madai

Madai (Hebrew: מָדַי, pronounced [maˈdaj]; Greek: Μηδος, [mɛːˈdos]) is a son of Japheth and one of the 16 grandsons of Noah in the Book of Genesis of the Hebrew Bible. Biblical scholars have generally identified Madai with the Iranian Medes of much later records. The Medes, reckoned to be his offspring by Josephus and most subsequent writers, were also known as Madai, including in both Assyrian and Hebrew sources. Some scholars in more modern times have also proposed connections with various earlier nations, such as Mitanni, Matiene, and Mannai. In addition, the Kurds still maintain traditions of descent from Madai.According to the Book of Jubilees (10:35-36), Madai had married a daughter of Shem, and preferred to live among Shem's descendants, rather than dwell in Japheth's allotted inheritance beyond the Black Sea; so he begged his brothers-in-law, Elam, Asshur and Arphaxad, until he finally received from them the land that was named after him, Media.
Another line in Jubilees (8:5) states that a daughter of Madai named Milcah (Aramaic: Melkâ) married Cainan, who is an ancestor of Abraham also mentioned in the Septuagint version of Genesis and in the Gospel of Luke (3:36).
Medos (Μηδος), and his mother Medea, were also reckoned to be the ancestors of the Medes in classical Greek mythical history. Christian scholars have proposed linking Hebrew Madai and Greek Medos since at least the time of Isidore of Seville [Etym 9.2.28], ca. 600 AD.
Madai is also the name of the deified ancestor of the Kachin people of Myanmar, according to the indigenous Kachin religion.
Also linked with Madai is the Iranian city of Hamadan.

View More On Wikipedia.org
  1. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Watanzania msikubali kwenda kwenye uchaguzi mpaka madai ya msingi yafanyiwe kazi

    "Chama chetu kimetekwa, lakini bado tunaendelea kuwatia moyo hasahasa mwenyekiti wetu afanye mageuzi makubwa ya Chama cha Mapinduzi, atuondolee kundi la wanamtandao kisha atuwekee mchakato mpya kwa kupata wagombea wapya wa Chama Cha Mapinduzi. Wahuni wamejimilikisha chama, wamewashika viongozi...
  2. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa: Madai ya Humphrey Polepole ya kuhujumiwa kwa mifumo ya uchaguzi ni tishio la usalama wa nchi na taifa moja kwa moja. Huu ndio uhaini uhalisi!

    https://youtu.be/Zuf0AQbofZs?si=WeqZpejCIpZYoDR2 IN BRIEF: 1. Dr Wilbroad Peter Slaa ameanza kwa kumshukuru Humphrey Polepole kwa ukiri wake wa kushiriki kuandaa hujuma hizi. Ameomba msamaha kwa taifa na Watanzania wote, nasi tunamsamehe kwa kama ambavyo nasi Mungu wa mbinguni hutusamehe kila...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo sasa rais Samia asisubiri hadi alazimike kufanya maridhiano ya mapya na vyama vya upinzan juu ya madai ya msingi kuhusu uchaguzi mkuu.

    Hali ya kisiasa nchini inaendelea kuwa tete huku watu wengi zaidi wakiendelea kukosa imani na mchakato wa uchaguzi kila kukicha. Kiufupi Polepole ambaye ni kada wa ndani wa CCM emeendelea kuwafungua macho watanzania huku shauku ya kumsikiliza ikizidi kukua kila pahali. Komredi Polepole...
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania GE2025 TAKUKURU yakamata wajumbe wa UWT kwa madai ya rushwa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Geita, imewakamata wajumbe wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Kata ya Nyankumbu Jimbo la Geita mjini walionekana katika picha mjongeo wakigawana rushwa katika mchakato wa uchaguzi ndani ya CCM huku taasisi hiyo ikiendelea na uchunguzi...
  5. Same_Return_1878

    JamiiForums Tanzania Nichukue hatua gani kwa mtu tuliyeandikishana serikalini mkataba wa fidia kwa uharibifu wa mali zangu?

    Habari wana jamii. Ningeomba kupata muongozo juu ya hili suala. Mnamo miezi kadhaa nyuma nilifanyiwa vurugu na mtu mmoja nyumbani kwangu na kusababisha uharibifu mkubwa wa mali zangu. Nilimripoti polisi na alikamatwa. Polisi walisema ninaweza kufungua kesi ya jinai au kufungua kesi ya madai...
  6. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Agnesta Kaiza azua madai kilichoipa CCM ushindi Jimbo la Segerea Uchaguzi 2015

    Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Agnesta Kaiza, amedai kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakikushinda Jimbo la Segerea katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kwa nguvu yake ya kisiasa, bali kwa sababu ya sintofahamu iliyokuwepo ndani ya vyama vya upinzani vilivyounda umoja wa UKAWA Kaiza ametoa kauli...
  7. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Tetesi: DJ Fetty aondolewa Clouds Media kwa madai ya Kuikosoa Serikali

    Kwa mujibu wa andiko la Martini Maranja Masese, licha ya Dj Fetty Kukidhi vigezo vyote vya Kitaaluma kwa Mujibu wa Bodi ya Ithibati, ameondolewa akzini. ANDIKO LENYEWE HILI HAPA KAMA NI KWELI NI DALILI MBAYA SANA Pole sana Bi. Fatma H. Ahmed (@thebestfetty). Tunaelewa kwamba wenye mamlaka...
  8. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Madai ya Gwajima na Polepole yanaashiria nini?

