Makamu mwenyekiti yupo ziarani mikoa ya magharibi mwa Tanzania, ambapo tayari kapita Kagera na mkoa mpya wa Geita.
Hapo Kagera kakutana na mkuu wa mkoa bwana Chalamila ambae juzi kaongea maneno ambayo yamekosa mwongozo wa kitaaluma kwa kujaribu kulinganisha uwezo wa kuongea lugha ya kiingereza...
Point kwa Point
Waziri mkuu mstaafu mzee Msuya amesema uzalendo ni swala la kiroho zaidi siyo kimwili
Kuwa mzalendo ni lazima kwanza uwe na UTU
Msuya amesema wanasiasa wamejaa Tamaa na Ubinafsi na pindi wapatapo Madaraka husema "huu ndio wakati na Sisi tule bila kusaza"
Source: ITV
Rais Samia Suluhu alifanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa na makatibu tawala wa mikoa ambapo tumeshuhudia baadhi ya sura mpya, wengine wakihamishwa lakini kuna ambao wamepewa mkono wa kwaheri, ingawa gumzo kubwa limekuwa kutemwa kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Salum Hapi.
Hapi ambaye...
Tunisia imepitisha katiba mpya, inayompa madaraka makubwa rais, baada ya kufanyika kwa kura ya maoni siku ya Jumatatu, ambayo idadi ndogo ya wapiga kura walijitokeza.
Licha ya idadi ndogo ya wapiga kura ambayo ni asilimia 30, kujitokeza kushiriki kwenye zoewi hilo, waliunga...
Vijana mliopewa dhamana ya kuwaongoza Watanzania wenzenu iwe kwa ngazi ya Kitaifa, Mkoa, Wilaya, Tarafa, Kata,Kijiiji au kitongoji, Chungeni saana ndimi zenu, angalieni sana matendo yenu, angalieni saana Mienendo yenu,tendeni haki Watumikieni Watanzania kuwaletea Maendeleo kwani cheo ulichopewa...
Peter Mbogo Njiru
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amemteua msaidizi wake wa zamani (aide-de-camp - ADC) Peter Mbogo Njiru kuwa Mkuu wa Majeshi wa Kenya, ikiwa ni wiki chache kabla ya kuondoka madarakani.
Njiru amepandishwa cheo kutoka kuwa Meja Jenerali na kuwa Luteni Jenerali nafasi ambayo...
Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia kwenye Jumatatu hii ya Pasaka , Kwamba Mheshimiwa Juma Raibu aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro , kabla ya kung'olewa hivi karibuni , ameanza kampeni kabambe ya kuondoa miundo mbinu yote aliyojitolea akiwa madarakani .
Wakati wa madaraka...
Rais wa Sri Lanka kakimbia baada ya kutangaza nchi yake imefirisika
Maelfu ya Waandamaji katika Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Colombo wamevamia Makazi rasmi ya Rais Gotabaya Rajapaksa. Maandamano hayo kushinikiza Kiongozi huyo aachie madaraka yanatajwa kuwa makubwa zaidi mwaka huu
Inaripotiwa kuwa...
Tunapokuja kujadili suala ambalo ni mustakabali wa taifa letu basi tuweke ushabiki kando.
Katiba ya sasa haifa na imempa madaraka makubwa rais wa JMT ndio maana wateule wake na wasaidizi wake wanatumika hovyo kupeleka mateso kwa raia kwa chuki ambazo hazina kichwa wala msingi.
Tupate katiba...
Jana tuliambiwa hukumu ya kesi iliahirishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi, Arusha.
kwa kile kilichodaiwa kuwa hakimu alikuwa anatimiza majukumu mengine ya kiofisi,mahali ambapo hatukutajiwa.
Leo asubuhi tunasikia taarifa ya Sabaya kuhamishiwa alfajiri,kutoka Gerezani Kisongo,na kupelekwa...
Wasalaam wana JF
Kama nchi hii inafuata misingi ya utawala wa sheria basi namshauri bwana Ayubu wa Kongwa kwamba DPP anaweza kumletea shida kwa kuwakubali na kuwalea COVID 19
Naomba kushauri
Serikali imetoa Madaraka ya Dharura kwa Jeshi na Polisi kukamata na kuhoji watu bila kuwa na Kibali, ikiwa ni siku moja baada ya maandamano kusababisha vifo vya watu 7 na wengine zaidi ya 200 kujeruhiwa
Hata hivyo, baadhi ya Wachambuzi wamekosoa uamuzi huo wakisema kuna uwezekano ya Madaraka...
Kuna life style flani la viongozi wa kitanzania wakiwa maradakani huionesha jamii kupitia mitandao yao ya kijamii lakini punde wakishatoka madarakani style hiyo hupotea ghafla, labda waanze tena Leo baada ya Uzi huu!
Mfano;
Wakiwa madarakani utaona wakipost wapo jimu (gym) nakutufanya sisi...
Wataiba Sana wakijua fika hawatashika madaraka tena na wamekata tamaa.
Ni sasa na Sio wakati mwingine tena!ndivyo wawazavyo mioyoni mwao.wataingia mikataba ya kifisadi ya kutisha ambayo itatuathiri miaka zaidi ya mia Moja ijayo!wanajua fika wananchi wa kawaida hawawataki na wameshawakataa kata...
Niseme wazi. Mimi ni mhanga wa mabadiliko yaliyotokea pale Raisi Magufuli alipoingia madarakani. Nilikuwa nikifanya kazi nje ya nchi kama mtaalamu katika sekta fulani. Nikaambiwa taasisi fulani ya serikali hapa nchini ilihitaji watu kama mimi. Nikaomba nafasi hiyo ili nirudi nchini kutumikia...
Niombe wananchi mtembelee akaunti ya tweeter ya Peter Madeleka mjionee ni mambo Gani yaliyopo kwenye hiyo akaunti. Mimi binafsi Siku amefariki JPM ndipo nilianza kumsikia huyu Bwana nikafuatilia baadhi ya stori zake na namna awamu ya Tano ilivyomtesa akiwa Gerezani.
Lakini nakumbuka baada ya...
Hii Dunia ni ndogo sana hawa DKT BASHIRU ALLY na POLEPOLE walifikiria watakuwa viongozi wa maisha.
Ilifika wakati walikuwa wanatoa hongo na kununua wapinzani hasa wabunge na madiwani.
Waliahidi vyeo kwa wapinzani wanaokuja CCM bila kujali uwezo wao na nchi kwa ujumla
Walirekodi kwa kudukuwa...
Rais wa Kenya amezungumza kwa mara ya kwanza kuhusu kile ambacho anadai kilipangwa kufanya na Makamu wake wa Rai, William Ruto, kusimamia mipango ya kumfanyia hujuma na kushitaki.
Kenyatta, ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na viongozi wa Kikuyu ambao walimtembelea Ikulu Jijini Nairobi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.