Siku tatu baada ya kuwashikilia, Jeshi Nchini Mali limewaachia Rais wa Mpito, Bah Ndaw na Waziri Mkuu, Moctar Ouane huku likiwavua wadhifa walionao. Viongozi hao walishikiliwa muda mchache baada ya mabadiliko kufanywa Serikalini.
Mzozo wa Kisiasa unalikumba Taifa hilo miezi tisa baada ya Jeshi...