    Tunapoelekea kwenye uchaguzi, tutaona na kusikia mengi mojawapo yakiwa ya Josephat Gwajima na Humphrey Polepole dhidi ya chama na serikali yao. Je kuna uwezekano wa kuibuka mitandao ya ndani ya kimaslahi ndani ya CCM?
  9. F

    JamiiForums Tanzania msaada wa kisheria kuhusu mchakato wa madai ya kuachiswa kazi

    Habari Nahitaji ushauri nlikua nimeajiriwa na benjamin mkapa foundation chini ya mradi wa USAId Afya endelevu,baada ya agizo la trump la kusitisha miradi ya USAID la january tukarudishwa kazin february then march ikatolewa notisi nyingine ya kusitisha mradi wa afya endelevu,ambao mwajiri ambae...
  10. B

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mbunge wa Ulaya Valérie Hayer amepinga madai ya Lissu kuwekewa sumu

  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto za Ufuatiliaji wa Magari na Utoaji wa Faini Katika Maeneo ya Mlimani City na Survey Road kwa madai ya maegesho yasiyo rasmi (Wrong parking)

    Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa baadhi ya madereva kusimama kwa muda katika maeneo ya Mlimani City na barabara ya Survey, wakidai kufuatiliwa, kusumbuliwa, na wakati mwingine kutishiwa na watu wanaodai kuwa maafisa kutoka Manispaa ya Kinondoni. Ingawa udhibiti...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO NSSF Morogoro (Ofisi ya Madai mtandaoni) shughulikieni APPROVAL za wateja wenu

    NSSF morogoro wajirekebishe, nimeomba mafao kwa mfumo baada ya mikataba kuisha imekua changamoto, nimefungua madai tangu April 22 nimemaliza verification tarehe 30 April, nimekuja ofisini kwenu morogoro zaidi ya mara 4 mtu wa reception ananiambia process tayari Bado approval ya manager, ambaye...
  13. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania TFF na Bodi ya Ligi, inaeendelea kujidharirisha baada ya CRDB kuijibu Yanga SC kuwa pesa walishatoa

    Haya CRDB wamemwaga mboga Baada ya Ally kamwe kumwaga ugali TFF na Bodi ya Ligi kuna changamoto Kubwa sana, haya njooni miwape majibu Yanga SC pesa mmepeleka wapi? Pia soma > Ali Kamwe: Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu uliopita --- TAARIFA KWA...
  14. ngara23

    JamiiForums Tanzania Bodi ya ligi ni hekima zaidi kusilikiliza madai ya Yanga, wala siyo unyonge

    Kwanza nawapongeza bodi ya ligi Kwa hatua ya kuwaita Yanga na kuwasikiliza rasimi. Bodi ya ligi ndo ilifanya makosa na kukaa kwenye janjajanja ya Simba aliyetumia Karia kukimbia mechi Kama TFF walisikiliza Simba na kuvunja mechi kijinga kwanini isiwasikilize Yanga wenye hoja zilizoshiba kuliko...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Missenyi yasema inachunguza madai ya baadhi ya Walimu Wilayani hapo kuwaagiza Wanafunzi vyuma chakavu

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika hoja kuwa Baadhi ya Shule za Msingi Wilaya Missenyi-Kagera, Walimu wanawaagiza Wanafunzi vyuma chakavu kwa manufaa yao binafsi Mamlaka ya Wilaya hiyo imejibu madai hayo kwa kueleza kuwa inatuatilia suala hilo. Taarifa rasmi ya Halmashauri ya...
  16. Parabolic

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tausi Likokola: Serikali iwajibike kutoa majibu kuhusu matukio ya utekaji na watu wanaopotea hasa wale wanaoikosoa

    Mwanamitindo wa Tanzania anayeishi nchini Marekani, Tausi Likokola ametoa ujumbe mitandaoni akiitaka Serikali kuwajibika kutoa majibu kuhusu matukio ya utekaji na watu wanaopotea hasa wale wanaokosoa Serikali. Sikiliza video yake hapo chini
  17. J

    JamiiForums Tanzania Wazabuni wa Taasisi za Serikali tunapata tabu sana kulipwa madai yetu

    Hivi najiuliza hawa viongozi wa taasisi za umma wanaotoaga order za mahitaji kwa wazabuni, wanadhani wazabuni wana visima vya pesa. Hawajali kabisa kulipa kwa wakati!! Nakumbuka Magufuli aliwahi kuwaambia hizi taasisi za umma kama huna hela usiagize bidhaa kwa mzabuni, ila sasahivi Jamaa kama...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Shibuda ajibu madai ya kuwa alinunua chama cha Siasa kama Member wa JF alivyosema

    Baada ya andiko la Mwanachama wa JamiiForums.com lililokuwa na kichwa cha Habari ~ John Shibuda alinunua chama cha Siasa cha Oscer Kambona kisha akakiuza Unguja kwa Wapemba, kwenye Siasa lolote linawezekana Mbowe siyo wa kwanza! Shibuda mwenyewe Amejibu kuhusu andiko hilo kwa kuandika haya...
  19. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa kina kuhusiana na kufungiwa kwa mtandao wa X na mingineyo kwa madai ya account za Serikali kudukuliwa

    Kwanza nitoe pole kwa mamlaka za Serikali kwa changamoto hii kubwa ya kudukuliwa kwa account za Serikali Tatizo hili limesababishwa na baadhi ya viongozi wa Serikali wasio na uadilifu walioamua kuwapa wahalifu nywila za kuingia kwenye kurasa za Serikali Taarifa inayosambaa mitandaoni kuhusiana...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Yanga madai yao ni nini?

    Nimefuatlilia sana kuhusu stance ya Yanga kugomea mechi. Naona huwa wanaishia na neno HATUCHEZI. Au tunaonewa. Au Dhulma! Naomba msaada wa kujua hasa madai yao ni nini? Maana wanapingana mpaka na maelekezo ya CAS kama vile wapo Dunia yao; Je, ni hulka tu ya uana harakati? Lakini wangeweka wazi...
Back
Top Bottom