madaraka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Viongozi wetu wahudumieni wananchi msipiganie madaraka tu

    Mijadala mingi katika mitandao yetu ya kijamii inajikita katika kulinda madaraka ya baadhi ya watu. Mwananchi wa kawaida anakosa majibu ya maswali anayokutana nayo kila siku. Huyu ana mfukuza yule na yule ana msema yule katika tu kulinda madaraka au kuyapigania. Maswala kama maji, umeme...
  2. THE POWER GAME: Ni ukanda upi hapa Tanzania wanaongoza kwa uwezo mkubwa wa kucontroll power?

    The power Game, Anaeweza kushika madaraka ndie yupo juu zaidi, Mfano kwa Nigeria kanda ya kaskazini wapo nyuma kielimu na kibiashara lakini linapokuja suala la Power wao ndio wameikamta na kuweza kuitumia kuwa juu ya kanda ya kusini mashariki walioshika biashara za nchi na kanda ya kusini...
  3. WIVU WA MADARAKA NDIO UNAFANYA CCM ICHUKIWE,

    humu kwenye hili jukwaa ukiweka uzi unaoelezea mazuri ya ccm,hata nusu saa haukai unaondolewa.! watu wamesahau kwamba ccm ni chama cha siasa kama vingine ila ndicho kimeshika dola.wivu wa madaraka unawafanya wapenzi wa ccm waonekane hawana haki ya kutoa maoni yao ! nyuzi zote zipewe haki sawa...
  4. Maoni ya Katiba Mpya: Kama madaraka yanatokana na wananchi, kwanini Rais Samia aseme kuwa mapendekezo ya Kikosi Kazi siyo amri kwa Serikali?

    Maoni ya kikosi kazi, kilichokuwa kikiongozwa na Profesa Mkandala, kimewasilisha rasmi maoni yake kwa Rais Samia, iliyoyakusanya kutoka kwenye makundi mbalimbali ya wananchi. Hata hivyo nimeshangazwa Sana na kauli iliyotolewa na Rais Samia baada ya kuyapokea maoni hayo, kuwa maoni hayo ya...
  5. Kinachowarejesha wapinzani kwenda CCM ni ulafi wa madaraka tu

    Wanazengo Umofia kwenu. Katika muhula wa awamu mbili zilizopita tulishuhudia wimbi la wanasiasa kambi ya upinzani hasa wawakilishi Bungeni wakihamia CCM kwa wingi. Yalisemwa mengi yakiwemo ya wapinzani kununuliwa na hata wengine kuda wananusuru maisha yao na familia zao kwa kuhamia CCM. Kuna...
  6. Shaka: CCM haitoachia madaraka abadani

    "...CCM haitoachia madaraka abadani na kwalo sisi mtaji wa kuendelea kukaa madarakani tunao kwa sababu huwa tunajiandaa mapema." Shaka.
  7. Nani atakasimishwa madaraka ya Urais endapo Rais atakuwa kasafiri?

    Wasalamu wana bodi wajuvi, wajuaji, wastaarabu bila kuwashau wale wa lolote sawa. Leo ntatoa desa kidogo kuhusu mtiririko wa ukasimisishwaji madaraka ya Urais(presidential line of succession au hierarchy of presidency) kwa JMT. Mataifa ya wenzetu kama US wao kutokana na muvi zao na kuwa wawazi...
  8. Naibu Spika Zungu madaraka yamekulevya. Unataka wananchi wakatwe tozo zipi za intaneti wakati tunanunua salio na kukatwa tozo?

    Msigeuze wananchi kama kiwanda cha kulisha matumbo yenu 👇
  9. Ni zipi dalili za mtu aliyelewa madaraka?

    Habari wakuu. Naomba kufahamishwa dalili/sifa za mtu aliyelewa madaraka. Natanguliza shukrani.
  10. Kenya2022 Rais Uhuru Kenyatta: Nitakabidhi Madaraka nikiwa natabasamu lakini kiongozi wangu ni Raila

    President Kenyatta: I Will Hand Over Power Smiling, But Raila Is My Leader President Uhuru Kenyatta now says that he will gleefully hand over the reins to president-elect William Ruto on September 13, 2022, when his former deputy takes his oath of office. Speaking on Wednesday when he met...
  11. Kenya2022 Rais Kenyatta aahidi kukabidhi Madaraka kwa amani

    Rais amewahakikishia Wakenya kuwa ataheshimu uamuzi wa Mahakama ya Juu ulioidhinisha kuchaguliwa kwa Naibu Wake, William Ruto kuwa Rais Mteule. Taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Kenya imesema Rais Uhuru atahakikisha kuwa kutakuwa na makabidhiano Madaraka kwa amani na kwamba mchakato huo tayari...
  12. Serikali ijaribu sera ya madaraka mikoani, yaweza kabisa kuibadili nchi yetu ndani ya kipindi kifupi

