Awali ya yote tupeane pole kwa msiba mkubwa wa kuondokewa na Mh Rais John Pombe Magufuli,hakika hayakuwa haya maisha ya dunian ila ni kitu chenye kupita tu.
Hapa karibuni kulikuwa na hoja ya kumuongezea muda wa kubakia madarakani Mh Rais John Pombe Magufuli na wengine wakaenda mbali na kusema...
Naomba kuwapa pole Watanzania wenzangu kufuatia msiba huu mkubwa wa Taifa letu. Kifo cha Rais John J. P. Magufuli kumeacha ombwe na pia mafunzo kwa maisha yetu sote. Nimepokea kwa masikitiko makubwa msiba huu. Vyovyote vile ilivyo, kama nilivyowahi kusema huko nyuma hakuna ombwe la uongozi...
Mwaka 2021, Tanzania inaomboleza kifo cha kiongozi wake wa nchi aliyefariki akiwa madarakani, John Pombe Magufuli aliyefariki kwa ugonjwa wa moyo.
Hii hapa orodha ya Wakuu wengine wa nchi za Afrika waliofariki wakiwa madarakani kuanzia mwaka 1960 hadi 2021.
Mwaka
Nchi
Kiongozi
Sababu
2021...
Hapa leo tuelewane, maana hata kwenye kupinga hua tunakua pamoja.
Tunahitaji Rais Akae Miaka 20 ili tuweze kupiga hatua ya kweli.
Miradi yenyewe ni kumalizia miundomsingi na miundombinu yote kama reli ya kisasa SGR, Miradi mikubwa ya barabara inayoendelea nchi nzima, Bwawa hilo kubwa la...