macho

  1. G

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Baa sio ya kuiwekea matumaini sana ikianza kujaza wateja, wateja wana tabia ya kukizoea kiwanja ila ghafla huhama kwa pamoja

    Nimewahi kuziona Baa kadhaa ambazo sikuwahi kudhania kabisa zitakuja kupoteza wateja, Wateja walihama kwa style za kimafia sana, yani vuuup!! ghafla bar inaanza kuwa tupu !! sio kwamba bar imefirisika, sio kwamba warembo wamepungua, sio kwamba hakuna service nzuri, n.k. yaani ndio hivyo, Vuup...
  2. JamiiForums Tanzania Shinyanga:mme amtoboa macho yote mkewe

    Watanzania tumekuwa makatili sana hapa naona dada mmoja anaitwa esta anaohojiwa UTV akiwa haoni baada ya mumewe kumtoboa macho yote mawili bado haoni . Mume baada ya tukio hilo amepotea kusikojulikana na jeshi la police linamsaka Kama mtu humtaki si bora muachane kwa amani , Kama huna akili...
  3. K

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Elimu kwa umma ambayo ni jambo la msingi na endelevu

    TUYAONDOE MAJAMBAZI YA KISIASA KWENYE VYEO YALIKOJIPENYEZA KWA RUSHWA YAKAPATA VYEO ILI TUBAKI NA WATU WAAMINIFU NA WAADILIFU WENYE UCHUNGU WA KUWAINUA MAFUKARA Nilisikika nikiunguruma katika Ulimwengu wa Kiroho huko Ndotoni. Baada ya kuyaona Majambazi ya Kisiasa Baadhi yaliyo jipenyeza kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini unajificha na kuchungulia kwa manati unapotaka kuonana na Rafiki ulimpata mitandaoni?

    Mathalani, Umepata Rafiki au Mchumba kwenye miongoni mwa mitandao ya kijamii, kwa mfano ulipokea simu ya aliekosea namba au ulipiga simu kwa kukosea namba akapokea asie husika, then mpokea simu ama wewe mpiga simu kimakosa mkatamani mjuane zaidi na baada ya hapo mkawa Marafiki, tena huenda ni wa...
  5. JamiiForums Tanzania Abdul Nondo: Njia inayotumiwa na Serikali kudhibiti migogoro ya Ardhi ni kiini macho

    Mwenyekiti Ngome ya Vijana- ACT Wazalendo, Abdul Nondo amesema "Serikali iwatumie vijana wengi wahitimu ambao ni Surveyors, Town planners. Wapo mtaani hawana kazi Serikali iwape majukumu hawa vijana waipime ardhi nchi nzima bure bila kudai fedha kwa Wananchi. "Serikali itapata faida nyingi...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Tuhuma za Msigwa kwa CHADEMA zichunguzwe, sisi si Malaika

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Tundu Lissu akizungumza katika mtandao wa kijamii wa Clubhouse amesema tuhuma zilizotolewa na Mchungaji Peter Msigwa dhidi ya CHADEMA zinapaswa kuchunguzwa kwasababu CHADEMA si malaika kwamba wasikosee. "Inategemea hayo...
  7. JamiiForums Tanzania Kiboko ya wachawi amewalipa mamluki waje kumpigania kanisani, serikali iwe macho, unaweza kuniuliza chochote kuhusu huduma hii

    Baada ya kikao chake na watendaji jana walikubalia waite mamluki waje kumpigania leo asubuhi kwa ujira wa buku teni . Unaweza kuniuliza chochote kuhusu huduma hii hapa ili kupanua wigo wa kujifunza kuhusu hilo kanisa mpaka kufungiwa na unabii batili USSR
  8. JamiiForums Tanzania Hamisa Mobeto ni kiini macho tu, Aziz Ki anafidiwa pesa aliyoikataa kwingine

    Inahitaji jicho la kiinteligensia kujua baadhi ya mambo yanayoendelea nchi hii. Watu wameshangaa inakuwaje Aziz Ki akatae zaidi ya milioni 90 kwa mwezi, tofauti labda ya zaidi ya milioni 60 ya pesa anayolipwa sasa. Likatengenezwa picha eti mlimbwende Hamisa Mobeto ndiyo kama kamshawishi abaki...
  9. JamiiForums Tanzania Bila kupepesa macho, Ni member gani haumkubali humu JamiiForums

    Ughonile.. Huu mtandao pamoja na kuwa naupenda ila kuna baadhi ya members wanaboa sana, unaweza kuingia humu kwa bashasha ila ukatoka na huzuni sababu ya members wachache vichwa panzi siku yako ikaharibika. Kuna hawa chawa wa Bi Tozo wakiongozwa na Lucas Mwashambwa & Tlaatlaah , itoshe kusema...
  10. JamiiForums Tanzania Tusifumbue macho hii kauli "Wanaume wameisha" inatweza utu wa Wanaume

    Inasikitisha kwa Mwanamke mwenye Kaka, Baba na Babu kutamka Wanaume wameisha hii ni disrespectful ya kiwango cha umeme wa grid ya Taifa.. Hili ni zaidi ya tusi Mwanamke anayeweza kutamka haya maneno inaonesha ukuaji wake ulijaa changomoto inawezekana vipi udisrepect baba na kaka zako
  11. JamiiForums Tanzania Kupitia MO Dewji faundation, maelfu ya watu wapokea huduma za kutibu macho bure kwenye hospitali ya Mt Fransis ifakara

