Kusalia madarakani kwa kutumia nguvu ya madaraka ni uhahini na udikteta katiba yetu inataka kufanyike kwa uchaguzi wa kiraia.
Sasa endapo mtu anataka kusalia madarakani kwa kupitia madaraka aliyokuwa nayo wakati huo anakuwa kinyume cha sheria za nchi hana akili kabisa wala hafai.
Tamaa za madaraka hazina maana yoyote, ndio kiini cha mauwaji na machafuko kwenye nchi. mnaweza kujifunza kwa mataifa mengine hapa Africa yaliyokuwa na watu wa namna hii.
Mtu unauwa ili kupata madaraka, kumbuka uhai ni kitu cha msingi kuliko madaraka ndio maana ili uwe na madaraka lazima uwe...
"Serikali ni watu waliochaguliwa na watu kwa manufaa ya watu"
Kwa mantiki hii serikali ni mali ya wote na haipaswi kumilikishwa kwa watu wachache.
Kikundi cha watu "Chama Cha siasa" kinachoshinda kuongoza serikali hakipewi hatimiliki ya taifa kuwa kitaongoza milele.
Iwapo serikali itawajibika...
Toka hii kamati imeanzishwa imekua kama ya kulisafisha bunge na upande wa Serikali tu. Wameshawai kupelekwa wengi mpaka Pasco, Luhaga na wengineo chungu mzima lkn wote imeonekana Wana makosa hata katika kesi ambazo ni wazi kabisa bunge limekosea. Hivyo basi sijashangaa kuona mbunge Mrisho Gambo...
sisiemu imeshajifia muda mrefu sana Ila siasa za kupita bila kupingwa zimehasisiwa na MTU anajiita Bashiru Ally Kakurwa Muhaya kutoka Bukoba vijijini .
Kama alivyowahi kusema mzee mmoja kuwa hii tribe ipo na matatizo sana . hasa wakikabidhiwa madaraka makubwa . no vision no humbleness
Bashiru...
UJINGA UNAOPEWA JINA: PROPAGANDA YA KISIASA MTANDAONI
Katika zama hizi za kidijitali, mitandao ya kijamii imegeuzwa kuwa uwanja wa vita vya fikra. Lakini vita hivi si vya kuikomboa nchi bali vya kuilinda dhulma na kuzuia hoja za msingi kwa kutumia matusi, kejeli, na uongo.
Kila siku...
CHADEMA wamegoma kusaini kanuni za maadili toka Tume Huru ya Uchaguzi na hivyo hawatashiriki uchaguzi mkuu mwaka huu.
Mwanachama yeyote toka CHADEMA aliye na uchu wa madaraka sasa ni ruksa kuhamia Vyama vingine ili awe na uwezo kuwa Mhe. Mbunge au Diwani. Wakati ni sasa na usipoteze muda wako.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA Students Organisation - CHASO),Leonce Martin amewaita wanachama wa kundi la G55 kuwa ni waasi ndani ya chama, akidai kuwa kundi hilo halina nia njema na mama chama.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar...
Ivi watanzania sijui ni nani alie tuloga? NYERERE angekuwa na roho ya uoga kiasi hiki mpaka leo tusingepata uhuru.
Nimesoma hoja zao hao G55, hazina mashiko zaidi ya uroho,ubinfsi, na tamaaa, za madaraka.
HAWA G55 wamesahau ni watanzania wangapi wamepoteza maisha ,kutekwa, vilema, masikini...
Tunaheshimu mamlaka za uteuzi wa mkuu wa mkoa Tabora
Tunatambua upo Tabora kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Leo umeongea kauli za ovyo na uropokaji ambao ni kutweza na kudhalilisha club ya Yanga
Mkuu wa mkoa anatoa shutuma za uongo kuwa club ya Yanga imehonga wachezaji...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya kimewaonya wanaotarajia kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika Uchaguzi Mkuu ujao, kuacha kufanya vitendo vya kinyama dhidi ya binadamu wenzao, ambapo vitendo vingine vinasababisha kukatisha maisha na kuharibu mustakabali wao kisa uroho wa madaraka...
Aliyekuwa msemaji wa Yanga, Haji Manara amemchana Rais wa Shirikisho la Mpira Tanzania (TFF), Wallace Karia kwa kauli zake kuhusu sakata la Dabi ya Kariakoo (Simba na Yanga) kuahirishwa.
Pia, Soma: Karia: Wanaosema Bodi ya Ligi ijiuzulu timu zao uongozi upo sawa
Video: Bongo5
Tukatae kuwachagua viongozi wanao tumia nguvu za giza/ushirikina kupata uongozi.
Imekuwa jadi kwa viongozi wengi katika nafasi zao kutumia USHIRIKINA kupata na fasi na kulinda nafasi zao. tuwakatae viongozi wenye tabia hizo.
Unamkuta kiongozi hana uwezo wa kuiongoza hata familia yake lakini...
Je, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya mataifa yanafuata demokrasia, mengine yanapendelea udikteta, na mengine yana mfumo wa kijamaa? Kwa mtazamo wa haraka, tunaweza kudhani kuwa sababu kuu ni historia, uchumi, au hata ukoloni. Lakini, tafiti zinaonesha kuwa mizizi ya mifumo ya kisiasa...
afrika
afrika mashariki
demokrasia
dikteta
familia
inaweza
itikadi
jamii
madaraka
maendeleo
mahsusi
malezi
mwelekeo
siasa
taifa
tanzaia
waarabu
wachina
wadau
wazungu
yako
Ni kitu cha kwaida kuona kuwa mfumo wa kisheria wa nchi yoyote, mchakato wa haki na uwajibikaji ni msingi muhimu wa utawala bora.
Hapo ndipo tunapozungumzia, nguvu na mamlaka ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) ambayo ni sehemu ya muhimu katika kuhakikisha kuwa haki inapatikana bila upendeleo...
Mbunge wa Viti Maalum Esther Bulaya akizungumza siku ya Jumatatu Februari 24, 2025 kupitia kipindi cha Power Breakfast cha kituo cha habari cha Clouds FM.
"Uchaguzi ni demokrasia, kachukua fomu Tundu Lissu (Mwenyekiti wa CHADEMA taifa), kachukua fomu Freeman Mbowe (Aliyekuwa Mwenyekiti CHADEMA...
Mimi nilipokuwa mdogo ilipotokea pasipokusudi nimemuumiza mwenzangu nilikiwa naumia sana namwomba radhi na ilipotakiwa msaada za zaidi wa huduma ya jeraha lake nilimpeleka kwao kwa huruma.
Lakini viongozi wa serikali mnapopata madaraka kwanini mnakuwa hamna huruma?
Watu wanajeruhiwa,kupotea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.