimeshindwa kabisa kuelewa sisi Watanzania ni watu wa aina gani. Tunawezaje kuona serikali ambayo imekubuhu katika utekaji, uuaji, utozaji kodi kupita kiasi, uonevu wa polisi, ugomvi na wachungaji, ufisadi uliokomaa, ugawaji rasilimali za taifa kwa wageni, udanganyfu katika uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.