    Makamu mwenyekiti yupo ziarani mikoa ya magharibi mwa Tanzania, ambapo tayari kapita Kagera na mkoa mpya wa Geita. Hapo Kagera kakutana na mkuu wa mkoa bwana Chalamila ambae juzi kaongea maneno ambayo yamekosa mwongozo wa kitaaluma kwa kujaribu kulinganisha uwezo wa kuongea lugha ya kiingereza...
  13. J

    Mzee Msuya: Wanasiasa wakishayapata Madaraka husema "huu ndio wakati wetu na sisi tule"

    Point kwa Point Waziri mkuu mstaafu mzee Msuya amesema uzalendo ni swala la kiroho zaidi siyo kimwili Kuwa mzalendo ni lazima kwanza uwe na UTU Msuya amesema wanasiasa wamejaa Tamaa na Ubinafsi na pindi wapatapo Madaraka husema "huu ndio wakati na Sisi tule bila kusaza" Source: ITV
  14. J

    Ya Ally Hapi yaendelee kuwakumbusha vijana, madaraka ni koti la kuazima

    Rais Samia Suluhu alifanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa na makatibu tawala wa mikoa ambapo tumeshuhudia baadhi ya sura mpya, wengine wakihamishwa lakini kuna ambao wamepewa mkono wa kwaheri, ingawa gumzo kubwa limekuwa kutemwa kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Salum Hapi. Hapi ambaye...
  15. Tunisia imepitisha Katiba Mpya inayompa madaraka makubwa Rais

    Tunisia imepitisha katiba mpya, inayompa madaraka makubwa rais, baada ya kufanyika kwa kura ya maoni siku ya Jumatatu, ambayo idadi ndogo ya wapiga kura walijitokeza. Licha ya idadi ndogo ya wapiga kura ambayo ni asilimia 30, kujitokeza kushiriki kwenye zoewi hilo, waliunga...
  16. Ushauri kwa Vijana waliopewa Madaraka kuhusu Maneno na Matendo yao wanapokuwa madarakani

    Vijana mliopewa dhamana ya kuwaongoza Watanzania wenzenu iwe kwa ngazi ya Kitaifa, Mkoa, Wilaya, Tarafa, Kata,Kijiiji au kitongoji, Chungeni saana ndimi zenu, angalieni sana matendo yenu, angalieni saana Mienendo yenu,tendeni haki Watumikieni Watanzania kuwaletea Maendeleo kwani cheo ulichopewa...
  17. Siku chache kabla ya kuachia madaraka, Kenyatta amteua Mkuu mpya wa Jeshi la Ardhini

    Peter Mbogo Njiru Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amemteua msaidizi wake wa zamani (aide-de-camp - ADC) Peter Mbogo Njiru kuwa Mkuu wa Majeshi wa Kenya, ikiwa ni wiki chache kabla ya kuondoka madarakani. Njiru amepandishwa cheo kutoka kuwa Meja Jenerali na kuwa Luteni Jenerali nafasi ambayo...
  18. M

    KWELI Juma Raibu Meya aliyevuliwa Madaraka Moshi akanusha madai ya kung'oa miundombinu aliyoiweka alipokuwa madarakani

    Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia kwenye Jumatatu hii ya Pasaka , Kwamba Mheshimiwa Juma Raibu aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro , kabla ya kung'olewa hivi karibuni , ameanza kampeni kabambe ya kuondoa miundo mbinu yote aliyojitolea akiwa madarakani . Wakati wa madaraka...
  19. Sri Lanka: Waandamanaji wavamia makazi ya Rais kushinikiza aachie madaraka

    Rais wa Sri Lanka kakimbia baada ya kutangaza nchi yake imefirisika Maelfu ya Waandamaji katika Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Colombo wamevamia Makazi rasmi ya Rais Gotabaya Rajapaksa. Maandamano hayo kushinikiza Kiongozi huyo aachie madaraka yanatajwa kuwa makubwa zaidi mwaka huu Inaripotiwa kuwa...
  20. Ni wa wakati wa kudai katiba mpya. Hii ya sasa imempa madaraka makubwa rais wa JMT haifai kabisa. Mmesahau yaliyomkuta Mwamba mpaka akalia machozi

    Tunapokuja kujadili suala ambalo ni mustakabali wa taifa letu basi tuweke ushabiki kando. Katiba ya sasa haifa na imempa madaraka makubwa rais wa JMT ndio maana wateule wake na wasaidizi wake wanatumika hovyo kupeleka mateso kwa raia kwa chuki ambazo hazina kichwa wala msingi. Tupate katiba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…