    Maelfu ya wakazi wa mji wa ifakara na walio nje ya mji leo tarehe 30/06/2024 wameanza kupokea tiba ya macho toka kwa madaktari bingwa wa macho ambao wameweka kambi hapa kwenye hospitali ya Mtakatifu Fransis. Huduma zinazotolewa ni pamoja na dawa, miwani, upasuaji mdogo na ushauri. Kambi hii...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea kwa sasa kwenye Rasilimali za nchi, watanzania wangefumbua macho kidogo huyu Rais alitakiwa aachie madaraka, kupisha wanaoweza kuzilinda

    Hayo ni maoni ya jaji mstaafu. Jaji anasema kwenye uwekezaji kuna mambo ya ajabu yanaendelea na watu wenye akili wameamua kukaa kimya tu. Jaji anasema rasilimali sasa zinagawiwa kwa mikataba ambayo kisheria haina balance na anasema kuwa watanzania wangekuwa wanajua yanayofanywa na serikali hii...
  13. JamiiForums Tanzania CHADEMA mbinu ya maandamano haikuwa njia sahihi ya kukirudisha chama katika macho ya Watanzania

    Tunafahamu kuwa miaka 3 nyuma vyama vya upinzani havikupewa jukwaa stahiki la kuendeleza biashara/kazi na majukumu yao ili kuongeza tija na hamasa ya kupendwa zaidi,na kuvutia wanachama ilikuwa ni inactive political parties,havikuweza kuwa na uwakilishi wa kutosha katika bunge na hata katika...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Application za mikopo onine: Wapinzani tupieni macho hili jambo, huenda ni biashara ya vigogo serikalini na inaweza kuja kuwa kashfa kubwa

    Wapinzani, nawashauri mfanye uchunguz kuhusu hizi App hasa kujua wamiliki wa hizi applicatio za mikopo. ya online ambazo zinatumika kutoza riba kubwa ndani ya muda mfupi tena wakitumia ligha za vitisho na hata kudhalilisha wateja wao wanapochelewa kulipa kwa wakati. Katika hii biashara, kuna...
  15. JamiiForums Tanzania Unamjua Wu Zunyou, Mchina aliyejaza upepo kwenye puto kwa kutumia macho?

    Bwana Zunyou alizaliwa huko nchini china mwaka 1963 na baadae alihudumu kama Mtaalamu wa Magonjwa katika kituo cha China cha Magongwa na tiba. Zunyou alihumu kama mkufunzi wa maswala ya magongwa na utafiti katika chuo kikuu cha California, Los Angeles. Mwaka 2011 Zunyou aliwaacha mashabiki...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu kuu mama au dada zako wanamchukia mke wako japo kwa jicho la kiume ni ngumu kujua

    Sisi wanaume ni ngumu kujua hatujapewa huo uwezo machoni, labda iwe ni wazi wanaonesha hawampendi. Sababu ni hizi 𝗪𝗶𝘃𝘂 Ukute wewe ni mtu unaewajibika kwa mkeo, unampenda na kumjali na unamtunza vyema mkeo, dada yako mama yako pengine aidha hana ndoa kabisa ama aliolewa akaachika ama yupo...
  17. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA kuweni makini na chaguzi zisiwagawe, CCM wanasubiri mkono uanguke waukamate. Macho na masikio ya CCM yako kwenu sasa

    Habari ndiyo hiyo. Hizi juhudi za Mbowe aondoke, ni mkono wa chuma wanaouogopà. Wanasubiri uanguke washangilie. Msiruhusu kitu kama hicho. Msiwe wepesi wa kusahau. Mnadhani Mashinji (nadhani ndiye aliyekuwa amegombea uenyekiti? Nisahihisheni) angelipata uenyekiti Chadema ingelikuwepo? Chukueni...
  18. JamiiForums Tanzania Kinachotokea kwenye mikutano mkuu wa mkoa Arusha kitufungue macho!

    Kinachotokea kwenye mikutano ya mkuu wa Mkoa wa Arusha kimeonesha kuwa, wananchi wengi wanateseka sana kwa kukosa haki zao kutokana na watendaji wabovu wa nafasi tofauti tofauti. Nafikiri hata viongozi wa juu wanashangazwa na uozo uliopo huku chini Ikimpendeza Muheshimiwa Waziri Mkuu atoe TAMKO...
  19. JamiiForums Tanzania SI KWELI Kula pilipili wakati wa Ujauzito kunafanya mtoto kuzaliwa na macho mekundu

    Habari JamiiCheck, Mimi ni mjamzito, nimekuwa nasikia kuwa ulaji wa pilipili wakati wa Ujauzito kunafanya mtoto kuzaliwa na macho mekundu. Nisaidieni kuhakiki hii maana napenda sana kula pilipili lakini naogopa mwanangu kuzaliwa na macho mekundu.
  20. JamiiForums Tanzania Wafumba macho kumsogeza fulani

    Mungu hakika jabali Muumba, Allah, Jalali Kamuumbia mja akili Yake pekee si ya wawili Uko na wako mwandani Mwanyegezana kitandani Watazama ute ute kidoleni Naye mwali aupepea ukuni Wote mwatazamana usoni Kwa mahaba wakisi kinywani Wajua huyo wako maishani Umemjaza mwilini na rohoni Kumbe hapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…