"Ulevi wa madaraka huondoa uvumilivu wa kusikiliza yale usiyoyapenda. Tukiikaribisha serikali kutuamulia nani ni nabii wa kweli na nani ni nabii wa uongo tutajikuta tunalazimika kupeleka nakala za mahubiri yetu kwa viongozi wa vitongoji siku ya ijumaa kabla ya jumapili ili watukubalie kama...
Katika mazingira ya sasa ambapo maisha ni magumu mno kwa vijana na wananchi wa kawaida mitaani, hali ya kushikilia madaraka au nafasi yoyote yenye fursa imekuwa ya kawaida. Watu wanapambana si kwa sababu wana uchu pekee, bali pia kwa sababu nchi imetengeneza mazingira ya ‘kila mtu abebe chake’...
"Ukomo wa Demokrasia Katika Nchi Zinazotawaliwa na Party Coccus: Ulimbikizaji wa Madaraka, Ukandamizaji wa Wapinzani, na Unyakuzi wa Taasisi za Umma"
Katika baadhi ya nchi za Afrika, hali ya kisiasa imeendelea kuonyesha mwelekeo wa kuporomoka kwa misingi ya utawala wa sheria, demokrasia, na...
Eti wakuu nimejaribu tu kuwaza. Kwani bi mkubwa akiamua tu kutokugombea na kurudi kwao kizimkazi kupumzika kwani arapungukiwa na nini maana hatuna deni nae. Chini ya uongozi wake kila kitu kinakwenda halijojo, utekaji, ubabe uhamishaji masai NGORONGORO, kubinafsisha rasilimali za nchi kama...
Najalibu kutafakali kwa haya yanayotokea huyu Mama baada ya kustaafu sizani kama atabaki Tanzania kama marais wenzake waliomtangulia,namuona yeye na familia yake wakienda kuishi Oman huku nyuma akiwa ametuachia msala wa mavurugano mkubwa wa kivyama,kisiasa na kidini,
Kama huko CCM hakuna wa...
Kuna watu wanamlaumu Nyerere kwamba alijilimbikizia madaraka, kujiweka kama mtawala wa kiimla na hatimaye kutuachia mfumo huo mpaka sasa ambao tunahangaika nao. Ni kweli alifanya hivyo lakini karibia mataifa yote hadi yale yaliyoendelea sana viongozi wake wa mwanzo(founders) walifanya hivyo pia...
Watoto wa Saddam Hussein, hasa Uday Hussein na Qusay Hussein, walijulikana kwa kutumia madaraka ya baba yao kwa namna ya kikatili na ya kupindukia, na walihusishwa na vitendo vingi vya ukandamizaji, unyanyasaji, na uongozi wa magenge ya kijeshi na kijasusi ndani ya Iraq wakati wa utawala wa...
Huu mfumo wa raisi akifa mtu ajitwalie madaraka ya aliye fariki kirahisi tu unaweza kuingiza mtu anayejua kusoma na kuandika tu.
Huu mfumo wa kuiba kura na kuwa na tume isiyohuru unaweza kutuingizia watu wanaojua kusoma na kuandika tu.
Kwahiyo kwa misingi hii mtegemee nini ? utaona mtu anauza...
Wakuu
Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza anaandika kupitia ukurasa wake wa Facebook
==
Huu ni mwaka wa uchaguzi. Tamaa ya madaraka ndani ya CCM ni kama yote. Ubinafsi ndani ya upinzani ni kama wote. Nani mwathirika wa hali hii?
Mwathirika wa kwanza ni nchi/taifa. Tutakosa uwajibikaji (checks...
Huwezi kuacha madaraka ukakosa hivi nchini Tanzania
1. Posho
2. Usafiri mzuri
3. Ulinzi wa kutosha
4. Mahitaji yote free
Ukiwa mbunge, waziri au cheo chochote hivyo ni matunda
Labda uwe mchamungu wa kweli kweli ndio uachie hayo
Kwamba hata iweje!
Haipo shaka nia njema kutokea kwa mama haipo na haiwezi kuwa sahihi kusema huo ndiyo ulio msimamo wa CCM au serikali yake yote.
"Samaki mmoja akioza haliwezi kuwa tenga lote."
Kuwa leo Lissu yuko Ukonga, ila waliowateka kina Mdude, Soka, nk wako huru? Waliowatendea unyama...
Mtu anaeweza kuuwa na kusingizia watu kesi kwasababu ya tamaa za madaraka hapaswi kuaminiwa wala kuungwa mkono hana akili kabisa huyo.
Lazima tuunge mkono kwa wapigania haki na uhuru ndio jambo la msingi sana tunapaswa kulifanya sisi kama taifa, tuweni waasi dhidi ya wauwaji na wale wenye tamaa...
Tumetoka kwenye utawala wa kisheria sasa tunaingia kwenye siasa za kutoana roho, lawama zote na kiini cha haya yote ni mtu mmoja tu mwenye tamaa ya madaraka.
Hii inaweza kupelekea vita vya sisi kwa sisi Tanzania kwa sasa sio salama tena kuna uwezekano wa machafuko kutokea hatakama watanzania...
Napenda kutoa mfano mchache tu wengine mtaweka hapa.
Watawala wakishafika kujenga genge la kuwasimamia kila kona kuna siku watapenda nao nafasi uliyopo washike wao endapo mkipishana.
Swala la sudani lilikuwa funzo tosha ila ndio basi tena.
Hata kule congo laurent kabila nalo lilikuwa hivi...
Sayyidna Abu Dharr Al-Ghifari (RA) – Kukataa Uongozi
Mtume Muhammad (SAW) alimkataa Abu Dharr alipoomba nafasi ya uongozi:
(Sahih Muslim)
Abu Dharr alikuwa mcha Mungu sana, lakini alikatazwa uongozi kwa sababu ya kutokuwa na uwezo wa kushughulika na majukumu yake. Yeye mwenyewe alikubali...
Kila siku zinavyozidi mbinu ya wenye tamaa ya madaraka kuzima mabadiliko kwa uhalifu na utekaji, uwepo wa kesi za mchongo, kwa kujificha kwenye kichaka cha demokrasia na amani ndio inaamsha watu ndani na nje ya nchi kuunga mkono kwa kasi mabadiliko hayo,
uwenda pia bunge la marekani na dunia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.